LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Kuna kitu hujaelewa, wakati mnakimbia mnakuwa hamjui kama.ndio usailiHuo fair kabisa mkuu,kuliko mkimbie afu wengine wako ndani wametulia ndo wanapata kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna kitu hujaelewa, wakati mnakimbia mnakuwa hamjui kama.ndio usailiHuo fair kabisa mkuu,kuliko mkimbie afu wengine wako ndani wametulia ndo wanapata kazi
Sasa kula kimsasihara na ukosefu wa ajira vina uhusiano gani braza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kizazi cha vijana cha sasa ni magoigoi wala siwaonei huruma. Mijadala yao yote ni ''jinsi ya kula tunda kimasihara'' au Yanga na Simba. Kwa nini hawaongozi kudai mabadiliko ya mfumo na serikali kuwajibika. Ndiyo maana hata serikali inawadharau na kuwaita kwenye interview eg watu elfu tano wakati nafasi zinazotakiwa ni mbili tu.
Point ni kwamba Liziki ya mtu hakuna wakuizuwia Mwenyezi mungu anaipitisha popote kwa yeyote aidha awe ameridhia au hajataka. Ko ilikuwa imeandikwa hivyo hata ningefanyaje dogo angepita tuAisee hongera sana kwa kumhurumia,wenye mioyo hiyo ni wachache.
Kazi ngumu sana,alitaka kimasihala ukakwepa na huenda ndio tabia yake.Kwenye usaili wa Oral, msaili anajifanya kupitia pitia makaratasi fulani halafu akaniuliza kama nipo tayari kufanya kazi kwa ufasaha kwenye kampuni yao nikaitikia kwa kujiamini na uchangamfu wa hali ya juu, akasema kazi nimepata ila nikitoka niende moja kwa moja Peacock Hotel nimsubiri hapo atanipa maelekezo zaidi akifika, lol sijui aliniona Mtoto (enzi hizo nilikua bado binti), nikamuitikia kwa tabasamu la unafki, nikatoka na hasira zangu hadi nyumbani nikamuhadithia Mume wangu yaliyonikuta hiyo ndio ilikua interview yangu ya mwisho, mpaka leo nimejiajiri na kuajiri wengine alhamdulillah.
Naunga mkono hojaPoint ni kwamba Liziki ya mtu hakuna wakuizuwia Mwenyezi mungu anaipitisha popote kwa yeyote aidha awe ameridhia au hajataka. Ko ilikuwa imeandikwa hivyo hata ningefanyaje dogo angepita tu
SanaHahahaha interview kunakuwaga na ufala sana
Mungu ni mwema mkuu,ipo siku utapata ni marufuku kukata tamaa.Siji kuomba kazi taasisi binafsi Mimi nakomaa na ajila portal ukitaka kupoteza mda wako na pesa omba hizi taasisi.
Arusha city college mungu anawaona choma nauli mbeya to arusha na maladhi juu ila ata feed back amna dah maisha aya kama laki mbili imekatika. Mungu mwm ipo siku yangu inakuja.
🤣🤣Waliozidi hao ndio walikuwa wenye kazi.Kuna interview tulifanya pale Tambaza Sec. Tuli itwa interview na utumishi watu 98. B4 kuingia ilipaswa tukaguliwe vyeti na tuna saini mbele ya majina yetu.
Mm kwenda kusaini nika kuta tume fika 105. Daah. Bongo bhana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Watu hawakuitwa interview na Utumishi. Ila wame andika majina kwa mkono na kufanya Interview.
Matokeo ya Interview namuachia Haji Manara atangaze.
🤣🤣Waliozidi hao ndio walikuwa wenye kazi.Kuna interview tulifanya pale Tambaza Sec. Tuli itwa interview na utumishi watu 98. B4 kuingia ilipaswa tukaguliwe vyeti na tuna saini mbele ya majina yetu.
Mm kwenda kusaini nika kuta tume fika 105. Daah. Bongo bhana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Watu hawakuitwa interview na Utumishi. Ila wame andika majina kwa mkono na kufanya Interview.
Matokeo ya Interview namuachia Haji Manara atangaze.
Wenzetu hawapindishi mambo kama waswahili,anakuchekea kumbe moyoni anakukejeri.Katika life langu nimefanya sahili tatu tu na zote za kawaida tu ila moja nilienda kupiga usahili kampuni moja ya wa Israel, niliulizwa tu unajua nn kuhusu hiyo ishu niliyoenda kupga usahili hakuna cha umesoma wapi wala umezaliwa lini au leta sijui cv yako
🤣🤣🤣Watu mnatuvunja mbavu,kwahiyo karani alitaka akutie nguvuni?.🤣🤣Niliwahi kuhudhuria interview moja miaka ya nyuma. Sasa nilipofika eneo la interview nilibahatika kubaini ya kwamba kuna watu tayari walishachaguliwa.
Sisi kumbe ilikuwa ni danganya toto. Nilishikwa na hasira sana.
Zamu yangu ilipofika nikaitwa kwenye panel kwa ajili ya kuulizwa maswali.
Baada ya utambulisho niliwachana live wale panelist. Niliwaambia hv nakumbuka "Samahani ndugu zangu nimekuja kimakosa hapa sikupaswa kuwepo kwasababu tayari mna watu wenu mifukoni" kisha nikatoka kwa speed. Kugeuka nyuma nikaona kuna karani amekaza mwendo kunifuata akiniita nikakaza mwendo nikapotelea kuaikojilikana mpaka leo
Inahuzunisha sana,tena usikute hata nauli wameunga unga tu.Unaita mamia ya watu kwenye interview, watoto wa wenzio, huku ukijua kabisa ni formality tu mnafanya, ni dhambi kubwa sana.
Hizi kazi ambazo sio proffesional kiviile na zinahitaji hasa graduates au wenye uzoefu kidogo sana, huhitaji kuleta ujanjaujanja baadala yake wapime watu chukua wale wenye uwezo.
Huyo bahati alichezea mwenyewe.Hahahah! nimekumbuka kuna sehemu nilikuwa nafanya kazi kama "project coordinator" huu mradi ulikuwa unadhaminiwa na waitaliano....sasa kukawa kunahitajika mtu wa kufanya kazi ya kutoa elimu ya mazingira shule za msingi. Wale waitalianowakasema kuna jamaa walikuwa wanafanya nae kazi hapo kabla ila kwa muda huo alikuwa Dar aifundisha shule ya msingi, so walimemuita ili aje kufanya kazi hiyo, ila jamaa alikuwa anazingua kila akipigiwa simu anasema anakuja ila hatokei, basi wakaniomba nitangaza nafasi hiyo! basi ile nafasi nikaitangaza na siku ya Interview yule jamaa aliyekuwa akipigiwa simu mwanzo akatokea ( hiyo ni baada ya kumpigia tena simu). Sasa kumbe wakati wanasubiri kuingia kwenye chumba cha ushahili, huyu jamaa alikuwa akiwaambia wenzie kuwa ile kazi ni yake maana ameitwa kutoka Dar (walikuwa watu kama nane hivi), bahati mbaya siku ile usahili uliahirishwa! ila ukaendelea siku iliyofuata, sasa kutokana na tambao za yule jamaa siku ya pili walitokea watu wanne tu! Baada ya usahili aliajiriwa mtu mwingine na sio yule tuliyemuita kwa kumpigia simu! Kilichofuata sasa jamaa alinipigia simu na kuniwakia kinoma eti tumempotezea muda wake na nauli na kama vipi nimrudishie nauli yake! Mimi nilimmuliza tu kuwa kwani tulivyokupigia simu, tulikuambia tunakuja kukuajiri au kufanya usahili? jamaa kasema mlisema kuja kufanya usahili...nikamwambia basi umeharibu mwenyewe.....jamaa alinitukana na kukata simu!
Watu wanafiki hatari sana.Wengine ndio tupo nao uku sehemu za ibada wakijidai na wao Wana tenda haki.
Pilot
Aircraft engineer
Marine and nautical engineer
Drilling Engineer
Well completion engineer
Fishing engineer
Mining Engineer
Robotic and Automation engineer.
Cyber security expert.
Software developer.
Artificial Intelligence expert.
Reliability and Mechanical Engineer.
ROV operator.
Automation engineer.
Instrumentatio engineer
Electric Engineer.
Mechanical Engineer.
Civil Engineer
nk, nk, nk.
Taifa halitoi direction kwa vijana wasome nini, matokeo yake vijana huishia kutia huruma na kunyenyekea wapumbavu.
Allah ukuzidishie kuepukana na maovuKwenye usaili wa Oral, msaili anajifanya kupitia pitia makaratasi fulani halafu akaniuliza kama nipo tayari kufanya kazi kwa ufasaha kwenye kampuni yao nikaitikia kwa kujiamini na uchangamfu wa hali ya juu, akasema kazi nimepata ila nikitoka niende moja kwa moja Peacock Hotel nimsubiri hapo atanipa maelekezo zaidi akifika, lol sijui aliniona Mtoto (enzi hizo nilikua bado binti), nikamuitikia kwa tabasamu la unafki, nikatoka na hasira zangu hadi nyumbani nikamuhadithia Mume wangu yaliyonikuta hiyo ndio ilikua interview yangu ya mwisho, mpaka leo nimejiajiri na kuajiri wengine alhamdulillah.
Aisee huenda usemacho kinaukweli kiasi.Kizazi cha vijana cha sasa ni magoigoi wala siwaonei huruma. Mijadala yao yote ni ''jinsi ya kula tunda kimasihara'' au Yanga na Simba. Kwa nini hawaongozi kudai mabadiliko ya mfumo na serikali kuwajibika. Ndiyo maana hata serikali inawadharau na kuwaita kwenye interview eg watu elfu tano wakati nafasi zinazotakiwa ni mbili tu.
Huu ndio ukweli mchungu.Hiyo mikozi ya kibabe sanaa. Masikin akisoma hizi bado atasota tu.. Labda awe genius
Pole sana kilichobaki ni kusubiri teuzi tu maana hakuna namna 😀😀😀Kwel chief.
Kwakifupi mimi hakuna Interview ambayo nimeshawah kuitwa second round.
Huwa naishia kwanye ile ya woteee ile ya kupiga paper 😂😂😂
Nimehangaika sana kwenye hili nikajikubali kwamba AM NOT SPECIAL FOR INTERVIEWS😁
Nishaombaga sana kazi za u developer na u system admin mpaka nikachoka then i decided to create that job for myself..
Bora umekuja ututeteeSasa kula kimsasihara na ukosefu wa ajira vina uhusiano gani braza[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]