Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Rizbee atahadharishwe.Asije akawapiga nao mamaza wake wa dogo kispoti.Ticha ummy!
Rizbee atahadharishwe.Asije akawapiga nao mamaza wake wa dogo kispoti.Ticha ummy!
Mkuu mademu kama ao ndiyo wazuri wa kujenga nao urafiki ili upate connectionJiwe nakumbuka alikuwa anatembea na mwanachuo wa chuo cha ualimu pale Mhonda, Turiani Morogoro.
Alikuwa anaitwa Asela, demu jeupeee kipindi jiwe ni waziri wa ujenzi.
Alikuwa anakuja kila Jumamosi kukutana na demu wake sehemu moja inaitwa Midizini, enzi anavaa kofia ya Pama.
Intake ya mwaka 2005-2006 Mhonda TTC wanajua hii story.
Yule demu alikuwa haguswi na mkufunzi yeyote.
Ila jiwe na wanawake weupe🙌🙌🙌🙌
Jiwe alifanya Asela aachane na mwanaume wake wa chuo aitwaye Elitwaza Twalibu kisa pesa za jiwe.
Unashangaa madada poa? Sasa kuna wakaka poa pia, lakini hawaingizwi kwenye mfumo, ila wazee wa mfumo wanawatafunaMa IGP wana vimbwaga!. IGP Pundugu alifukuzwa kazi na Nyerere ile issues ya Mwinyi kujiuzulu.
IGP Mahita aliupata u IGP kwa kumpiga mabomu ya machozi Lyatonga Mrema, wakati huo akiwa RPC wa Moshi. Kumbe mabosi sometimes wanajipooza na wale madada!, Mahita akiwa IGP akajipooza mahali na mdada, katika kujipooza huko, si akumdunga mdada wa viwanja ujauzito!, alipoambiwa akaruka kimanga!, mdada kujifungua, ni akafyatua kitu copyright na Mahita mtu huulizi!, mtu unajiona kabisa umejizaa lakini bado unakataa.
Mahita akagoma!, wakatokea washauri huru wakamshauri bidada akamshitaki mahakamani, unaanzia mustafi wa jamii, jamaa akaitwa akagoma!, kesi ikafunguliwa, akaitwa mahakamani 'bado this time akaitika wito, akatinga mahakamani na akagoma kuwa na mahusiano na dada poa!, DNA ikamaliza kila kitu kwa siri, sasa Mahita anatunza mama na mtoto, na kusema ukweli ukiwaona sasa huyo mdada!, kumbe kuna madada wanakuwa hivyo kutokana na matunzo tuu, akipatikana mtu akawatunza vizuri, huwezi amini zamani walikuwa madada poa!.
Hawa madada wa aina hii waliokuwa madada poa baadae maisha yaka change na kuwa watu wengine, wako wengi hadi Bungeni wapo na tunawajua!.
Viongozi wengine wenye vimbwanga ni mtemi fulani, alikuwa na mchepuko wake mkoa fulani, mchepuko, ukapata mchumba, mtemi hataki mchepuko uolewe, baada ya kufanyiwa send off kwao, mtemi akauita mchepuko uje Dar aufanyie shopping ya harusi!, mchepuko ukatua Dar ukiandamana na matron wake!. Mtemi akaupeleka night club Garden Bistro, akaupiga kinywaji, na kutaka kwenda kuagana kivile kabla hajaolewa!, mchepuko tukagoma, uko na matron!, hivyo mtemi akakasirika sana!, hadi kuwarudisha law gari lake walipofikia, akawagomea.
akawaambia wachukue Bajaj, huku nyuma mtemi na bonge la 4×4 aifuatilia hiyo bajaj kwa nyuma kwa speed kali, akaipiga pasi ya kisawa sawa!, bajaj kule!, kwa mtindo wa hit and run, akaishia zake home kwake kuingia kulala as if nothing happened!.
Kumbe baada ya hit and run, kuna gari nyuma liliona, likamfuatilia hadi alipoingia, likarudi eneo la yukio na kuambiwa all three, dereva wa baja na abiria wake wawili ni pale pale!. Jamaa alikwenda O'bay police kuripoti na kuwapeleka polisi hadi gari lilipoingia!.
Polisi kukuta ni mtemi wakaogopa kumkamata!, asubuhi mtemi akaenda mwenyewe kituoni akafunguliwa kesi minor traffic offence ya negligence driving causing accident, akapigwa kafaini fulani kadogo na kukalipa hapo hapo!, as if abiria watatu waliokufa kwenye hit and run hiyo, walikuwa ni kuku wanapelekwa machinjioni kwa mlo wa krisimasi na mwaka mpya!.
Kwa hisani ya Pascal Mayalla
Unashangaa madada poa? Sasa kuna wakaka poa pia, lakini hawaingizwi kwenye mfumo, ila wazee wa mfumo wanawatafuna
. Du watakuja pata viti maalumu, kutetea growing minority homosexual community😛Hao wapo wengi sana CCM kuna kiongozi mmoja mwanamama alisema kwenye mkutano. Na juzi juzi Mbunge mmoja akasema wawe wanapimwa kabla ya kuingia Bungeni.
. Du watakuja pata viti maalumu, kutetea growing minority homosexual community😛
Sorry dada angu mzuri😋Khanji niongee uongo inisaidie nini? Baki usiamini. Mimi mwenyewe sikuwa naamini. Muone vilevile iko siku utakuja ambiwa na mtu unayemuamini au kuona utanikumbuka.
Asela alikuja kuolewa mbeleni akiwa tayari keshaachana na jiweMkuu mademu kama ao ndiyo wazuri wa kujenga nao urafiki ili upate connection
Mimi nilikuwa natembea na mtu mkubwa tu, mwenye magari ya NBS ya kwenda TurianiUkitoa weupe pia alikuwa kisu na bonge la pini.
Madizini hiyo! Matajiri wote kuwawinda wanachuo!
Hii ilikuwa na visu, inawezekana wewe pia ulikuwemo coz kuna vitu unavielezea vya kiundani!
Ilikuwaje mpaka ukaja kwenye biashara yetu ile haramu mpaka ukafanikiwa kujenga???
Kwani lazima kile kitu jamani?Tuma picha tukuone kama una Kitu Maallum
Aisee pole sanaUsinikumbushe jinsi nilivyoachwa na demu wako.
UsijaliNdugu yako mm nakupambania sana kikubwa ushirikiano uwe 💯💯
"no no" (nakaya)Usijali
Nitaenda kuwawakilisha vyema bungeni.
Nipeni kura zenu
Binti yake akihijowa na Ayo TV alisema hakuwahi kumuona Baba yake kaumwa Ile ya hadi kulazwa tofauti na kuumwa kwa kawaida ambao kila mmoja wetu huumwa!Jiwe angejihurumia tu na ishu zake za moyo.
Nilikuwa naitafuta hii koment, ni kwl kabisa mtemi aliambiwa na mke wake, nimeshammaliza mbwa wako, nenda kamalize kesiJamaa muongo muongo huyu.
Igp si alimlala beki 3 wake na si Malaya.
Chenge hakugonga yeye bali mke wake alikua anawafatilia wezi wa bwana yake.
Ila mwisho wa siku yeye ndio akainunua case.
Uumwa✖️Binti yake akihijiwa na Ayo TV alisema hakuwahi kumuona Baba yake kaumwa Ile ya hadi kulazwa tofauti na kuumwa kwa kawaida ambao kila mmoja wetu uumwa!