Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo huyo huyo alikua na kesi ya Dr Mvungi kishatoka yupo kitaa sa hiv nilimuona pale Kinondoni nasikia alikua hatar huyu jamaaDame wa mwananyamala aliisha na kesi ya dokta mvungi ile.
Pouwa na mimi ni almost same time 2001-2010 karibu na TigerMkuu nimefurahi sana na huu uzi mana umenikumbusha mbali niliwahi kukaa mwananyamala miaka ya 2002 mitaa ya nyuma ya guest ya kamanyola. Lakin kuna baadhi ya vituko nilikua sijui aisee labda kwa kuwa nilikuwa mtu wa kuja kulala asubuhi naondoka mpaka tena usiku usiache kuni tag ukileta uzi mwingine.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] JF hao wametoa a.k.a wameliweka la ukweli inabidi tulikubali tu..Rudi Mjushi mkuu hata mi nilihisi nikasema sio Mjushi huyu
Nimeona watu Wa Mwananyamala wanaulizana kuhusu pombe. Ila sisi wa magomeni kagera , Mburahati na kigogo tunaulizana ulifika au uliishia msumbiji?
Uzuri wa huu uzi umefanya watu wote wamekuwa marafiki, hakuna kuparuana watu kumbe wengine wanajuana kabisa toka enzi za utoto namuona JINGALAO naye kumbe ni mtoto wa kitaa kabisa safi sana mwisho wa siku wote ni ndugu.
Haya wazee wa Friends ranger, Messina, Kagera ranger, Nyarugusu Fc, Milambo, Faru dume, National, Las vegas, sheki utd, abajalo, sinza stars dah zama zile bwana ilikuwa hatari, MSHANA tuletee uzi wa Magomeni,Manzese, Sinza, Tandale, shekilango, mburahati,tiptop..
daaah umegusa pale pale hayo machama yote nayanyaka nimesona mwembechai karume, skani kagera mikoroshini
Hapo kamanyola kuna chochoro lilikuwa refu ndo lina madirisha ya gest kuna mshkaj anaitwa ibrahim alienda kupiga chabo akakuta mama yake mzaz anasukumiwa mashine mbuz kagoma jamaa alilia kwa sauti mpaka wakasikia wahudumu
Kuna jamaa alipigwa hela pale nyuma ya hospitali, aliulizwa simple tu, unajua kingereza? we mtoto wa mjini? akajibu ngeli napiga na mimi mtoto wa mjini wakampa bunda la blue blue na wakamwambia kabisa huo mzigo famba wanataka kumpiga mzungu, yaani ampelekee mzungu mmoja halafu eti yule mzungu atampa dola aje nazo moja kwa moja pale walipo halafu yeye ujira wake dola 100 akasema poa, hawa jamaa wakampa sharti aache wallet pale na vitambulisho vyote, jamaa kaangalia lile bulungutu la bluu bluu halafu wallet yake ina kilo tu (100,000) akaaingia line akaacha wallet na vitambulisho vyake, kapewa namba ya mzungu wakaanza kuwasiliana mpaka wakakutana na mzungu, akachukua bluu bluu akapewa bulungutu la dola katia mfukoni kasepa, kurudi kule kakuta hamna mtu, kumbe mzungu naye mpigaji tu dola alizopewa juu ilikuwa 100 famba chini dola , katikati makaratasi. Laki imeondoka.Mada ya Mfahamu James Ngomero: Bingwa mtuhumiwa wa zile maiti 11 za watoto hospitali ya Mwananyamala imenikutanisha na watu wengi ambao kwa namna moja ama nyingine tunaweza kuwa tunafahamiana kabisa...
Si hilo tu bali nimegundua sehemu kubwa wanaJF Dar wengi ni wakazi wa Mwananyamala/Kinondoni katika ujumla wake...
Kuishi Mwananyamala pekee ni chuo tosha... Ikiwapendeza kwa uwingi wetu tunaweza kuwa na huu uzi wa vituko vya Mwananyamala mtaa kwa mtaa... Naamini kama umeishi Mwananyamala hutokosa cha kusimulia.
1. Madawa ya kulevya: Mwananyamala eneo lote la Mwananyamala A ni kituo na kitovu kikubwa cha madawa ya kulevya kuanzia wauzaji mapusha mpaka watumiaji... Hospital ya mwananyamala ina kituo cha kutoa tiba kwa mateja na nadhani ndio kituo kikubwa zaidi Tanzania.
2. Hospital ya mwananyamala: Ndio hospital maarufu zaidi yenye vituko na kashfa nyingi... Kuanzia kutoa mimba, kashfa ya vichanga 11, wizi wa maiti, rushwa... Maiti iliyofumuliwa na kutolewa madawa na madaktari kuiba hayo madawa,... Nk nk.
3. Matapeli: Hapo ndio kwake.. Mitaa maarufu ikiwa ni kuanzia kwa Kopa, A mpaka karibu na Kinondoni B, wale matapeli maarufu mmoja akijulikana kama doctor... Wale matapeli kiboko wa Jerry Muro, bar yao kubwa ilikuwa nyuma ya hospital ya Mwananyamala.
4. Ofisi na kampuni za mifukoni: Eneo lote la Kinondoni Mkwajuni mpaka Biafra ni hatari kwa shughuli hizo.. Utataka nini ukose.. Mihuri ya siri? Nyaraka za serikali? Mikataba mbalimbali, nyaraka za kusafisha mizigo.. Pesa bandia, madini bandia.. Kila kitu hukosi hapo. Mitaa hiyo ni maarufu kwa madaktari feki, Wanausalama, polisi, wanajeshi mahakimu, wanasheria, wabunge hata mawaziri nk
5. Machangudoa, wasagaji, mashoga, Mario nk... Mtaa wa wibu ndio kama kitovu cha mashoga.. Ukiwasikia kina anti abuu, anti Ali hiyo ndio ilikuwa mitaa yao.. Habari za Machangudoa na wasagaji zinajulikana wazi.. Kinondoni na Mwananyamala ndio headquarters..
6. Wezi, vibaka majambazi, wakora nao wako: Ukisikia roba za mbao na watu wanaitwa mbavu Mwananyamala ndio kwao
7. Wachawi wanga na waganga Wamo pia.. Mwananyamala kuna military base kubwa sana/KILINGE ya wachawi.... Lile anga limechafuka.
8. Wasanii wanamuziki wa aina zote: Bongo movies, Taarab, na kadhali kaliba yote hii kwa sehemu kubwa chimbuko ni Mwananyamala
9. Wahamiaji haramu: Wakongo, Wamalawi, Wakenya, Waganda, Warundi nk... Sehemu kubwa wamejazana Mwananyamala.
Yako mengi ya kuandika kuhusu Mwananyamala siwezi kuyamaliza yote... Mengine yataandikwa na kusimuliwa na WanaJF - Mwananyamala Wing...
Nasikia wamesepa na hela za watu na namba zao za simu hazipatikaniDeci mpya imezuka Dar. Inaitwa mbombo nunu (kazi nzuri).
Wajanja hao wapo Mwananyamala wakifanya yao!
Hahahahaha Mzozo na vijana wake wapo, karume ya Machano? au karume ipi mkuu..
Kweli Bongo Daslam[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]Kuna jamaa alipigwa hela pale nyuma ya hospitali, aliulizwa simple tu, unajua kingereza? we mtoto wa mjini? akajibu ngeli napiga na mimi mtoto wa mjini wakampa bunda la blue blue na wakamwambia kabisa huo mzigo famba wanataka kumpiga mzungu, yaani ampelekee mzungu mmoja halafu eti yule mzungu atampa dola aje nazo moja kwa moja pale walipo halafu yeye ujira wake dola 100 akasema poa, hawa jamaa wakampa sharti aache wallet pale na vitambulisho vyote, jamaa kaangalia lile bulungutu la bluu bluu halafu wallet yake ina kilo tu (100,000) akaaingia line akaacha wallet na vitambulisho vyake, kapewa namba ya mzungu wakaanza kuwasiliana mpaka wakakutana na mzungu, akachukua bluu bluu akapewa bulungutu la dola katia mfukoni kasepa, kurudi kule kakuta hamna mtu, kumbe mzungu naye mpigaji tu dola alizopewa juu ilikuwa 100 famba chini dola , katikati makaratasi. Laki imeondoka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna jamaa alipigwa hela pale nyuma ya hospitali, aliulizwa simple tu, unajua kingereza? we mtoto wa mjini? akajibu ngeli napiga na mimi mtoto wa mjini wakampa bunda la blue blue na wakamwambia kabisa huo mzigo famba wanataka kumpiga mzungu, yaani ampelekee mzungu mmoja halafu eti yule mzungu atampa dola aje nazo moja kwa moja pale walipo halafu yeye ujira wake dola 100 akasema poa, hawa jamaa wakampa sharti aache wallet pale na vitambulisho vyote, jamaa kaangalia lile bulungutu la bluu bluu halafu wallet yake ina kilo tu (100,000) akaaingia line akaacha wallet na vitambulisho vyake, kapewa namba ya mzungu wakaanza kuwasiliana mpaka wakakutana na mzungu, akachukua bluu bluu akapewa bulungutu la dola katia mfukoni kasepa, kurudi kule kakuta hamna mtu, kumbe mzungu naye mpigaji tu dola alizopewa juu ilikuwa 100 famba chini dola , katikati makaratasi. Laki imeondoka.
Hahaha isije ikawa ya paka mkuuBalaa.
Sasa hivi kuna msambaa anapika supu hapo opposite na royal.
Kila asubuhi lazima nipate supu hapo