Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

[emoji23] [emoji23] [emoji23] pale mahali basi tu.. Mwananyamala pia walikuwepo wengi tuu na wa kupigisha simu nje ya nchi.. Ticket za ndege nk.. Yani inasoma kabisa... Unasafiri kwenda china na kurudi kwa laki 7 tuu
[emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Ule mbuyu uacheni kama ulivyo... Yule nesi aliyepoteaga alipatikana pale
Pembeni ya huo Mbuyu kuna nyumba ya bluu hivi palikua panauzwa Luku, mwisho wa mwezi mnajikuta mna bonge la foleni la kusubiri umeme.

Sasa ilikua tukiwa tunasubiri umeme unaambiwa tu "Hapo asubuhi tumekuta mbuzi kachinjwa"

"Ebwana juzi tumekuta matunguli na hirizi zimezungushiwa kwenye mbuyu"

Nazi zilizovunjwa na lugha ya kiarabu ndiyo usiseme naona siku hizi pametulia.
 
Mi Mwananyamala nimepitaga tu sijawahi kukaa ila kuna sehemu Sinza inaitwa Tururamba iko karibu na Law School nyuma ya stand ya mawasiliano dah kuna day nimepelekwa hapo na mshkaji kula vyombo.

Yani ukiwa unaenda unaona kama nyumba ya mtu ya kuishi ila ukifika nje counter kiaina ila kuna mlango ukichungulia unaona sofa na kuna mabinti wamekaa. Nikashangaa jamaa wanakuja wanaingia sebuleni unaona anachagua binti anaingia nae room baada ya muda huyo jamaa anasepa binti anarudi sebuleni.

Sijawahi kurudi ile sehemu. Nani anapajua?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka mpaka nimejamba eti fungua kidogo nione niondoke.
 
Daaaah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
 
Usisahahu mchiriku au mnanda wa hapa na pale hasa wanapotoka kuoa au kuolewa bagamoyo na kisarawe...yaani kigoma kinalia usiku kucha!
Mchiriku ndo ulipoanzia kule.. Mzee manjunju alianzia na kibao kata wanenguaji akina salum guluwe nk. Baada ya kuona kibao kata na chakacha inaelekea kufa wakaanzisha mchiriku...!
 
Na ww pia utakuwa wa Mwananyamala....unacheka mpaka unajamba?
 
Kamanyola gesti karibu na Bakule... Ukiingia hapo hata ufanyeje lazima upigwe chabo... Nasikia zile chabo zinalipiwa...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nilisema sitakoment chochote kwenye huu uzi, ila kwa hii comment yako nimeshindwa aisee [emoji119]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji91]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…