Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Mkuu bon jove [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] tulimkamata ktk sungusungu usk mmoja vitu tulivyomkuta navyo
1. Sabuni kipande ( punyeto)

2.spoku ya baiskel(kufungulia mapazia)

3.spoku za baiskel zimeungwa km tano
Hivi unaweza kusema anatena( hii anafungulia chandarua, kufunua shuka km umejifunika au mmejifunika mmelala)
Hahahahaahahahahahahahahahahaha daha nimecheka kwa sauti huyu jamaa alikuwa anaenda pale kwa wahaya mbele ya hospital bas aikuwa na zigo lake la kudumu....yaani alikuwa anakuja maskani hapa kona kules club tunapiga story mpaka mida ya 7 hivi sisi tunaingia kulala yeye ananyooka na road la mwananyamala hosp kumbe alikuwa anaenda kwa muhaya wake inasemekana kuna siku alienda akapiga show ya uhakika mpaka muhaya akampa ofa kuwa awe anakuja usiku kulala amsuuze baada ya kuguswaguswa mchana kutwa na hii ilikuwa free entry kwake ila kwanza lazma apitie kamanyola kuvutia hisia
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hio stor nilisikia mkuu na ile ya mjomba bojo kwenda hapo kwa wahaya mjomba bojo alikuwa mansahllah BIG DICK balaa nasikia mama alipiga " eeh iwe bojoo ili lote unataka kuliweka wapi" mjomba bojo alipewa chake maana malipo yalikuwa mwanzo
 
Hahahahaahahahahahahahahahahaha daha nimecheka kwa sauti huyu jamaa alikuwa anaenda pale kwa wahaya mbele ya hospital bas aikuwa na zigo lake la kudumu....yaani alikuwa anakuja maskani hapa kona kules club tunapiga story mpaka mida ya 7 hivi sisi tunaingia kulala yeye ananyooka na road la mwananyamala hosp kumbe alikuwa anaenda kwa muhaya wake inasemekana kuna siku alienda akapiga show ya uhakika mpaka muhaya akampa ofa kuwa awe anakuja usiku kulala amsuuze baada ya kuguswaguswa mchana kutwa na hii ilikuwa free entry kwake ila kwanza lazma apitie kamanyola kuvutia hisia
Mm hilo dogo, kuna mahala wanasimlia wakora kwamba kuna mshikaki wa govi.yaa I tohara ikifanyika zile govi huchomwa na mafuta halafu huuzwa kama vipande vya utumbo wa kuku na wa mbuzi. Jiangalie usikutane na vipande hivyo.
 
Mkuu hilo gogo ukikalia ukanyanyuka mwenzako anakimbilia nafasi, na ukirudi unalianzisha unataka sehemu yako.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inaonyesha mlikua mnafaidi sana
 
Kuna biashara inaendelea pale minazini kuna nyumba imejengwa km madarasa ya shule (jina maarufu kwa wahaya) kipindi kile bao moja ilikuwa 1500, kulala 5000 mda wa biashara ni saa 7 mchana mpaka midnite vile vyumba vina milango miwili yanii unaingia mbele unatokea nyuma..wanaojiuza unawakuta wamekaa mlangoni pale chini mteja akija hakuna ata salamu ni speed tu ndani, kuna wamasai pale wao ni km walinzi wa ile biashara ukizingua kulipa wanakupa kichapo wateja wengine walikuwa wanakwenda kutolewa ndani ya room unakuta mteja amelipa 1500 ya mwendo mmoja yeye anaunganisha basi anaitwa mmasai fasta na bakora zake....pia hawa wamasai unakuta analipwa elfu 60 kwa mwezi ila mwisho wa mwezi anaambulia elfu 8 au 10 nyingne zote anakuwa anapewa huduma sana sana za buku 5 zile za kulala usk...HAPO ni MINAZINI
Daaah umenikumbusha mbali sana kk
 
Hujaitendea haki Mwananyamala,bila kuitaja Kwa Manjunju, kwa mama zakaria, Komakoma,ujiji na kisiwani.
Kuanzia Kwa manjunju hadi kwa mama zakaria ni maeneo hatari sana kwa wizi wa simu, some times wezi hupandia mwananyamala kisiwani "Kituo cha shule" ila wezi wakubwa wa simu sio wanaopanda dala dala ka =ma wale wa njia ya Tandale, ni vijana waliopo chini ambao wanavizia abiria wanaochat, na maeneo hayo kuna bumps so daladala lazima iende taratibu.

Komakoma hakuna wizi ila kuna mateja wanazagaa zagaa sana,na nyakat za usiku wale malaya wanaojiuza masai club husogea komakoma mida ya alfajiri katika harakat za kurud nyumbani, ni moja ya maeneo ambayo watu huwa hawalali,na daladala hupatikana muda wote zinaanzia Mwananyamala A kuja komakoma na kwenda Buguruni, Ubungo (Kwa usiku) na Kariakoo.
Mwananyamala Kisiwani,ambayo kijiografia inakwenda kupakana na Tandale sifa yake kuu ni wasichana wanaosasambua, hao ndio wamepinda na hawana soni hata kidogo, na hata wanawake wa maeneo mengine huwashangaa, hupenda kuvalia dera mnasio na kumwaga radhi kwenye sherehe, mwanamke anaweza kuikatikia chupa na akainyanya kwa kupitia uke au sehemu ya kunyea. Haya yapo mwananyamala.

Wengine wataongeza bro mshana jr
Lol. Nilikua nakaa mitaa ya kwa manjunju. Siku moja kama saa sita nimekaa nje naongea na mtu ikapita daladala sijui yule mtu alijificha pale kwenye ule mti mkubwa makaburini maana nilishtuka anaingiza mkono amuibie simu dada alikua kwenye daladala.
 
Officially wezi huanzia pale,wale vijana kama wana sumaku.
 
Kuna biashara inaendelea pale minazini kuna nyumba imejengwa km madarasa ya shule (jina maarufu kwa wahaya) kipindi kile bao moja ilikuwa 1500, kulala 5000 mda wa biashara ni saa 7 mchana mpaka midnite vile vyumba vina milango miwili yanii unaingia mbele unatokea nyuma..wanaojiuza unawakuta wamekaa mlangoni pale chini mteja akija hakuna ata salamu ni speed tu ndani, kuna wamasai pale wao ni km walinzi wa ile biashara ukizingua kulipa wanakupa kichapo wateja wengine walikuwa wanakwenda kutolewa ndani ya room unakuta mteja amelipa 1500 ya mwendo mmoja yeye anaunganisha basi anaitwa mmasai fasta na bakora zake....pia hawa wamasai unakuta analipwa elfu 60 kwa mwezi ila mwisho wa mwezi anaambulia elfu 8 au 10 nyingne zote anakuwa anapewa huduma sana sana za buku 5 zile za kulala usk...HAPO ni MINAZINI

Haha!!, unawakuta wamasai wamejikunyata pale nje wanauza sigara na vipipi pipi, usiku ni mimi na ID yngu tu, nimekula sana pesa za kamata kamata mitaa ile.

Hivi adi leo wapo?
 
Nakumbuka mwaka 2009,nililala guest fulani ipo maeneo karibu na mwananyamala magengeni.Naamka asbh nakuta suruali yangu haipo ndani wakati niliiweka kwenye kiti pembeni kabla sijalala.Kuchunguza dirishani nikakuta kuna tobo limetengenezwa.Nikajua tayari nishapigwa,nikatoka nje ya ile guest ili kujua ilipo nguo yangu,nikaikuta nje ya uzio imetupwa.Kusachi mfukoni nikakuta atm card zangu, ila hela hakuna,nilikuwa nimeacha mia tano ya noti.Nilishukuru sana kwani kabla sijalala usiku nilijihami kwa kuficha hela zote chini ya mto.Ila nilijiuliza hawa jamaa walipuliza dawa ya usingizi usiku ama,maana sikushtuka na wakaweza kuitungua suruali kwa uzuri hadi kutimiza mission zao,ilibidi hadi nijichunguze sehemu nyeti kama hawajafanya yao,maana usingizi ulikuwa mzito sana.
Kwahy ulivyojichunguza ukakuta nn?? Hitimishaa basii!!!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Ukikaa na abiria mwema anakwambia kuwa "weka vizur simu yako hapa pana wezi wa simu"

Lakini kuna abiria anasubir upokonywe ndio anakwambia "mie nilijua tu utaibiwa hapa pabaya sana,nimekuona mda mrefu unaweka simu hadharani,hapa pabaya sana hapa"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ukikaa na abiria mwema anakwambia kuwa "weka vizur simu yako hapa pana wezi wa simu"

Lakini kuna abiria anasubir upokonywe ndio anakwambia "mie nilijua tu,utaibiwa hapa pabaya sana,ninekuona mda mrefu unaweka simu hadharani,hapa paaya sana hapa"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahaaaa
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom