kagombe
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 3,615
- 1,805
tandaleUkiwa na mke au watoto. Sehemu hizi sio nzuri kuishi nayo:-
Mwananyamala
Magomeni
Keko
Buguruni
Ilala
Vingunguti
Bonde la msimbazi
Msasani bonde la mpunga
Iyo mieneo mtoto kudata ni kitu cha Kawaida sana
keko mwanga
uwanja wa fisi
midizini
mabibo mpakani