Hujaitendea haki Mwananyamala,bila kuitaja Kwa Manjunju, kwa mama zakaria, Komakoma,ujiji na kisiwani.
Kuanzia Kwa manjunju hadi kwa mama zakaria ni maeneo hatari sana kwa wizi wa simu, some times wezi hupandia mwananyamala kisiwani "Kituo cha shule" ila wezi wakubwa wa simu sio wanaopanda dala dala ka =ma wale wa njia ya Tandale, ni vijana waliopo chini ambao wanavizia abiria wanaochat, na maeneo hayo kuna bumps so daladala lazima iende taratibu.
Komakoma hakuna wizi ila kuna mateja wanazagaa zagaa sana,na nyakat za usiku wale malaya wanaojiuza masai club husogea komakoma mida ya alfajiri katika harakat za kurud nyumbani, ni moja ya maeneo ambayo watu huwa hawalali,na daladala hupatikana muda wote zinaanzia Mwananyamala A kuja komakoma na kwenda Buguruni, Ubungo (Kwa usiku) na Kariakoo.
Mwananyamala Kisiwani,ambayo kijiografia inakwenda kupakana na Tandale sifa yake kuu ni wasichana wanaosasambua, hao ndio wamepinda na hawana soni hata kidogo, na hata wanawake wa maeneo mengine huwashangaa, hupenda kuvalia dera mnasio na kumwaga radhi kwenye sherehe, mwanamke anaweza kuikatikia chupa na akainyanya kwa kupitia uke au sehemu ya kunyea. Haya yapo mwananyamala.
Wengine wataongeza bro
mshana jr