Ipo tokea 2004Nimeshangaa sana kuona Benki maeneo ya Masai Club nikasema kweli sasa dunia imestaarabika
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ipo tokea 2004Nimeshangaa sana kuona Benki maeneo ya Masai Club nikasema kweli sasa dunia imestaarabika
Nimeona watu Wa Mwananyamala wanaulizana kuhusu pombe. Ila sisi wa magomeni kagera , Mburahati na kigogo tunaulizana ulifika au uliishia msumbiji?sure mm nimekulia magomeni kagera nimesoma karume p/s, mtaani lazima ujue kupigana
Vulata alisha fariki...kwenye 2006/7Nimeishi na kusoma mwananyamala.Kuna mganga mmoja wa kienyeji alikuwa anaitwa profesa vulata (sijui yupo wapi nowadays).Kuna jirani yetu alienda na nduguze kupata tiba ktk clinic yake.Wakati tiba na manyanga yakiendelea,ghafla mpiga nyanga akashuka na dari puuuuu hadi chini alipokuwa mgonjwa na nduguze.Mgonjwa na nduguze walitoka mbio acha tu.
Wale huwa ni matapeli na kwenye miaka ya 2003/4 walikuwa na maskani pale manyanya kama unaelekea kinondoni kanisani........nilishampiga moja roba mpaka akajinye........bila kusahau polisi feki wenye magwanda feki ya polisi wanaopatikana kituo cha basi Studio!
José yule mwenye lafudhi ya kikenya ?Ahahahha naikumbuka na teacher Jose jaman aliyekuwa anafundisha tuition jion daah kuna siku nilikutana nae mitaa ya shekilango anafundisha tena alikua anafundisha tuition za sec
Yule Mzee kama yupo anamaisha marefu. Halafu alikuwa smart smart HiviMZEE DILUNGA, MSHABIKI MKEREKETWA WA YANGA, MPAKA LEO YUPO. KINYOZI CHINI YA MWEMBE, NITAPIGA PICHA YA TANGAZO LAKE LA BEI NA CONTACT
Maana yake mtoto kaa kimya....hii ni maana ya kibantu. Lakini mshana si mtoto yeye anaongea....Najaribu kuwaza maana halisi ya jina Mwananyamala, nabaki nacheka tu
Hivi alikua na lafudhi ya kikenya kweli mida yake ilikua kuanzia sa 9José yule mwenye lafudhi ya kikenya ?
Anzisheni uzi wa tandale mkuuWale wa tandale magharibi,tandale uzuri,tandale beobeo na tandale chama tukutane hapa!
Mkuu kuna siku tulimfata Kijana mmoja anaitwa SAMILO unamjua Samilo""? Ah ah ah hio siku hio jombaa Tandale iliwaka moto Tandale ilisimama Wima...**stori ya samilo huyu jamaa maskani yake posta ni mpigaji wa kwenye magari mwiz hatar sana kila mbinu unayoijua ya upigaji yeye anaijua style zote anatumia mpaka uchawi, masterkey, spry, kushikilia kitasa n.k..Wale wa tandale magharibi,tandale uzuri,tandale beobeo na tandale chama tukutane hapa!
[emoji16][emoji23]alipona kweli mkuuMkuu kuna siku tulimfata Kijana mmoja anaitwa SAMILO unamjua Samilo""? Ah ah ah hio siku hio jombaa Tandale iliwaka moto Tandale ilisimama Wima...**stori ya samilo huyu jamaa maskani yake posta ni mpigaji wa kwenye magari mwiz hatar sana kila mbinu unayoijua ya upigaji yeye anaijua style zote anatumia mpaka uchawi, masterkey, spry, kushikilia kitasa n.k..
Siku ya tukio hassan ameingia bank holland pale CRDB ktk gari kuna pesa milion moja Samilo amenusa ameipitia pesa ktk gari...hassan amemaliza kilichompeleka Bank anarudi ktk gari yake mazingira yapo tofaut dah anagundua ameshaingizwa mjini..akawasha gari akarudisha report mtaani ONE NIL Smart Area mwananyamala...tukatoka mtu tatu mpaka eneo la tukio na gari lile lile tukakuta parking ile ile ipo wazi..** tukamfata dada mmoja wale waparking tukampiga bit kisawasawa dada akatoa infro kuwa wenye michezo hio ni wale wale wanaojitia kuosha magari ktk kuchekchek tunamuona muoshaji mmoja km anatukwepa kwepa hivi bila kuchelewa tukamshika tukampa vitasa vingi tu tukamwambia umetuibia ile kesi yote tukampa yeye anaitwa tibaigana huyo jamaa tukamwambia tunakwenda na wew mwananyamla vuuu polis wakatuzungaka "niaje niaje majamaa" "wazee huyu mwizi wetu tunaomba mtuachie tu" halloo hapana twendeni kituo cha kati poa tukamtia ktk gari na polis wawili njiani jamaa akatuambia aliyewapiga pesa zenu ni samilo maskani tandale sana sana uwanja wa fisi
Nafupisha ni stor ndefu sana pale kituo cha kati tuliyajua mengi sana kuhusu wezi wa city centre na mahusiano na mama moja mkubwa hapo kituoni kipndi icho
**Tunajipanga kuingia tandale sasa tukatafuta mateja wawili wa tandale wakawa maspy wetu pesa ya kete wakapewa aftr two days report ya samilo ipo mezani..haice moja, vits moja na carina moja wandewa wamejaa kila gari hakuna mwenye panga wala kisu ni NAKOZ tu tukaifunga uwanja wa fish yote ni nakoz tu kila aliyejitia kimdomdomo tukamchuka Samilo wetu mpaka mwananyamal....
HahahahahUzi wa mshana usingekamilika bila namba 7
Sawa sawaSubiri unakuja wa combine ya Migo Tandale Manzese na Mburahati mpaka Kigogo
Alikuwa analialia tu nipelekeni polis nipelekeni polis eti tumpeleke polis tena anatuambia kabisa nimewaiba mjini nipelekeni kituo cha kati pale..."tukamwambia samilo wale polis wameajiriwa tu ila sisi tumezaliwa tukiwa mapolis"[emoji16][emoji23]alipona kweli mkuu
HahahahaMatunge nae msanii tu mbogo,silvester watoto wake nowdys wamebaki kujichora matatoo km blackboard dah mwanayamla sio sehem salama kwa malezi ya mtoto wako...kuna mmoja alikuja kuanzisha hostel maeneo ya kwa baba happy kwa nyuma pale madada wa hostel walikuwa wanaliwa deo(chabo) mpka wamechanganyikiwa maana awana pakwenda kushitaki unakuta mjumbe wa shina nae mla deo ikafika kipindi wanapiga story tu na wazee wa chabo wakiwa madirishani..madada wanasema "basi tuacheni tulale chabo mpaka tukiwa tunajisomea?? dah na nyie mezidi""? wazee wa deo wanajibu "FUNGUA KIDOGO nione naondoka"