[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mashaga kawa mbaba ameoa eti nipo naye huku mitaa ya kati tumekutana tena me kumjua mashaga best friend wake yohana joshua tulisoma wote B na yohana anaishi mitaa ya kule kule kwenu kwa mbeleWhaaatttt!!!!!!! Mashaga namkumbuka tulikuwa tunaishi mtaa mmoja. Ngoja nikuelekeze kwetu halafu nijue kama utanikumbuka. Nyumba yetu inatizamana na mgahawa wa chiku kambi. Kuna geti jeusi na kuna miti ya miashoki kama 6 hivi ipo kwenye kona ya kwenda kituo cha polisi upande wa kushoto. Kwetu tulikuwa tunauza askirim
Classic
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hapo shunie lazima aje pm... mambo ya asskrim tena badala ya ice cream
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kubabake walay... Mnanipa raha mshana jr , Shunie , Mjushi
Endeeleni kutiririka mazee, mie nimeishi hapo mitaa ya kwa Salama Chaurembo karibu na uwanja wa Mw'nyamala B.
Nimewatomba sana mabinti wa maza house mpaka nikapewa Notice na mjomba wao ndio nikahama.
Kwakweli kitu nachomiss Mw'mala ni "Cheap Life".
Huduma za kijamii ziko chini na zinapatikana kwa urahisi.
Hospitali na dispensary zipo jirani, Soko la Magengeni jirani, Usafiri Daladala za kumwaga.
Misikiti sasa (mnajua mie ni Muislamu) ukikata kona msikiti huu hapa.
17 Februari 2018 saa 2 asubuhi hadi saa 12 jioni.Itakuwa lini?
Na buguruni pia, sijajua kwa sasa hali ikoje, sewa na kimboka zilikuwa zikifungwa saa 7 root kwa zero pub till kuchee, niliwahi kuopoa ma.laya akanywa safari 4 nikalala nae na kumuibia 120k, nikasepa akastuka alinifata stend na chupi tu! sitasahau!
Tarehe 17/2 /2018 mkuuItakuwa lini?
Duuh!! Huu Uzi nimeukuta upo page ya 60 nikaenda nao hatua kwa hatua........sasa nimepata cha kusimulia ndugu zangu huku Ifwenga.
He, mr Junior unapajua Ifwenga?
Napajua mkuu.
Wewe ushawahi fika huko?
Ni ya sinzaHivi Abajalo ilikuwa ni ya Mwananyamala pia?
Hahahahahaha nakumbuka wali wa Mia 200 Kwa mama ngumu alikuwa anaishi kisiwani karibu na bonde la laskoPia usisahau Mwananyamala ndio sehemu pekee unaweza ukapata Wali Maharagwe kwa tsh 300 na ukashiba kabisa!
Wezi wote wakubwa kina scadi, dame nakundi Lao lote walikuwa maskani Yao kubwa vijana sasa hivi maarufu kama Kwa manjunju mbuyuniUkitaka roba za maana Njoo mwananyamala kisiwani......
Ova