Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Kwani amefika wap , nini kimemuondoa?Na Magufuki alichaguliwa na Europe?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani amefika wap , nini kimemuondoa?Na Magufuki alichaguliwa na Europe?
Rsf na jeshi wote wakifanya uhalifu darfur,jeshi likiwakilishwa na burhanHaijashindwa kumkata, kuna uwezekano mkubwa RSF walikuwa wanamkingia kifua kwa sababu angewaunganisha nao katika jinai zake, RSF ndio walikuwa mkono wake muhimu kufanya uhalifu wake, hawezi kufungwa yeye makamanda wake wakabaki salama.
Hivi janjawid wakifanya mauaji Sudan kusini!?Yeye ndie aliwatuma RSF kupitia janjaweed wakauwe wasudani kusini, so possible wamemtorosha wamrejeshe madarakani. Hawa madikteta huwa haitakiwi kuwaacha hai ndo madhara yake haya. Jeshi la sudani lilifanya makosa Sana kumuacha hai huyu mtu bora lingemkabidhi ICC, atarejea madarakani bila kutegemea.
Si aliidindia corona wakati moyo dhaifuKwani amefika wap , nini kimemuondoa?
Soma history ya darfurHivi janjawid wakifanya mauaji Sudan kusini!?
Kwahiyo Hadi kuibiana Kura kwenye uchaguzi ni watu WA Ulaya!Europe ndo inayofanya Africa iwe hvyo ilivyo , hata viongozi wako wa nchi wanakuchagulia , na ikitokea amepenya mzalendo watafanya kila waliwezalo apotee , mambo sio marahisi kama unavyofkria , cha msingi we komaa na wanao uwapatie maisha Bora Kwa mda wako mfupi duniani
Daa mkuu bado tunakumbuka ya Kimbari ujue na huko Congo mpaka leoWasudani sio Waafrik mkuu ,hakuna Mwafrika mwenye roho za aina Ile...labda Waafrika walioiga tqmaduni zao!
Vipi Rwanda? DRC? Liberia? Angola? au South Sudan? Mbona hizo zote ni miongoni mwa nchi za kiafrika zisizofuata "tamaduni za Sudan" na zimewahi kukumbwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe na mauaji makubwa.Wasudani sio Waafrik mkuu ,hakuna Mwafrika mwenye roho za aina Ile...labda Waafrika walioiga tqmaduni zao!
Darfur ni Sudan magharibi siyo kusini,mpaka Leo darfur ipo Sudan na si Sudan kusiniSoma history ya darfur
Stakishari huwa hakifungwi 24hrs[emoji1]Yaan Africa bhana eti mfungwa anatafuta kituo cha polis ajisalimishe Ila anakuta awafanyi kazi serious…. Embu toroka keko halafu uende sitaki shari kama utakuta jamaa hawapo utajuta
acha kutetea uzezeta , jamaa anachosema ni kwel hv ww na ngoz yako unajifananisha na nan hapa duniani?Kwamba kila asiyekua ngozi nyeusi au asiye kuwa mwafrika ndie anayefanya kwa usahihi kuliko wote?
mwisho wa siku sisi waafrika tuna roho mbaya , hakuna cha kukwepesha , fuatilia central africa , drc , mozambique etcWasudani sio Waafrik mkuu ,hakuna Mwafrika mwenye roho za aina Ile...labda Waafrika walioiga tqmaduni zao!
ebu wafananishe kwanza halaf ndo uje na majibuICC imeshindwa kumkamata Omar Albashir halafu eti inamtaka Putin!
mnaiabudu USA sana kila kitu pentagonUkute pentagon inajua alipo al Bashir na kuna terms flanflan wanaingia nae ili wamrudishe madarakani ikiwemo kuwafurusha wachina migodini na kwei visima vya mafuta.
Hao majenerali ni nembo tu inatumika lkn walioanzisha hiyo vita wamekunja nne wanasubiri mipango itimie
acha kutetea ujinga , tumia akili yako vzr kwann viongoz wa afrika wachaguliwe na ulaya , utakuja gundua bado lawama zinaangukia kwenu waafrika , mtu yupo busy na story za udaku kipind cha kampen anataka apewe buku 5 kisha akupigie kura bila kujali ubora wa anaemchaguaEurope ndo inayofanya Africa iwe hvyo ilivyo , hata viongozi wako wa nchi wanakuchagulia , na ikitokea amepenya mzalendo watafanya kila waliwezalo apotee , mambo sio marahisi kama unavyofkria , cha msingi we komaa na wanao uwapatie maisha Bora Kwa mda wako mfupi duniani
bado hatuijui vita (civil war )ndio maanaYaan Africa bhana eti mfungwa anatafuta kituo cha polis ajisalimishe Ila anakuta awafanyi kazi serious…. Embu toroka keko halafu uende sitaki shari kama utakuta jamaa hawapo utajuta