Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
usitishike na jina mkuu... mbwa ni kitoweo kama vingine tuu ila mpishi akiikosea ndo huwa inakuwa mbaya, karibu kwetu pawaga ujue utam wa kitoweo hiki na pundaIlikua na ladha gan mkuu[emoji86] [emoji86] [emoji86]
Sijakaa Mwananyamala zaidi ya kupita tu barabarani lakini uzi huu naufatilia kwa rula bila kuruka comment yoyote, unaweza kuwa uzi bora zaidi tangu mwaka huu uanze.Hili lina ukweli kwa asilimia 99 maana hata mie ni wa mwananyamala na sipo bongo.. duuh uzi mtamu sana huu. Asante Mshana jr najisikia niko mitaa ya mwananyamala.
Meja matunda yupo mtafuna mirahaNi kweli nyumba nyingi zimeuzwa pande zile na wenyeji wengi wameahama, kuna nyumba karibu na dispensary ya mashuda walikuwa wanauza chakula kwa ajili ya makonda na madereva wa daladala tu na pia humo humo wanauza bangi na madawa. Kweli mwananyamala imebadilika zama zile zimepotea kabisa. Tushacheza sana keram kwa meja matunda.
Kumbee...!!Hapana mkuu me mtoto wa A mtoto wa kota asee watu wengi mtaani kwetu wameuza nyumba sisi bado nyumba yetu ipo huwa naenda kutembea bado ni nyumbani
Kinondoni pako poa inategemea mitaa na mitaa kuna mitaa ndio na mitaa sioMwananyamala, Sinza, Keko, Sinza, Kinondoni si pa kukaa na familia
Bora ukae upande wa pili wa barabara ya Nelson Mandela
Yupo paka Leo anachezaMimi nilikuwa sikosi kwenye kijiwe cha daraft pale A kwa Ngapu. Kuna dogo mmoja alikuwa anaitwa Shaban katoto alikuwa anapiga draft ile mbaya.
Mkuu mshana hio ni kweli kabisa wahauni walikuwa wana promse kabisa kuwa lazima niwape chabo leo WANA..sasa ole wake awazingue WANA wapo dirishani then deo awalipati kudadekii utajua kuwa wahuni awana ushikaji na mtu siku hio..**kuna huyu mmoja sasa yupo south wakuitwa jimmy yeye alikuwa ndio kamanda wa mademu kila siku dem mpya wahauni wamempa vyeo then anawapa wana deo hii nyumba anayoishi ni kwao yeye jimmy ndio kama baba mwenye nyumba pale mzee wake alifariki na mother wake yupo morogoro. kuna siku jimmy akaokota kademu mitaa ya msufini mchana tu ameopoa kale kademu kanajitia kageni Dar kabisa kimetoka pemba anaongea na lafudhi ya kipemba dah jimmy ajawai kupata mpemba akaona eeh leo nimepata nyama mpya mpya mbio mpaka kwa wahuni wake "jamaani eeeh leo deo la mpemba"" watu eeeh mpemba [emoji39] [emoji39] [emoji39] jimmy nomaaa sana mpaka mpemba oyoooooo"" bila ya kuchelewa mara Vuupu' jimmy geto na mpemba(feki) akafanya mambo yake kama kawa jimmy katoa deo..sasa jimmy huyu pia na yeye deo lipo ktk damu yake lazima amuache demu ndani japo alikuwa nae na yeye anajoin dirishani na masera wake wanamla deo dem ni basi tu mwenyewe nae anajisikia raha kuona shepu ya demu au just ajione tu anafanya nini dem akiwa alone geto ..jimmy akamwambia mpemba nakwenda kununua maji ya kunywa ya kiroba yale ya azam ilikuwa yanauzwa 50..** jimmy sasa yupo dirishani na masera wake kina bojo, boso, swea, mlela, kule ndani mtoto wa kipemba akaiendea chupi yake kwanza akainusa mara anajikunakuna chini mara anajitia kidole anatoa mara ananusa anakunja sura yake kabisa wahuni pale dirishan [emoji102] "eeh niaje hii huyu demu jini nini?? mpaka stimu zinakata dah [emoji15] jimmy mara anajisikia miwasho sehem za siri kumbe kale kapemba ni kamalaya kinyama nyama kina GONO sugu na pia sio mpemba kinatoka kwa mtogole tandale kinaitwa fatm MAGONO kinajulikana balaa tandale yote wahuni wanakipiga mande kila sikuSiku moja niko Chaga bite pale Makumbusho nikapigiwa simu nirudi haraka home kuna movie ya bure
Kufika nikaongozwa Kamanyola... Aisee niichokiona... Basi TU... Kuna mhuni alimtongoza house girl wangu halafu wakaenda kamanyola. Sasa eti jamaa akaacha pazia wazi wana wajifaidie pilau halisi
Hongereni kwa kuibaNgoja nikupe matukio ya siku ya uchaguzi halafu utasema mwenyewe unahisi matokeo yalikuaje.
Afisa mtendaji akagundulika kua anawapigisha kura wazee na vilema kwa kuwatikia CCM hata kama hawataki, kuna mlemavu wa urefu alisimamia visigino akakuta jamaa anatiki CCm akaanzisha utata Afisa akapigika askari wakaingilia.
Kuna mama alikutwa na chupa ya chai imejaa kura zilizokua zimetikiwa tayari.
Askari walikua wamejazana na magari ya maji ya kuwasha wakihimiza watu wasikae eneo hilo kabisa.
Wasimamizi na ambao walikua wanapanga tukio ni makada wa chama na mmoja ni mtoto wa mgombea.
Of course CCM tulishinda
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Pia usisahau Mwananyamala ndio sehemu pekee unaweza ukapata Wali Maharagwe kwa tsh 300 na ukashiba kabisa!
Kizaramo ennheMwananyamala maana yake ni mwana nyamaza au mtoto nyamaza
Muhun alipatikanaMkuu mshana hio ni kweli kabisa wahauni walikuwa wana promse kabisa kuwa lazima niwape chabo leo WANA..sasa ole wake awazingue WANA wapo dirishani then deo awalipati kudadekii utajua kuwa wahuni awana ushikaji na mtu siku hio..**kuna huyu mmoja sasa yupo south wakuitwa jimmy yeye alikuwa ndio kamanda wa mademu kila siku dem mpya wahauni wamempa vyeo then anawapa wana deo hii nyumba anayoishi ni kwao yeye jimmy ndio kama baba mwenye nyumba pale mzee wake alifariki na mother wake yupo morogoro. kuna siku jimmy akaokota kademu mitaa ya msufini mchana tu ameopoa kale kademu kanajitia kageni Dar kabisa kimetoka pemba anaongea na lafudhi ya kipemba dah jimmy ajawai kupata mpemba akaona eeh leo nimepata nyama mpya mpya mbio mpaka kwa wahuni wake "jamaani eeeh leo deo la mpemba"" watu eeeh mpemba [emoji39] [emoji39] [emoji39] jimmy nomaaa sana mpaka mpemba oyoooooo"" bila ya kuchelewa mara Vuupu' jimmy geto na mpemba(feki) akafanya mambo yake kama kawa jimmy katoa deo..sasa jimmy huyu pia na yeye deo lipo ktk damu yake lazima amuache demu ndani japo alikuwa nae na yeye anajoin dirishani na masera wake wanamla deo dem ni basi tu mwenyewe nae anajisikia raha kuona shepu ya demu au just ajione tu anafanya nini dem akiwa alone geto ..jimmy akamwambia mpemba nakwenda kununua maji ya kunywa ya kiroba yale ya azam ilikuwa yanauzwa 50..** jimmy sasa yupo dirishani na masera wake kina bojo, boso, swea, mlela, kule ndani mtoto wa kipemba akaiendea chupi yake kwanza akainusa mara anajikunakuna chini mara anajitia kidole anatoa mara ananusa anakunja sura yake kabisa wahuni pale dirishan [emoji102] "eeh niaje hii huyu demu jini nini?? mpaka stimu zinakata dah [emoji15] jimmy mara anajisikia miwasho sehem za siri kumbe kale kapemba ni kamalaya kinyama nyama kina GONO sugu na pia sio mpemba kinatoka kwa mtogole tandale kinaitwa fatm MAGONO kinajulikana balaa tandale yote wahuni wanakipiga mande kila siku