Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

[emoji15] kumbe ndio wew mkuu???
 
Umenikumbusha hiyo ya maeno hatari kwa wizi wa simu miaka kama mi4 iliyopita hivi mida ya sa 10 alfajiri tunarudi toka njenje tupo kwenye gari kwa mama zakaria tunamshusha rafiki yetu mmoja nimeshika simu nachat kioo nimeshusha hata mtu alipotokea sijamuona anataka kukwapua simu yangu nilichofanya niliidindosha chini ndio salama yangu bila hivi simu ilikua inaenda
 
Hata hivyo hayo mambo yamepungua mno kama siyo kuisha kabisa sasa hivi wanaoibiwa ni wanyasa pia wezi wengi wamekufa kufa
 
Piga sana gemu kwa wahaya hapo kuna mama MTU mzima alikua Fundi haswa was mahaba ukikuta room take imefungu unazunguka unaweka poz ccm ukisubiri aliomo atoke kunje mkunjavyo halala miki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah kinachofuata inabidi nibadilishe avatar.

Huyo namjua, mwingine anayekesha yuko Msisiri, karibu na gesti ya Garden Rose (siyo Rose Garden)
Ahahahhh ubadili avatar kwa ajili gani tena
 
Kuna yule jamaa mwizi wa umeme pale A alifungua kabisa na kituo cha kuuzia token za luku... Yaani biashara haramu aliihalalisha kabisa... [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]shikamoo Mwananyamala
Vishoka wote headquarters ni Mwananyamala
Kwa vishoka magomeni na kigogo ndo noma.. Sema labda hao vishoka wanatokea Mananyamala [emoji23]
 
Picha ya kusukumizia uzi.

Hapa ndiyo Makaburini

View attachment 680695
Makaburini kwa mwananyamala zipo sehem mbili maarufu.
1.Makaburi ya Mwananyamala KWA KOPA, ndo happ kwenye picha ambapo watu hupita na kutokea mwananyamala hospital
2.Mwananyamala Kwa Manjunju kuna mbuyu mkubwaaa na makaburi "ingawa kwa sasa yameshajaa".
Vibaka wengi wapo kwa MANJUNJU alikokua anaishi Mzigua90
 
Hata hivyo hayo mambo yamepungua mno kama siyo kuisha kabisa sasa hivi wanaoibiwa ni wanyasa pia wezi wengi wamekufa kufa
Kweli yameisha kuna siku nilikua A kwenye msiba tulikua tunasindikiza rafiki zetu tumepita mwinyijuma rd tunaelekea kisiwani kwa miguu yaan kumetulia kila mtu anapita anaendelea na mambo zake nikasema kweli mwananyamala kumebadirika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…