Gunther Schwagermann
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 7,686
- 18,674
Wajuzi wanadai sayansi ya kienyeji ilimchukua.Karma is a bitch.Mwishowe aliishia wapi 😄
Ova
Wajuzi wanadai sayansi ya kienyeji ilimchukua.Karma is a bitch.Mwishowe aliishia wapi 😄
Ova
Ila magufuli alikuwa na demu anaitwa KABULA alisoma BaEd akiishi mabibo hostel 2001- 2005 yule aliyemjengea hotel pale bamaga.Mahita hajawahi kuwa RPC MOSHI huo ni uongo
Alifia Hotel maana yule alikuwa anapenda chini bana,ndy wanaume wengi tunapenda ila kuna level fulani ukifikia hutakiwi kuzidisha kiwangoWajuzi wanadai sayansi ya kienyej ilimchukua.Karma is a bitch.
Na ubunge viti maalum alipewa,naona hotel ile bamaga kaawachia wachina sasa yy alishaanza kushindwaIla magufuli alikuwa na demu anaitwa KABULA alisoma BaEd akiishi mabibo hostel 2001- 2005 yule aliyemjengea hotel pale bamaga.
Mzee alikuwa akija hostel anajificha na mapama. Nilikuwepo mabibo.
Hili nalo uongo
Yah siku hizi inaitwa jina la kichina JINHE nn sijuiNa ubunge viti maalum alipewa,naona hotel ile bamaga kaawachia wachina sasa yy alishaanza kushindwa
Ova
Enzi za jpm pale palikuwa oya oyaYah siku hizi inaitwa jina la kichina JINHE nn sijui
Maisha ni kitabu. Jpm alishiriki kuuza nyumba zaidi ya 800 za umma. Ikiwemo moja ambaye alimuuzia nduguye ambaye hakuwa mtumishi wa umma. Ishu ilipobumbuluka Jpm akakimbila polisi mabatini. Kwamba wandishi wa gazeti la RAI wanataka kumuaEnzi za jpm pale palikuwa oya oya
Parking full muda wote
Ova
Aaah aah aah.......basi hiyo stori ya 'Jiwe' unaijuwa vizuri......Nimeona jina langu hapa.
Ticha ummy!Ticha ummy nae stori zake nzito huyu aliwekwa kwenye ramani na Mzee wa msoga.kuna siku Mzee wa msoga alitembelea ubalozi flani ambao ticha alikuwa anapiga kazi,enzi hizo ticha ni mrembo balaa na Mzee yupo magogoni....
Alimtoa ubalozini ,baadae akapewa ubunge wa viti maalumu.....
Khanji niongee uongo inisaidie nini? Baki usiamini. Mimi mwenyewe sikuwa naamini. Muone vilevile iko siku utakuja ambiwa na mtu unayemuamini au kuona utanikumbuka.Sio kila kitu cha kuamini
Wengine wapo mtandaoni kuchafua watu
Mtu mwenye tabia za kimalaya hajifichi
Hapa dada bantu katunyeshwa chai🤣
Jiwe angejihurumia tu na ishu zake za moyo.Wangapi wanajua kuwa 'jiwe' alikuwa na mchepuko manzese?
Ni maeneo ya manzese bakhresa (ulizia wachafu camp) ila alipoteuliwa kugombea akamuhamishia tegeta.
Yule demu akamtafutia kazi kwenye mgodi flani,halafu kaka ake alipelekwa Afrika Kusini kusoma.
Mwamba kila akija ni lazima anunue bia na chips kuku kwa watu atakaowakuta maeneo yale ( baba Charles muuza chips).....Ikawa mwendo wa kustuana JIWE akitimba kwa kimada wake.
Akina Msela,Kilimo, George Maruma,Zarau kitembo,kulwa,kumbukeni n.k......😀😀😀 nenda wachafu camp watafute hao utapata stori nzima!
Ahsante Kaka Blackcornshman Naomba umwambie huyu Khanji kapoor maana kaanza kusema wengine, wako kuchafua watu mitandaoni.Sema Lukuvi alikula sana pumpu za pale IFM.
Mstaafu mkubwa kabisa aliyebaki aliwahi kumpa mimba mwanafunzi wa darasa la sita, binti akafukuzwa shule lkn mtoto saaa ni mkubwa hata mgao wa pesa ya mboga alikuwepo!Ma IGP wana vimbwaga!. IGP Pundugu alifukuzwa kazi na Nyerere ile issues ya Mwinyi kujiuzulu.
IGP Mahita aliupata u IGP kwa kumpiga mabomu ya machozi Lyatonga Mrema, wakati huo akiwa RPC wa Moshi. Kumbe mabosi sometimes wanajipooza na wale madada!, Mahita akiwa IGP akajipooza mahali na mdada, katika kujipooza huko, si akumdunga mdada wa viwanja ujauzito!, alipoambiwa akaruka kimanga!, mdada kujifungua, ni akafyatua kitu copyright na Mahita mtu huulizi!, mtu unajiona kabisa umejizaa lakini bado unakataa.
Mahita akagoma!, wakatokea washauri huru wakamshauri bidada akamshitaki mahakamani, unaanzia mustafi wa jamii, jamaa akaitwa akagoma!, kesi ikafunguliwa, akaitwa mahakamani 'bado this time akaitika wito, akatinga mahakamani na akagoma kuwa na mahusiano na dada poa!, DNA ikamaliza kila kitu kwa siri, sasa Mahita anatunza mama na mtoto, na kusema ukweli ukiwaona sasa huyo mdada!, kumbe kuna madada wanakuwa hivyo kutokana na matunzo tuu, akipatikana mtu akawatunza vizuri, huwezi amini zamani walikuwa madada poa!.
Hawa madada wa aina hii waliokuwa madada poa baadae maisha yaka change na kuwa watu wengine, wako wengi hadi Bungeni wapo na tunawajua!.
Viongozi wengine wenye vimbwanga ni mtemi fulani, alikuwa na mchepuko wake mkoa fulani, mchepuko, ukapata mchumba, mtemi hataki mchepuko uolewe, baada ya kufanyiwa send off kwao, mtemi akauita mchepuko uje Dar aufanyie shopping ya harusi!, mchepuko ukatua Dar ukiandamana na matron wake!. Mtemi akaupeleka night club Garden Bistro, akaupiga kinywaji, na kutaka kwenda kuagana kivile kabla hajaolewa!, mchepuko tukagoma, uko na matron!, hivyo mtemi akakasirika sana!, hadi kuwarudisha law gari lake walipofikia, akawagomea.
akawaambia wachukue Bajaj, huku nyuma mtemi na bonge la 4×4 aifuatilia hiyo bajaj kwa nyuma kwa speed kali, akaipiga pasi ya kisawa sawa!, bajaj kule!, kwa mtindo wa hit and run, akaishia zake home kwake kuingia kulala as if nothing happened!.
Kumbe baada ya hit and run, kuna gari nyuma liliona, likamfuatilia hadi alipoingia, likarudi eneo la yukio na kuambiwa all three, dereva wa baja na abiria wake wawili ni pale pale!. Jamaa alikwenda O'bay police kuripoti na kuwapeleka polisi hadi gari lilipoingia!.
Polisi kukuta ni mtemi wakaogopa kumkamata!, asubuhi mtemi akaenda mwenyewe kituoni akafunguliwa kesi minor traffic offence ya negligence driving causing accident, akapigwa kafaini fulani kadogo na kukalipa hapo hapo!, as if abiria watatu waliokufa kwenye hit and run hiyo, walikuwa ni kuku wanapelekwa machinjioni kwa mlo wa krisimasi na mwaka mpya!.
Kwa hisani ya Pascal Mayalla
Huyo alikuwa Chenge, kumbe aliuwa makusudi?Ma IGP wana vimbwaga!. IGP Pundugu alifukuzwa kazi na Nyerere ile issues ya Mwinyi kujiuzulu.

Huyo alikuwa Chenge, kumbe aliuwa makusudi?
Mtangulizi wake bado yupo uzuri alikua hajifichi wakijaa chaap UDC au ubaloziCha kushangaza watu wanamtaja Jiwe ila sioni mtu akimtaja mtangulizi wake.