Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

Nimeishi na kusoma mwananyamala.Kuna mganga mmoja wa kienyeji alikuwa anaitwa profesa vulata (sijui yupo wapi nowadays).Kuna jirani yetu alienda na nduguze kupata tiba ktk clinic yake.Wakati tiba na manyanga yakiendelea,ghafla mpiga nyanga akashuka na dari puuuuu hadi chini alipokuwa mgonjwa na nduguze.Mgonjwa na nduguze walitoka mbio acha tu.
Vulata alisha fariki...kwenye 2006/7
 
Ahahahha naikumbuka na teacher Jose jaman aliyekuwa anafundisha tuition jion daah kuna siku nilikutana nae mitaa ya shekilango anafundisha tena alikua anafundisha tuition za sec
José yule mwenye lafudhi ya kikenya ?
 
MZEE DILUNGA, MSHABIKI MKEREKETWA WA YANGA, MPAKA LEO YUPO. KINYOZI CHINI YA MWEMBE, NITAPIGA PICHA YA TANGAZO LAKE LA BEI NA CONTACT
Yule Mzee kama yupo anamaisha marefu. Halafu alikuwa smart smart Hivi
 
Wale wa tandale magharibi,tandale uzuri,tandale beobeo na tandale chama tukutane hapa!
Mkuu kuna siku tulimfata Kijana mmoja anaitwa SAMILO unamjua Samilo""? Ah ah ah hio siku hio jombaa Tandale iliwaka moto Tandale ilisimama Wima...**stori ya samilo huyu jamaa maskani yake posta ni mpigaji wa kwenye magari mwiz hatar sana kila mbinu unayoijua ya upigaji yeye anaijua style zote anatumia mpaka uchawi, masterkey, spry, kushikilia kitasa n.k..
Siku ya tukio hassan ameingia bank holland pale CRDB ktk gari kuna pesa milion moja Samilo amenusa ameipitia pesa ktk gari...hassan amemaliza kilichompeleka Bank anarudi ktk gari yake mazingira yapo tofaut dah anagundua ameshaingizwa mjini..akawasha gari akarudisha report mtaani ONE NIL Smart Area mwananyamala...tukatoka mtu tatu mpaka eneo la tukio na gari lile lile tukakuta parking ile ile ipo wazi..** tukamfata dada mmoja wale waparking tukampiga bit kisawasawa dada akatoa infro kuwa wenye michezo hio ni wale wale wanaojitia kuosha magari ktk kuchekchek tunamuona muoshaji mmoja km anatukwepa kwepa hivi bila kuchelewa tukamshika tukampa vitasa vingi tu tukamwambia umetuibia ile kesi yote tukampa yeye anaitwa tibaigana huyo jamaa tukamwambia tunakwenda na wew mwananyamla. Mara vuuu polis wakatuzunguka "niaje niaje majamaa" "wazee huyu mwizi wetu tunaomba mtuachie tu" halloo hapana twendeni kituo cha kati poa tukamtia ktk gari na polis wawili njiani jamaa akatuambia aliyewapiga pesa zenu ni samilo maskani tandale sana sana uwanja wa fisi

Nafupisha ni stor ndefu sana pale kituo cha kati tuliyajua mengi sana kuhusu wezi wa city centre na mahusiano na mama moja mkubwa hapo kituoni kipndi icho

**Tunajipanga kuingia tandale sasa tukatafuta mateja wawili wa tandale wakawa maspy wetu pesa ya kete wakapewa aftr two days report ya samilo ipo mezani..haice moja, vits moja na carina moja wandewa wamejaa kila gari hakuna mwenye panga wala kisu ni NAKOZ tu tukaifunga uwanja wa fish yote ni nakoz tu kila aliyejitia kimdomdomo tukamchuka Samilo wetu mpaka mwananyamal....
 
Mkuu kuna siku tulimfata Kijana mmoja anaitwa SAMILO unamjua Samilo""? Ah ah ah hio siku hio jombaa Tandale iliwaka moto Tandale ilisimama Wima...**stori ya samilo huyu jamaa maskani yake posta ni mpigaji wa kwenye magari mwiz hatar sana kila mbinu unayoijua ya upigaji yeye anaijua style zote anatumia mpaka uchawi, masterkey, spry, kushikilia kitasa n.k..
Siku ya tukio hassan ameingia bank holland pale CRDB ktk gari kuna pesa milion moja Samilo amenusa ameipitia pesa ktk gari...hassan amemaliza kilichompeleka Bank anarudi ktk gari yake mazingira yapo tofaut dah anagundua ameshaingizwa mjini..akawasha gari akarudisha report mtaani ONE NIL Smart Area mwananyamala...tukatoka mtu tatu mpaka eneo la tukio na gari lile lile tukakuta parking ile ile ipo wazi..** tukamfata dada mmoja wale waparking tukampiga bit kisawasawa dada akatoa infro kuwa wenye michezo hio ni wale wale wanaojitia kuosha magari ktk kuchekchek tunamuona muoshaji mmoja km anatukwepa kwepa hivi bila kuchelewa tukamshika tukampa vitasa vingi tu tukamwambia umetuibia ile kesi yote tukampa yeye anaitwa tibaigana huyo jamaa tukamwambia tunakwenda na wew mwananyamla vuuu polis wakatuzungaka "niaje niaje majamaa" "wazee huyu mwizi wetu tunaomba mtuachie tu" halloo hapana twendeni kituo cha kati poa tukamtia ktk gari na polis wawili njiani jamaa akatuambia aliyewapiga pesa zenu ni samilo maskani tandale sana sana uwanja wa fisi

Nafupisha ni stor ndefu sana pale kituo cha kati tuliyajua mengi sana kuhusu wezi wa city centre na mahusiano na mama moja mkubwa hapo kituoni kipndi icho

**Tunajipanga kuingia tandale sasa tukatafuta mateja wawili wa tandale wakawa maspy wetu pesa ya kete wakapewa aftr two days report ya samilo ipo mezani..haice moja, vits moja na carina moja wandewa wamejaa kila gari hakuna mwenye panga wala kisu ni NAKOZ tu tukaifunga uwanja wa fish yote ni nakoz tu kila aliyejitia kimdomdomo tukamchuka Samilo wetu mpaka mwananyamal....
[emoji16][emoji23]alipona kweli mkuu
 
Matunge nae msanii tu mbogo,silvester watoto wake nowdys wamebaki kujichora matatoo km blackboard dah mwanayamla sio sehem salama kwa malezi ya mtoto wako...kuna mmoja alikuja kuanzisha hostel maeneo ya kwa baba happy kwa nyuma pale madada wa hostel walikuwa wanaliwa deo(chabo) mpka wamechanganyikiwa maana awana pakwenda kushitaki unakuta mjumbe wa shina nae mla deo ikafika kipindi wanapiga story tu na wazee wa chabo wakiwa madirishani..madada wanasema "basi tuacheni tulale chabo mpaka tukiwa tunajisomea?? dah na nyie mezidi""? wazee wa deo wanajibu "FUNGUA KIDOGO nione naondoka"
Hahahaha
 
Back
Top Bottom