Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Ukiwa na mke au watoto. Sehemu hizi sio nzuri kuishi nayo:-
Mwananyamala
Magomeni
Keko
Buguruni
Ilala
Vingunguti
Bonde la msimbazi
Msasani bonde la mpunga
Iyo mieneo mtoto kudata ni kitu cha Kawaida sana
tandale
keko mwanga
uwanja wa fisi
midizini
mabibo mpakani
 
sijaona mtu kaongelea safari za ndege beach ilikuwa hatari sana
 
tandale
keko mwanga
uwanja wa fisi
midizini
mabibo mpakani
Mabibo mpakani pale shule darasa la saba kila wanaohitimu hapakosekani mashoga wa kutosha, watoto wanatatuana rinda vyooni, wenyeji wengi wanapeleka watoto wao shule zingine kama mianzini mburahati, pale mpakani sio poa, nakkoz gym pale kijiwe alichokua anashinda mashali hatari sana,
 
Sijawahi soma mada nikafurahi kama hii... Naijua Mwanyamala kama kijiwe cha bia siku moja moja wakati wa ujana ila sikuwahi jua makuu haya.. Thanks mliounzisha huu uzi hakika tumepata historia fulani mhm sana... Pia nimependa sana uchangamfu wa wenyeji yaani sina haja ya kuwa na wasiwasi na mlichosema maana mmefunguka hadi aibu... My heart beat anafanya kazi mwananyamala ananiambia ukitaka amani uelewane na wale mateja wakizidiwa wape chochote, hapo gari na mali yako vinalindwa kwa nguvu za wenyeji la sivyo kuna siku ya kulizwa......Big up people... Mshana naomba ya manzese magomeni unitag please maana hivi viwanja vilinikaribisha jijini nina ya kushare pia....
 
Tayari nshakutag
 
Aise hebu nipe ramani ya kufika huu uwanja nausikiaga tu ila sipajui
 
ya nini kujiita padri huku ukitumia maneno yasiyokuwa na staha kama kuwa...ba? Unaharibu proffesional za watu, au lengo lako huwa ni kuwadhalilisha watu hawa? Kama huwezi kutendea haki id yako, ni bora uibadilishe. Watu tunakuwa twasema padri mcharo muhuni, malaya nk. kumbe huna cha upadri!
 
Usimchokoze hiyo ni kamusi ya matusi ndugu yangu
 
Tena la kustaajabisha siyo Mkristu... Nadhani umenielewa...
 
Nilikuwaga na kadem hapo kwa mama zakaria kona karibu na godown la coca (distributor) japo home ilikuwa tabata ila nilipapenda pamechangamka mda wote
Ukamfanya nini huyo??[emoji23] [emoji23]

Rudi Tabata faasta[emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…