Anko Bantu
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 832
- 1,034
Mmoja alitonywa na mfanyakazi wa Idara ya maji mkoa mmoja hivi kuwa kuna simu imepigwa kutoka Dar kuna mtu ndio mwenye hiyo nafasi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kabisa mkuu, nafasi zinatangazwa zimeshajaa.Mmoja alitonywa na mfanyakazi wa Idara ya maji mkoa mmoja hivi kuwa kuna simu imepigwa kutoka Dar kuna mtu ndio mwenye hiyo nafasi.
Ni huzuni sana.dah nasoma comments, dah kuna watu wana dhambi sana na inahuzunisha sana.
Hivi binti unajisikiaji kutoa uchi wako ili upate kazi? na wewe mwanaume unajisikiaji kumfanya mtoto wa mwenzio ili umpe kazi bila kupitia vigezo?, unajisikiaje na binti yako akifanyiwa hivyo tena analiwa tigo ili apewe kazi is that fair? INASIKITISHA SANA.
Kama umeita watu kwa ajili ya interview, ni vyema ukawafanyia usaili woote na kuchagua kulingana na vigezo sio hizi blah blah na kujuana, huu ni upumbavu na mambo ya kizamani saaana shenzi kabisa.
Halafu majitu ya hivi yanakwenda msikitini na kanisani full time.
Ila sahili za chomboni Hilo kawaida sanaPoleni mno generation hii, mtaumia sana na dawa ni kupanua wigo wa kuhangaika, kipindi cha nchi Ina heshima na adabu kulifanyika interview ya vijana kwenda kujifunza urubani wa ndege za jeshi na ufundi (601 na 603 KJ),waliletwa wataalamu kutoka China waendeshe hii interview, ilikua fair na kuhuzinisha kama hukupita hata awamu ya kwanza, urefu na wengi waliishia pale ,na looo pia walichunguza kwa maumba kama ulishatembelewa!!kwenye tigo jamani tumepitia mengi hapa duniani
Nyie ndio ile intake ya 1972 mkuu?Poleni mno generation hii, mtaumia sana na dawa ni kupanua wigo wa kuhangaika, kipindi cha nchi Ina heshima na adabu kulifanyika interview ya vijana kwenda kujifunza urubani wa ndege za jeshi na ufundi (601 na 603 KJ),waliletwa wataalamu kutoka China waendeshe hii interview, ilikua fair na kuhuzinisha kama hukupita hata awamu ya kwanza, urefu na wengi waliishia pale ,na looo pia walichunguza kwa maumba kama ulishatembelewa!!kwenye tigo jamani tumepitia mengi hapa duniani
Hizi ndizo kazi ukisomea zinakutafuta na sio kuzitafuta huko ulimwenguni. Vijana someni hizo kozi hapo na muajirike duniani maana ndio fami zenyewe hizo.Pilot
Aircraft engineer
Marine and nautical engineer
Drilling Engineer
Well completion engineer
Fishing engineer
Mining Engineer
Robotic and Automation engineer.
Cyber security expert.
Software developer.
Artificial Intelligence expert.
Reliability and Mechanical Engineer.
ROV operator.
Automation engineer.
Instrumentatio engineer
Electric Engineer.
Mechanical Engineer.
Civil Engineer
nk, nk, nk.
Taifa halitoi direction kwa vijana wasome nini, matokeo yake vijana huishia kutia huruma na kunyenyekea wapumbavu.
Kwel chief.Kuna haja ya serikali kuboresha mfumo wa elimu ili watu wasome vitu watakavyoweza vifanyia kazi hata kama wasipopata ajira.
No mkuu intake ya late 80s,makutano mgulani Twalipo camp,vipimo Lugalo Hospital, marubani 601kj na mafundi 603kjNyie ndio ile intake ya 1972 mkuu?
Kwa sasa Tanzania kila kitu ni fake tu hata hizi teuzi ujinga ujinga mwingi
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]daaahMimi nakumbuka mwaka 2009 nilienda kufanya interviewe kwa ajili ya kujiunga na jeshi la magereza, basi bwana mtoto wa bwana jela alikuwa anaitwa tobby sasa sijui tobby alipoenda kula chakula cha mchana akapitiwa na usingizi?[emoji848][emoji848][emoji848] Interview haikufanyika mpaka mtoto tobby alipopatikana.
Ok.No mkuu intake ya late 80s,makutano mgulani Twalipo camp,vipimo Lugalo Hospital, marubani 601kj na mafundi 603kj
Hongera mkuu kwa kujitengenezea ajira,maana kwa hali iliyopo ni hatari na nusu.Kwel chief.
Kwakifupi mimi hakuna Interview ambayo nimeshawah kuitwa second round.
Huwa naishia kwanye ile ya woteee ile ya kupiga paper 😂😂😂
Nimehangaika sana kwenye hili nikajikubali kwamba AM NOT SPECIAL FOR INTERVIEWS😁
Nishaombaga sana kazi za u developer na u system admin mpaka nikachoka then i decided to create that job for myself..
Aisee hii hatari,sijui miaka kumi mbele itakuwaje.Mtoa mada siku zote nyoosha mkono usiende kwenye interview bila connection na pesa mbele utaaaibika
Kwahiyo waliwapa barua za ajira kwa geresha tu kumbe walikua na majina yao mfukoni,inauma sana.interview yangu ya kwanza ilikua kwenye NGO , tulikua watu watano na walitaka watu watatu, nilikua najuana na watu watatu kati ya hao tano, na ndo tuliopita after 3 days tukapewa hadi job offer letters, wakasema watatuambia lini tukareport kazini, tulikaa miezi na miezi tukajasikia tu mbona watu washaanza kazi kitambo na hawakuepo hata kwenye interview , kazi tulioifanyia sisi interview ikaishiwa kufanywa na watu ambao hawakuepo kabisa. [emoji706][emoji706]
Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
acha tu, mpaka leo nikikumbuka inauma sema ndo lifeKwahiyo waliwapa barua za ajira kwa geresha tu kumbe walikua na majina yao mfukoni,inauma sana.
Pole mkuu,interview za miaka hii hasa private ukiona nafasi tano,iliyo wazi ni moja au hakuna kabisa ni kusumbua watu tu.acha tu, mpaka leo nikikumbuka inauma sema ndo life
Sent from my SM-G9550 using JamiiForums mobile app
Mwingine anapita tu🤣🤣,hata interview hafanyi.Wew unajijua kabisa unakwenda kweny hayo mainterview sjui maupuuzi gan alafu unaanza kujitayarisha as if umeshapata confirmation ya ajira kumbe hata usahili hujafanya[emoji23][emoji23].
Kilichokuuma ni ile furaha uliyoitanguliza badala ya uhalisia wa kuwa ungeenda huko kwenye ushindani wa kukosa ama kupata
Connection zipo muda wote na kila siku humu tunawakumbusha kama huna haya mambo
[emoji117]connection
[emoji117]uchawi
[emoji117]pesa ya rushwa
Basi kutoboa kwenye hizo ishu SAHAU yaan kiufupi fanya ishu zingine[emoji23]