LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 29,814
- 47,414
wale nao sijui wametokea wapi? Pisi mbovu sana zile! Ni waziri mmoja tu ndiye alikuwa pisi kaliKuna manaibu waziri 5 wa kike na sijaona pisi ya maana. vijana mnakula vitu vya ovyo sana

Ma IGP wana vimbwaga!. IGP Pundugu alifukuzwa kazi na Nyerere ile issues ya Mwinyi kujiuzulu.
IGP Mahita aliupata u IGP kwa kumpiga mabomu ya machozi Lyatonga Mrema, wakati huo akiwa RPC wa Moshi. Kumbe mabosi sometimes wanajipooza na wale madada!, Mahita akiwa IGP akajipooza mahali na mdada, katika kujipooza huko, si akumdunga mdada wa viwanja ujauzito!, alipoambiwa akaruka kimanga!, mdada kujifungua, ni akafyatua kitu copyright na Mahita mtu huulizi!, mtu unajiona kabisa umejizaa lakini bado unakataa.
Mahita akagoma!, wakatokea washauri huru wakamshauri bidada akamshitaki mahakamani, unaanzia mustafi wa jamii, jamaa akaitwa akagoma!, kesi ikafunguliwa, akaitwa mahakamani 'bado this time akaitika wito, akatinga mahakamani na akagoma kuwa na mahusiano na dada poa!, DNA ikamaliza kila kitu kwa siri, sasa Mahita anatunza mama na mtoto, na kusema ukweli ukiwaona sasa huyo mdada!, kumbe kuna madada wanakuwa hivyo kutokana na matunzo tuu, akipatikana mtu akawatunza vizuri, huwezi amini zamani walikuwa madada poa!.
Hawa madada wa aina hii waliokuwa madada poa baadae maisha yaka change na kuwa watu wengine, wako wengi hadi Bungeni wapo na tunawajua!.
Viongozi wengine wenye vimbwanga ni mtemi fulani, alikuwa na mchepuko wake mkoa fulani, mchepuko, ukapata mchumba, mtemi hataki mchepuko uolewe, baada ya kufanyiwa send off kwao, mtemi akauita mchepuko uje Dar aufanyie shopping ya harusi!, mchepuko ukatua Dar ukiandamana na matron wake!. Mtemi akaupeleka night club Garden Bistro, akaupiga kinywaji, na kutaka kwenda kuagana kivile kabla hajaolewa!, mchepuko tukagoma, uko na matron!, hivyo mtemi akakasirika sana!, hadi kuwarudisha law gari lake walipofikia, akawagomea.
akawaambia wachukue Bajaj, huku nyuma mtemi na bonge la 4×4 aifuatilia hiyo bajaj kwa nyuma kwa speed kali, akaipiga pasi ya kisawa sawa!, bajaj kule!, kwa mtindo wa hit and run, akaishia zake home kwake kuingia kulala as if nothing happened!.
Kumbe baada ya hit and run, kuna gari nyuma liliona, likamfuatilia hadi alipoingia, likarudi eneo la yukio na kuambiwa all three, dereva wa baja na abiria wake wawili ni pale pale!. Jamaa alikwenda O'bay police kuripoti na kuwapeleka polisi hadi gari lilipoingia!.
Polisi kukuta ni mtemi wakaogopa kumkamata!, asubuhi mtemi akaenda mwenyewe kituoni akafunguliwa kesi minor traffic offence ya negligence driving causing accident, akapigwa kafaini fulani kadogo na kukalipa hapo hapo!, as if abiria watatu waliokufa kwenye hit and run hiyo, walikuwa ni kuku wanapelekwa machinjioni kwa mlo wa krisimasi na mwaka mpya!.
Kwa hisani ya Pascal Mayalla
Bila shaka unamsema Waziri wa Utalii kabla ya huyu aliepo. Yule mama ni pisi kaliwale nao sijui wametokea wapi? Pisi mbovu sana zile! Ni waziri mmoja tu ndiye alikuwa pisi kali
Mbona unamrushia Paskali bomu la kutupwa? Je, atalidaka na kulilipua au atalikwepa likaangukie huko mbele ya safari?Ma IGP wana vimbwaga!. IGP Pundugu alifukuzwa kazi na Nyerere ile issues ya Mwinyi kujiuzulu.
IGP Mahita aliupata u IGP kwa kumpiga mabomu ya machozi Lyatonga Mrema, wakati huo akiwa RPC wa Moshi. Kumbe mabosi sometimes wanajipooza na wale madada!, Mahita akiwa IGP akajipooza mahali na mdada, katika kujipooza huko, si akumdunga mdada wa viwanja ujauzito!, alipoambiwa akaruka kimanga!, mdada kujifungua, ni akafyatua kitu copyright na Mahita mtu huulizi!, mtu unajiona kabisa umejizaa lakini bado unakataa.
Mahita akagoma!, wakatokea washauri huru wakamshauri bidada akamshitaki mahakamani, unaanzia mustafi wa jamii, jamaa akaitwa akagoma!, kesi ikafunguliwa, akaitwa mahakamani 'bado this time akaitika wito, akatinga mahakamani na akagoma kuwa na mahusiano na dada poa!, DNA ikamaliza kila kitu kwa siri, sasa Mahita anatunza mama na mtoto, na kusema ukweli ukiwaona sasa huyo mdada!, kumbe kuna madada wanakuwa hivyo kutokana na matunzo tuu, akipatikana mtu akawatunza vizuri, huwezi amini zamani walikuwa madada poa!.
Hawa madada wa aina hii waliokuwa madada poa baadae maisha yaka change na kuwa watu wengine, wako wengi hadi Bungeni wapo na tunawajua!.
Viongozi wengine wenye vimbwanga ni mtemi fulani, alikuwa na mchepuko wake mkoa fulani, mchepuko, ukapata mchumba, mtemi hataki mchepuko uolewe, baada ya kufanyiwa send off kwao, mtemi akauita mchepuko uje Dar aufanyie shopping ya harusi!, mchepuko ukatua Dar ukiandamana na matron wake!. Mtemi akaupeleka night club Garden Bistro, akaupiga kinywaji, na kutaka kwenda kuagana kivile kabla hajaolewa!, mchepuko tukagoma, uko na matron!, hivyo mtemi akakasirika sana!, hadi kuwarudisha law gari lake walipofikia, akawagomea.
akawaambia wachukue Bajaj, huku nyuma mtemi na bonge la 4×4 aifuatilia hiyo bajaj kwa nyuma kwa speed kali, akaipiga pasi ya kisawa sawa!, bajaj kule!, kwa mtindo wa hit and run, akaishia zake home kwake kuingia kulala as if nothing happened!.
Kumbe baada ya hit and run, kuna gari nyuma liliona, likamfuatilia hadi alipoingia, likarudi eneo la yukio na kuambiwa all three, dereva wa baja na abiria wake wawili ni pale pale!. Jamaa alikwenda O'bay police kuripoti na kuwapeleka polisi hadi gari lilipoingia!.
Polisi kukuta ni mtemi wakaogopa kumkamata!, asubuhi mtemi akaenda mwenyewe kituoni akafunguliwa kesi minor traffic offence ya negligence driving causing accident, akapigwa kafaini fulani kadogo na kukalipa hapo hapo!, as if abiria watatu waliokufa kwenye hit and run hiyo, walikuwa ni kuku wanapelekwa machinjioni kwa mlo wa krisimasi na mwaka mpya!.
Kwa hisani ya Pascal Mayalla
pisi kali nyingine ni yule mbunge wa tanga mjini, labda awe amezeeka kwa sasa, enzi zake ndio anaingia kwenye siasa alikuwa na mvuto sanaBila shaka unamsema Waziri wa Utalii kabla ya huyu aliepo. Yule mama ni pisi kali
Baada ya shoga yake kumtumbua hata asikiki siku hizipisi kali nyingine ni yule mbunge wa tanga mjini, labda awe amezeeka kwa sasa, enzi zake ndio anaingia kwenye siasa alikuwa na mvuto sana
na hiyo ndiyo first law of malavidaviUkiwa na cheo au pesa chupi is directly propotional to mkuyenge.
mbona kawaida tu, mtu anakupa utamuz utaachaje kumpa nafasi wakati una madaraka?Msimsahau DJ Zero kuupa mchepuko wake viti maalumu.
Yanii...tamaa mbayaChenge alimfanyia ukatili mkali sana huyo dereva bajaji. Matron na mchepuko wa Chenge walistahili kilicho wakuta kutokana na tamaa zao.
Ndugu yako mm nakupambania sana kikubwa ushirikiano uwe 💯💯Asante sana ndugu yangu.
Nipitisheni kwenye kura za maoni basi wadau
Jiwe nakumbuka alikuwa anatembea na mwanachuo wa chuo cha ualimu pale Mhonda, Turiani Morogoro.
Alikuwa anaitwa Asela, demu jeupeee kipindi jiwe ni waziri wa ujenzi.
Alikuwa anakuja kila Jumamosi kukutana na demu wake sehemu moja inaitwa Midizini, enzi anavaa kofia ya Pama.
Intake ya mwaka 2005-2006 Mhonda TTC wanajua hii story.
Yule demu alikuwa haguswi na mkufunzi yeyote.
Ila jiwe na wanawake weupe🙌🙌🙌🙌
Jiwe alifanya Asela aachane na mwanaume wake wa chuo aitwaye Elitwaza Twalibu kisa pesa za jiwe.
Nimeona jina langu hapa.Wangapi wanajua kuwa 'jiwe' alikuwa na mchepuko manzese?
Ni maeneo ya manzese bakhresa (ulizia wachafu camp) ila alipoteuliwa kugombea akamuhamishia tegeta.
Yule demu akamtafutia kazi kwenye mgodi flani,halafu kaka ake alipelekwa Afrika Kusini kusoma.
Mwamba kila akija ni lazima anunue bia na chips kuku kwa watu atakaowakuta maeneo yale ( baba Charles muuza chips).....Ikawa mwendo wa kustuana JIWE akitimba kwa kimada wake.
Akina Msela,Kilimo, George Maruma,Zarau kitembo,kulwa,kumbukeni n.k......😀😀😀 nenda wachafu camp watafute hao utapata stori nzima!
Usinikumbushe jinsi nilivyoachwa na demu wako.Jiwe nakumbuka alikuwa anatembea na mwanachuo wa chuo cha ualimu pale Mhonda, Turiani Morogoro.
Alikuwa anaitwa Asela, demu jeupeee kipindi jiwe ni waziri wa ujenzi.
Alikuwa anakuja kila Jumamosi kukutana na demu wake sehemu moja inaitwa Midizini, enzi anavaa kofia ya Pama.
Intake ya mwaka 2005-2006 Mhonda TTC wanajua hii story.
Yule demu alikuwa haguswi na mkufunzi yeyote.
Ila jiwe na wanawake weupe🙌🙌🙌🙌
Jiwe alifanya Asela aachane na mwanaume wake wa chuo aitwaye Elitwaza Twalibu kisa pesa za jiwe.
😀😀😀Ndo kuwafahamu viongozi na wabunge tulio nao. Wakati mwingine mnawalaumu bure tu. Kumbe ni Wabunge wa Vitu Maalum.
Watu wengi wanachanganya Moshi(wilaya) na Kilimanjaro(mkoa), Mahita aliwahi kuwa RPC Kilimanjaro na sio MoshiMahita hajawahi kuwa RPC MOSHI huo ni uongo
Siwezi kamwe, hata akikutana na mtu anajifanya anakusalimia vizuri, wengi humjua ni Waziri, alivyokuwa benchi na sasa karudi. Anajua watamshobokea tu, mimi hapana enzo1988 hujamjua tu? Anzia kulisoma jina mwisho, kuja mwanzo 😅😅😅😅😅Nimetoka kapa, ngoja nipate hela,naweza kukumbuka hii code.
Vipi kuhusu wewe, ulikosa hiyo B-card???
Tuma picha tukuone kama una Kitu MaallumAsante sana ndugu yangu.