Vituko Sudan: Omar Al Bashir hajulikani alipo

Vituko Sudan: Omar Al Bashir hajulikani alipo

Haijashindwa kumkata, kuna uwezekano mkubwa RSF walikuwa wanamkingia kifua kwa sababu angewaunganisha nao katika jinai zake, RSF ndio walikuwa mkono wake muhimu kufanya uhalifu wake, hawezi kufungwa yeye makamanda wake wakabaki salama.
Rsf na jeshi wote wakifanya uhalifu darfur,jeshi likiwakilishwa na burhan
 
Yeye ndie aliwatuma RSF kupitia janjaweed wakauwe wasudani kusini, so possible wamemtorosha wamrejeshe madarakani. Hawa madikteta huwa haitakiwi kuwaacha hai ndo madhara yake haya. Jeshi la sudani lilifanya makosa Sana kumuacha hai huyu mtu bora lingemkabidhi ICC, atarejea madarakani bila kutegemea.
Hivi janjawid wakifanya mauaji Sudan kusini!?
 
Europe ndo inayofanya Africa iwe hvyo ilivyo , hata viongozi wako wa nchi wanakuchagulia , na ikitokea amepenya mzalendo watafanya kila waliwezalo apotee , mambo sio marahisi kama unavyofkria , cha msingi we komaa na wanao uwapatie maisha Bora Kwa mda wako mfupi duniani
Kwahiyo Hadi kuibiana Kura kwenye uchaguzi ni watu WA Ulaya!
 
Wasudani sio Waafrik mkuu ,hakuna Mwafrika mwenye roho za aina Ile...labda Waafrika walioiga tqmaduni zao!
Daa mkuu bado tunakumbuka ya Kimbari ujue na huko Congo mpaka leo
Africa tuna matatizo mengi sana tusiyasukume lazima tukubali udhaifu wetu
 
Wasudani sio Waafrik mkuu ,hakuna Mwafrika mwenye roho za aina Ile...labda Waafrika walioiga tqmaduni zao!
Vipi Rwanda? DRC? Liberia? Angola? au South Sudan? Mbona hizo zote ni miongoni mwa nchi za kiafrika zisizofuata "tamaduni za Sudan" na zimewahi kukumbwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe na mauaji makubwa.

Tunamshukuru Allah kwa neema ya amani na usalama katika nchi yetu. Nawaombea amani kwa Allah na ndugu zangu wa Sudan na wengine wote waliopatwa na mtihani wa khofu na vita.
 
Yaan Africa bhana eti mfungwa anatafuta kituo cha polis ajisalimishe Ila anakuta awafanyi kazi serious…. Embu toroka keko halafu uende sitaki shari kama utakuta jamaa hawapo utajuta
Stakishari huwa hakifungwi 24hrs[emoji1]
 
Wasudani sio Waafrik mkuu ,hakuna Mwafrika mwenye roho za aina Ile...labda Waafrika walioiga tqmaduni zao!
mwisho wa siku sisi waafrika tuna roho mbaya , hakuna cha kukwepesha , fuatilia central africa , drc , mozambique etc
 
Ukute pentagon inajua alipo al Bashir na kuna terms flanflan wanaingia nae ili wamrudishe madarakani ikiwemo kuwafurusha wachina migodini na kwei visima vya mafuta.

Hao majenerali ni nembo tu inatumika lkn walioanzisha hiyo vita wamekunja nne wanasubiri mipango itimie
mnaiabudu USA sana kila kitu pentagon
 
Europe ndo inayofanya Africa iwe hvyo ilivyo , hata viongozi wako wa nchi wanakuchagulia , na ikitokea amepenya mzalendo watafanya kila waliwezalo apotee , mambo sio marahisi kama unavyofkria , cha msingi we komaa na wanao uwapatie maisha Bora Kwa mda wako mfupi duniani
acha kutetea ujinga , tumia akili yako vzr kwann viongoz wa afrika wachaguliwe na ulaya , utakuja gundua bado lawama zinaangukia kwenu waafrika , mtu yupo busy na story za udaku kipind cha kampen anataka apewe buku 5 kisha akupigie kura bila kujali ubora wa anaemchagua
 
Yaan Africa bhana eti mfungwa anatafuta kituo cha polis ajisalimishe Ila anakuta awafanyi kazi serious…. Embu toroka keko halafu uende sitaki shari kama utakuta jamaa hawapo utajuta
bado hatuijui vita (civil war )ndio maana
 
Back
Top Bottom