NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 11,131
- 9,301
Pale igumila igumila nadhani ni AKuna A na B
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Kuna MTU alilipia chabo akakuta mamake mzazi analiwa tigo.
Basis ndio anawazingua siku hizo hawamuelewi elewi hujui kama ni mganga au ni kitengo,na uhuni wao wamekoma.Hapana huyo simjui kwakweli
Dah kweli wewe wa mitaa hiyo.. Ndipo marehemu Masana alipoanzia mishe zake.. Sunrise pia naijua.. Huyo mzee inawezekana pia namjuaBlaza mshana unapajua kwa Mzee Mzange pale karibu na ilipokua dispensary ya Masana. Nyuma ya ofisi za chadema jimbo la Kinondoni. Jirani kabisa na Sunrise bar.
Unamjua???
DuuhKuna MTU alilipia chabo akakuta mamake mzazi analiwa tigo.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji85]Ktk uzi huu na ule mwingine wa vituko vya dar sijaiona story za mbabe wa Kimara aliitwa kundinga... huyo jamaa sasa ni chizi wa kuokota makopo Bado yupo hai.
Jamaa.... Kwanza ugomvi wake hauishi mnaweza pigana kila mkikutana kwa miezi hata miwili mpaka hamu yake iishe....kuna siku alipigana na jamaa mmoja wakajeruhiiana sasa bahati mbaya kundinga ajamkuta jamaa anatoka hospital na bandeji usoni...jamaa kumbe alikuwa na nyembe mpya akamkamata yule jamaa akamchanja chanja na nyembe jamaa ikabidi arudi tena hospital.
Kwa kifupi jamaa alikuwa ndo mbabe wa Kimara enzi hizo kwa mujibu wa maelezo.
Watu wakamchoka na serikali pia ikamchoka...kuna askari wakawa wanamtafuta kimya kimya....siku wakamkuta kimara mwisho kwa maelezo ya mtoa habari alishuka askari chiba ktk teksi kavaa kiraia, akamwambia aingie ktk ile teksi kundinga akataka kukataaa na kuanzisha utata alipigwa teke moja tuu na yule askari chiba nwenyewe akaingia ktk ile gari. Hakuonekana tena...mpaka aliporudi akiwa chizi wa kuokota makopo. Mwenye story zake ashee hapa....
[emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ndio mji na sehemu pekee Tanzania iliyokuwa mjini tokea kitambo toka 1940 uko mwananyamala ni town kumechangamka watu kibao mpaka leo mwananyamala town,town kitambo since way way back...
Umenikumbusha mbali hapa tulikuwa tunakwenda kusafisha nyotaEnzi hizo ukitaka kula kitimoto
Mwananyamala nzima ilikuwa lazima uende kwa GANAYE.
alikuwa anapatikana Mwananyamala A..
Kuna madeleke mpiga deoAndika script uwape azam
Nilikula makofi vingnguti sina hamu..[/Quote
....Hahaahaa! Tupe nzima mkuu.[emoji23] kwa nini ulikula makofi? Ulifanya nini?.
Hivi Abajalo ilikuwa ni ya Mwananyamala pia?