Vituko Sudan: Omar Al Bashir hajulikani alipo

Haijashindwa kumkata, kuna uwezekano mkubwa RSF walikuwa wanamkingia kifua kwa sababu angewaunganisha nao katika jinai zake, RSF ndio walikuwa mkono wake muhimu kufanya uhalifu wake, hawezi kufungwa yeye makamanda wake wakabaki salama.
Rsf na jeshi wote wakifanya uhalifu darfur,jeshi likiwakilishwa na burhan
 
Hivi janjawid wakifanya mauaji Sudan kusini!?
 
Kwahiyo Hadi kuibiana Kura kwenye uchaguzi ni watu WA Ulaya!
 
Wasudani sio Waafrik mkuu ,hakuna Mwafrika mwenye roho za aina Ile...labda Waafrika walioiga tqmaduni zao!
Daa mkuu bado tunakumbuka ya Kimbari ujue na huko Congo mpaka leo
Africa tuna matatizo mengi sana tusiyasukume lazima tukubali udhaifu wetu
 
Wasudani sio Waafrik mkuu ,hakuna Mwafrika mwenye roho za aina Ile...labda Waafrika walioiga tqmaduni zao!
Vipi Rwanda? DRC? Liberia? Angola? au South Sudan? Mbona hizo zote ni miongoni mwa nchi za kiafrika zisizofuata "tamaduni za Sudan" na zimewahi kukumbwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe na mauaji makubwa.

Tunamshukuru Allah kwa neema ya amani na usalama katika nchi yetu. Nawaombea amani kwa Allah na ndugu zangu wa Sudan na wengine wote waliopatwa na mtihani wa khofu na vita.
 
Yaan Africa bhana eti mfungwa anatafuta kituo cha polis ajisalimishe Ila anakuta awafanyi kazi serious…. Embu toroka keko halafu uende sitaki shari kama utakuta jamaa hawapo utajuta
Stakishari huwa hakifungwi 24hrs[emoji1]
 
Kwamba kila asiyekua ngozi nyeusi au asiye kuwa mwafrika ndie anayefanya kwa usahihi kuliko wote?
acha kutetea uzezeta , jamaa anachosema ni kwel hv ww na ngoz yako unajifananisha na nan hapa duniani?
 
Wasudani sio Waafrik mkuu ,hakuna Mwafrika mwenye roho za aina Ile...labda Waafrika walioiga tqmaduni zao!
mwisho wa siku sisi waafrika tuna roho mbaya , hakuna cha kukwepesha , fuatilia central africa , drc , mozambique etc
 
mnaiabudu USA sana kila kitu pentagon
 
acha kutetea ujinga , tumia akili yako vzr kwann viongoz wa afrika wachaguliwe na ulaya , utakuja gundua bado lawama zinaangukia kwenu waafrika , mtu yupo busy na story za udaku kipind cha kampen anataka apewe buku 5 kisha akupigie kura bila kujali ubora wa anaemchagua
 
Yaan Africa bhana eti mfungwa anatafuta kituo cha polis ajisalimishe Ila anakuta awafanyi kazi serious…. Embu toroka keko halafu uende sitaki shari kama utakuta jamaa hawapo utajuta
bado hatuijui vita (civil war )ndio maana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…