Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Nilikua likizo ya two months pale kwa Manjunju, kwa bi mkubwa wangu 2006..

Ile miezi miwili narudi home nishakuwa mcharuko, ningekaa mwaka Sijui ingekuaje!! [emoji23][emoji23]

Mateja, vibaka, mashoga, vurugu, kelele yaan muda wote pako high..
 
[emoji23] [emoji23] daily lazima tukimbizane mkuu ndio sehem ya maisha ila wanatubana sana wafanyabiashara wa znbr to Dar..
Pole sana mkuu, tuvumilie tu maana lazima standard gauge ikamilike by 2019 ukijumlisha elimu bure, uboreshaji was huduma za afya, Maji, barabara...ni hizo hizo kodi zinafanya kazi hiyo mkuu
 
Hata Mimi nilijiulza maswali mengi sana Mkuu,jamaa alkuwa genius
 
Namkumbuka jamaa mmoja enzi hizo aliitwa "Simba zee" huyo alikuwa bingwa wa ukabaji na alikuwa anakaba peke yake...huyu alikuwa maarufu sana na alikuwa na nguvu kuliko scorpion[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Ungepita kipindi hiko baba.
Sasa hivi wakabaji wote wameshakufa na wezi wengi wanaendesha boda boda
Dah.! Umenikumbusha mbali sana mkuu yaani tukisema kila mtu arudie kazi yake ya zamani...!
Mfano mimi nilikuwaga na washkaji flani tukawa tunaiba mafuta ya transformers ila sintosahau siku tulipoparamia transformer flani ghafla ulisikika mripuko wa ajabu kufumba na kufumbua mwenzetu mmoja alikufa pale pale mwingine alifia hospital kuanzia siku hiyo niliacha kabisa kazi hiyo.
Namshukuru Mungu sa ivi niko zangu Dom nna banda langu natengeneza na kuuza majeneza na maisha yangu yako fresh nimejenga,nimeoa na nnamiliki
"Kagari" japo ni kama kale ka Mr bean.[emoji1] [emoji1] [emoji1] maisha yana historia ndefu sana.
 
Du dem mmoja nilimla hapo kimboka aka hamia mtaa ninao ishi wakati huo nimeoa nilikua Na hofu kumbe anikumbuki ananiita Shem siku moja naamka kumi nambili nakutananae kajipura inaonesha katoka viwanja demu anashep matata sna
Mkuu hii kali ya karne
 
Kulikua Na guest chafu sana upande was pili wa barabara nilichukua mlupo hapo masai gesti inakungini balaa
 
Nimeenda sana pande hizo mwaka 2011 bei ilikuwa buku 2 kwa round moja...vyumbani mwao kuna mwanga hafifu kunanukia udi halafu hawataki romance ukifika ni kumpa chake anavua unavaa ndom unaingiza unapiga fasta unasepa.!
Huwa wengi wao hawakubali peku ila mimi nilikuwaga na ujanja wa kutoboa kondom ili nifaidi "nguvu ya buku 2" zangu...anakuja kustuka "nimeshautupa"[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Nasikia mkuu wengine unakuta kuna watoto wachanga wamelala mkuu unapiga kazi dogo amelala pembeni ukiwa unapiga kazi fresh nasikia anampa report mwenzie wa room ya pili ila wanazungumza kwa lugha yao(kikabila) " huku kuna mwanaume wa kweli" pia sio ruksa kupiga bao mbili( coz la pili utachelewa na yeye anataka fasta fasta ili apate wateja wengi pia asichoke) bao ni moja km una usongo wako ukaingie room nyingne ili uanze upya
 
Kuna chalii alinisimulia huko kwa kigamboni usiku kuna wezi walikuwa na mtindo wa kuibia watu ,kukaba siku wakaweka mtego wakampitisha demu anachezea simu sasa siku hio kuna rafiki wa huyo jamaa alipitiwa kwao na wana waende kwenye kazi yao sasa yule jamaa alikuwa anamalizia kufanya mishe kwao akawajibu nisubirieni kidogo nakuja fasta ,wale jamaa wakaamua kutangulia na wakamvaa yule demu kilichotokea waliwekwa kati saba na kuuliwa kifo cha wezi kinajulikana yule jamaa ndio anafika anakutana wenzie ndio wanakufa alilia sana na kuanzia muda ule aliacha wizi

Watu wengi hujifunza baada ya kufanya makosa badala ya kuchukua tahadhari wasifanye makosa


Wewe jamaa huna tofauti na James Ngomero[emoji23]
 
Una hatari sana na hujipendi au .........!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…