Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

[emoji23] [emoji23] [emoji23] pale mahali basi tu.. Mwananyamala pia walikuwepo wengi tuu na wa kupigisha simu nje ya nchi.. Ticket za ndege nk.. Yani inasoma kabisa... Unasafiri kwenda china na kurudi kwa laki 7 tuu
[emoji119] [emoji119] [emoji119]
 
Ule mbuyu uacheni kama ulivyo... Yule nesi aliyepoteaga alipatikana pale
Pembeni ya huo Mbuyu kuna nyumba ya bluu hivi palikua panauzwa Luku, mwisho wa mwezi mnajikuta mna bonge la foleni la kusubiri umeme.

Sasa ilikua tukiwa tunasubiri umeme unaambiwa tu "Hapo asubuhi tumekuta mbuzi kachinjwa"

"Ebwana juzi tumekuta matunguli na hirizi zimezungushiwa kwenye mbuyu"

Nazi zilizovunjwa na lugha ya kiarabu ndiyo usiseme naona siku hizi pametulia.
 
Mi Mwananyamala nimepitaga tu sijawahi kukaa ila kuna sehemu Sinza inaitwa Tururamba iko karibu na Law School nyuma ya stand ya mawasiliano dah kuna day nimepelekwa hapo na mshkaji kula vyombo.

Yani ukiwa unaenda unaona kama nyumba ya mtu ya kuishi ila ukifika nje counter kiaina ila kuna mlango ukichungulia unaona sofa na kuna mabinti wamekaa. Nikashangaa jamaa wanakuja wanaingia sebuleni unaona anachagua binti anaingia nae room baada ya muda huyo jamaa anasepa binti anarudi sebuleni.

Sijawahi kurudi ile sehemu. Nani anapajua?
 
Matunge nae msanii tu mbongo,silvester watoto wake nowdys wamebaki kujichora matatoo km blackboard dah mwanayamla sio sehem salama kwa malezi ya mtoto wako...kuna mmoja alikuja kuanzisha hostel maeneo ya kwa baba happy kwa nyuma pale madada wa hostel walikuwa wanaliwa deo(chabo) mpka wamechanganyikiwa maana awana pakwenda kushitaki unakuta mjumbe wa shina nae mla deo ikafika kipindi wanapiga story tu na wazee wa chabo wakiwa madirishani..madada wanasema "basi tuacheni tulale chabo mpaka tukiwa tunajisomea?? dah na nyie mezidi""? wazee wa deo wanajibu "FUNGUA KIDOGO nione naondoka"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka mpaka nimejamba eti fungua kidogo nione niondoke.
 
Manyau nyau alikuja kuondoa uchawi kufika pale Ubaa Corner (Baa ipo Makaburini) akasema mbele anaona bahari tu hawezi kusogea mbele akarudi kwao, akakaa akaja tena, akafika sehemu ni maskani kuna gogo limewekwa hua tunakaa kupiga stori.

Akatoa jidude fulani hivi akasema huu ni ub00 kila aliyekaa hapa alikua anafir.wa ndiyo maana mtu akikaa hapa kuondoka hua hataki.

Yaani alichomaanisha ni kua vijana wote wa pande zile marinda yaliliwa na wachawi
Daaaah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119]
 
Usisahahu mchiriku au mnanda wa hapa na pale hasa wanapotoka kuoa au kuolewa bagamoyo na kisarawe...yaani kigoma kinalia usiku kucha!
Mchiriku ndo ulipoanzia kule.. Mzee manjunju alianzia na kibao kata wanenguaji akina salum guluwe nk. Baada ya kuona kibao kata na chakacha inaelekea kufa wakaanzisha mchiriku...!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka mpaka nimejamba eti fungua kidogo nione niondoke.
Na ww pia utakuwa wa Mwananyamala....unacheka mpaka unajamba?
 
Kamanyola gesti karibu na Bakule... Ukiingia hapo hata ufanyeje lazima upigwe chabo... Nasikia zile chabo zinalipiwa...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nilisema sitakoment chochote kwenye huu uzi, ila kwa hii comment yako nimeshindwa aisee [emoji119]
 
Mwenyekiti wetu hajui kusoma na kuandika ukaanzishwa utata akasema anajua kuandika na kusoma.

Wakakutanishwa siku hiyo ya kumtest kama kweli anajua kusoma na kuandika akaambiwa andika Chama Cha Mapinduzi.

Akaandika Chama Ha Mapundusi

Mwandiko kama bata.

Kampeni za 2015 akawa ananadi sera nanukuu

"Vijana nipeni kura mimi na nyinyi hatuna ugomvi ndiyo maana mnapovuta bangi napajua ila sijawahi kuwaleta polisi, kama kuna yeyote kawahi kusumbuliwa na askari kisa bangi aseme"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]
 
Vibaka wezi hawa maarufu hawatakaa watokee tena.. Nina historia nao.. Mjushi anawafahamu vema kila mmoja kwa sekta yake
Morroco
Kumbwiga
Tito
Jumanne
Pembe
Walinitengeneza nami nikawatengeneza ngoma draw... Tukaenda sawa.. Sasa hivi wanakula bata akhera
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji91]
 
Saidi yupo south asahv anawapa tigo makaburu
a0622e60595529066ea9925c14b0b35f.jpg
 
Back
Top Bottom