Wabunge ni binadamu pia. Ukiwa na pesa au status ni kazi ngumu sana kukwepa chupi ni vita ngumu mnoπ€£π€£π€£Ndo kuwafahamu viongozi na wabunge tulio nao. Wakati mwingine mnawalaumu bure tu. Kumbe ni Wabunge wa Vitu Maalum.
hivi hilo zee joka la makengeza bado lipo?Ndio vibabjaji vikaanza kuitwa...VICHENGE cc mzee nyoka wa Makengeza
Wabaya huishi sanahivi hilo zee joka la makengeza bado lipo?
Mahita akiwa RPC Kilimanjaro nyumbani kwake kulikuwa nyumbani kwetu.Mahita hajawahi kuwa RPC MOSHI huo ni uongo
Kujiendekeza tu,hakuna ugumu hapo!Wabunge ni binadamu pia. Ukiwa na pesa au status ni kazi ngumu sana kukwepa chupi ni vita ngumu mnoπ€£π€£π€£
ina maana ni kupigwa shoo sana ndio upate?Upatikanajii wa viti maalum ni zaidi hayo uliyoandika
Wa mahita alikua house girl na si dada poa,kwa chenge hapo nachelea kusema ilikua mapenzi tu,wanasheria Wana dili kafiri nyingi sanaMa IGP wana vimbwaga!. IGP Pundugu alifukuzwa kazi na Nyerere ile issues ya Mwinyi kujiuzulu.
IGP Mahita aliupata u IGP kwa kumpiga mabomu ya machozi Lyatonga Mrema, wakati huo akiwa RPC wa Moshi. Kumbe mabosi sometimes wanajipooza na wale madada!, Mahita akiwa IGP akajipooza mahali na mdada, katika kujipooza huko, si akumdunga mdada wa viwanja ujauzito!, alipoambiwa akaruka kimanga!, mdada kujifungua, ni akafyatua kitu copyright na Mahita mtu huulizi!, mtu unajiona kabisa umejizaa lakini bado unakataa.
Mahita akagoma!, wakatokea washauri huru wakamshauri bidada akamshitaki mahakamani, unaanzia mustafi wa jamii, jamaa akaitwa akagoma!, kesi ikafunguliwa, akaitwa mahakamani 'bado this time akaitika wito, akatinga mahakamani na akagoma kuwa na mahusiano na dada poa!, DNA ikamaliza kila kitu kwa siri, sasa Mahita anatunza mama na mtoto, na kusema ukweli ukiwaona sasa huyo mdada!, kumbe kuna madada wanakuwa hivyo kutokana na matunzo tuu, akipatikana mtu akawatunza vizuri, huwezi amini zamani walikuwa madada poa!.
Hawa madada wa aina hii waliokuwa madada poa baadae maisha yaka change na kuwa watu wengine, wako wengi hadi Bungeni wapo na tunawajua!.
Viongozi wengine wenye vimbwanga ni mtemi fulani, alikuwa na mchepuko wake mkoa fulani, mchepuko, ukapata mchumba, mtemi hataki mchepuko uolewe, baada ya kufanyiwa send off kwao, mtemi akauita mchepuko uje Dar aufanyie shopping ya harusi!, mchepuko ukatua Dar ukiandamana na matron wake!. Mtemi akaupeleka night club Garden Bistro, akaupiga kinywaji, na kutaka kwenda kuagana kivile kabla hajaolewa!, mchepuko tukagoma, uko na matron!, hivyo mtemi akakasirika sana!, hadi kuwarudisha law gari lake walipofikia, akawagomea.
akawaambia wachukue Bajaj, huku nyuma mtemi na bonge la 4Γ4 aifuatilia hiyo bajaj kwa nyuma kwa speed kali, akaipiga pasi ya kisawa sawa!, bajaj kule!, kwa mtindo wa hit and run, akaishia zake home kwake kuingia kulala as if nothing happened!.
Kumbe baada ya hit and run, kuna gari nyuma liliona, likamfuatilia hadi alipoingia, likarudi eneo la yukio na kuambiwa all three, dereva wa baja na abiria wake wawili ni pale pale!. Jamaa alikwenda O'bay police kuripoti na kuwapeleka polisi hadi gari lilipoingia!.
Polisi kukuta ni mtemi wakaogopa kumkamata!, asubuhi mtemi akaenda mwenyewe kituoni akafunguliwa kesi minor traffic offence ya negligence driving causing accident, akapigwa kafaini fulani kadogo na kukalipa hapo hapo!, as if abiria watatu waliokufa kwenye hit and run hiyo, walikuwa ni kuku wanapelekwa machinjioni kwa mlo wa krisimasi na mwaka mpya!.
Kwa hisani ya Pascal Mayalla
una nini cha kutoa Nusatt?Asante sana ndugu yangu.
Nipitisheni kwenye kura za maoni basi wadau
Umemalizapale ni kama darasani tu, kila mtu ana demu wake!
Kuna yule wa nyegezi ana jina la kichagga,wenye nyama watajazia.Wangapi wanajua kuwa 'jiwe' alikuwa na mchepuko manzese?
Ni maeneo ya manzese bakhresa (ulizia wachafu camp) ila alipoteuliwa kugombea akamuhamishia tegeta.
Yule demu akamtafutia kazi kwenye mgodi flani,halafu kaka ake alipelekwa Afrika Kusini kusoma.
Mwamba kila akija ni lazima anunue bia na chips kuku kwa watu atakaowakuta maeneo yale ( baba Charles muuza chips).....Ikawa mwendo wa kustuana JIWE akitimba kwa kimada wake.
Akina Msela,Kilimo, George Maruma,Zarau kitembo,kulwa,kumbukeni n.k......πππ nenda wachafu camp watafute hao utapata stori nzima!
Kuna manaibu waziri 5 wa kike na sijaona pisi ya maana. vijana mnakula vitu vya ovyo sanaKuna naibu waziri tumejipigia sana mpaka mafundi kujenga walikuwa wanajipigia mapagalani
Chifu wangu huyo Nzoka y'ihenge!Ma IGP wana vimbwaga!. IGP Pundugu alifukuzwa kazi na Nyerere ile issues ya Mwinyi kujiuzulu.
IGP Mahita aliupata u IGP kwa kumpiga mabomu ya machozi Lyatonga Mrema, wakati huo akiwa RPC wa Moshi. Kumbe mabosi sometimes wanajipooza na wale madada!, Mahita akiwa IGP akajipooza mahali na mdada, katika kujipooza huko, si akumdunga mdada wa viwanja ujauzito!, alipoambiwa akaruka kimanga!, mdada kujifungua, ni akafyatua kitu copyright na Mahita mtu huulizi!, mtu unajiona kabisa umejizaa lakini bado unakataa.
Mahita akagoma!, wakatokea washauri huru wakamshauri bidada akamshitaki mahakamani, unaanzia mustafi wa jamii, jamaa akaitwa akagoma!, kesi ikafunguliwa, akaitwa mahakamani 'bado this time akaitika wito, akatinga mahakamani na akagoma kuwa na mahusiano na dada poa!, DNA ikamaliza kila kitu kwa siri, sasa Mahita anatunza mama na mtoto, na kusema ukweli ukiwaona sasa huyo mdada!, kumbe kuna madada wanakuwa hivyo kutokana na matunzo tuu, akipatikana mtu akawatunza vizuri, huwezi amini zamani walikuwa madada poa!.
Hawa madada wa aina hii waliokuwa madada poa baadae maisha yaka change na kuwa watu wengine, wako wengi hadi Bungeni wapo na tunawajua!.
Viongozi wengine wenye vimbwanga ni mtemi fulani, alikuwa na mchepuko wake mkoa fulani, mchepuko, ukapata mchumba, mtemi hataki mchepuko uolewe, baada ya kufanyiwa send off kwao, mtemi akauita mchepuko uje Dar aufanyie shopping ya harusi!, mchepuko ukatua Dar ukiandamana na matron wake!. Mtemi akaupeleka night club Garden Bistro, akaupiga kinywaji, na kutaka kwenda kuagana kivile kabla hajaolewa!, mchepuko tukagoma, uko na matron!, hivyo mtemi akakasirika sana!, hadi kuwarudisha law gari lake walipofikia, akawagomea.
akawaambia wachukue Bajaj, huku nyuma mtemi na bonge la 4Γ4 aifuatilia hiyo bajaj kwa nyuma kwa speed kali, akaipiga pasi ya kisawa sawa!, bajaj kule!, kwa mtindo wa hit and run, akaishia zake home kwake kuingia kulala as if nothing happened!.
Kumbe baada ya hit and run, kuna gari nyuma liliona, likamfuatilia hadi alipoingia, likarudi eneo la yukio na kuambiwa all three, dereva wa baja na abiria wake wawili ni pale pale!. Jamaa alikwenda O'bay police kuripoti na kuwapeleka polisi hadi gari lilipoingia!.
Polisi kukuta ni mtemi wakaogopa kumkamata!, asubuhi mtemi akaenda mwenyewe kituoni akafunguliwa kesi minor traffic offence ya negligence driving causing accident, akapigwa kafaini fulani kadogo na kukalipa hapo hapo!, as if abiria watatu waliokufa kwenye hit and run hiyo, walikuwa ni kuku wanapelekwa machinjioni kwa mlo wa krisimasi na mwaka mpya!.
Kwa hisani ya Pascal Mayalla
Kama viongozi wakubwa wa CCM niliokula mimi? Kazi kweli kweli!Kuna manaibu waziri 5 wa kike na sijaona pisi ya maana. vijana mnakula vitu vya ovyo sana