kweli jf ni kiboko, unawez kukuta tunafahamiana hata kunywa pamoja ila hizi id full kutukanana te teh... bedui, beka et al nawafahamu sana. beka ni mstaarabu, ila bedui mzee wa gongo sana hahahahaKile kijiwe kuna akina Bedui, Beka, kuna mzee mmoja anafanana na Mizengo Pinda, mzee Jose, Kobelo sijui, kuna mzee mmoja mpemba ana matusi sana nk