Vituko vya Wakubwa Tz. Kuna Wabunge pia waliwahi kuwa Madada Poa

Hili la Mahita kuzaa zaa kila kona sibishani nalo.

Nilimshuhudia miaka ya nyuma akiwa na cheo cha Inspecta, ilikuwa mwaka 1976 katika kijiji cha Ndekeli wilaya ya Nzega huko alikuwa mkuu wa squad, walienda kutuliza ghasia kuna wananchi kama tunavyoweza kusema leo, 'waliasi' kutokana na sheria mbovu iliyokuwa ikiwabeba wezi wa mifugo, wakikamatwa wakihonga wanaachiwa, huo ndiyo ulikuwa mwanzo wa Sungusungu, Stori ndefu kidogo.

Kuja kungusa msichana flani hapo kijijini tayari kitu!

Kuzaliwa mtoto kama shombe, Mahita mtupu, jamaa ni mtaalamu wa kujizaa isee.

Baada ya oparesheni hiyo kumalizika, jamaa akakata mawasiliano na huyo msichana.

Sijui iliishiaje issue hiyo, nadhani baadaye kijana alivyokua alimfuata baba yake!

Hilo la kashifa ya bajaji, ungelisema 'joka la makengeza, watu wangekuelewa kirahisi sana.
Nadhani Mahita ana mtoto kila sehemu aliyofanya kazi
Kuna kijana wake tulisoma naye anaitwa Abdul alizaaga na muangaza huko Ngara.Yule jamaa alikua kilaza asee form two alirudia mara 4 na shule alisoma kama 5 hivi.
Jamaa mapombe ndo yaliyomuuaa (ini) lilifeli
 
Kule mjengoni Dodoma ndio Kuna balaa,wale mnaowaita waheshimiwa ukikaa nao hizo story zao...dah! Utashika kichwa...wanasifiana tu kula "donati" za bongo movie na wanachuo..
 
Hao wDada aliwanyoosha kwer kwer na tamaa zao

Nadhani Mahita ana mtoto kila sehemu aliyofanya kazi
Kuna kijana wake tulisoma naye anaitwa Abdul alizaaga na muangaza huko Ngara.Yule jamaa alikua kilaza asee form two alirudia mara 4 na shule alisoma kama 5 hivi.
Jamaa mapombe ndo yaliyomuuaa (ini) lilifeli
Pole yake!
 
Maisha hubadilka;
1.Maskini kuwa tajiri.
2.Mlevi kuacha pombe
3.Tajiri kuwa mashikini au kufilisika
4.Muislamu kuwa mkisto na kinyume chake.
5.Asiye mwamini Mungu kuwa muumini mzuri.
6.Majambazi na vibaka kuacha tabia ya wizi.
7.Mwanasiasa kuhama chama. CCM to CDM
8.Dada poa kuwa mke wa mtu.
9.Asiye na kazi kupata kazi (ajira).
10.Mwizi kuwa Mchungaji au shehe.
11.Hata bara bara ukianza safari kuna mlima na mteremko.
Una weza kuendelewa na orodha hakuna mwisho.
 
Hivi mkasa wa yule naibu waziri kumkimbia mke wake asimfumanie na mchepuke wake jamaa akatoka nduki akakimbia na kupata ajali barabarani hakufa, huo mtiti uliishia wapi? Namuona jamaa yuko bungeni akijibu maswali ya wizara yake
Ni wa wizara Gani huyo et mkuu
 
Ma IGP wana vimbwaga!. IGP Pundugu alifukuzwa kazi na Nyerere ile issues ya Mwinyi kujiuzulu.

IGP Mahita aliupata u IGP kwa kumpiga mabomu ya machozi Lyatonga Mrema, wakati huo akiwa RPC wa Moshi. Kumbe mabosi sometimes wanajipooza na wale madada!, Mahita akiwa IGP akajipooza mahali na mdada, katika kujipooza huko, si akumdunga mdada wa viwanja ujauzito!, alipoambiwa akaruka kimanga!, mdada kujifungua, ni akafyatua kitu copyright na Mahita mtu huulizi!, mtu unajiona kabisa umejizaa lakini bado unakataa.

Mahita akagoma!, wakatokea washauri huru wakamshauri bidada akamshitaki mahakamani, unaanzia mustafi wa jamii, jamaa akaitwa akagoma!, kesi ikafunguliwa, akaitwa mahakamani 'bado this time akaitika wito, akatinga mahakamani na akagoma kuwa na mahusiano na dada poa!, DNA ikamaliza kila kitu kwa siri, sasa Mahita anatunza mama na mtoto, na kusema ukweli ukiwaona sasa huyo mdada!, kumbe kuna madada wanakuwa hivyo kutokana na matunzo tuu, akipatikana mtu akawatunza vizuri, huwezi amini zamani walikuwa madada poa!.

Hawa madada wa aina hii waliokuwa madada poa baadae maisha yaka change na kuwa watu wengine, wako wengi hadi Bungeni wapo na tunawajua!.

Viongozi wengine wenye vimbwanga ni mtemi fulani, alikuwa na mchepuko wake mkoa fulani, mchepuko, ukapata mchumba, mtemi hataki mchepuko uolewe, baada ya kufanyiwa send off kwao, mtemi akauita mchepuko uje Dar aufanyie shopping ya harusi!, mchepuko ukatua Dar ukiandamana na matron wake!. Mtemi akaupeleka night club Garden Bistro, akaupiga kinywaji, na kutaka kwenda kuagana kivile kabla hajaolewa!, mchepuko tukagoma, uko na matron!, hivyo mtemi akakasirika sana!, hadi kuwarudisha law gari lake walipofikia, akawagomea.

akawaambia wachukue Bajaj, huku nyuma mtemi na bonge la 4×4 aifuatilia hiyo bajaj kwa nyuma kwa speed kali, akaipiga pasi ya kisawa sawa!, bajaj kule!, kwa mtindo wa hit and run, akaishia zake home kwake kuingia kulala as if nothing happened!.

Kumbe baada ya hit and run, kuna gari nyuma liliona, likamfuatilia hadi alipoingia, likarudi eneo la yukio na kuambiwa all three, dereva wa baja na abiria wake wawili ni pale pale!. Jamaa alikwenda O'bay police kuripoti na kuwapeleka polisi hadi gari lilipoingia!.

Polisi kukuta ni mtemi wakaogopa kumkamata!, asubuhi mtemi akaenda mwenyewe kituoni akafunguliwa kesi minor traffic offence ya negligence driving causing accident, akapigwa kafaini fulani kadogo na kukalipa hapo hapo!, as if abiria watatu waliokufa kwenye hit and run hiyo, walikuwa ni kuku wanapelekwa machinjioni kwa mlo wa krisimasi na mwaka mpya!.
#Hiyo ya Mtemi ,mpka Leo mama wa mtoto pale Mwanza Pansiansi hayuko SAWA kiakili anakunywa pombe tu analilia mwanae ,ila maisha haya dah

Kwa hisani ya Pascal Mayalla
 
Kuna kisa cha hayati Balozi Cisco Mtiro sikumbuk mwaka lakn nakumbuka aliwah kufumwa mwananyamala kwenye Party ya mashoga
 
Jiwe nakumbuka alikuwa anatembea na mwanachuo wa chuo cha ualimu pale Mhonda, Turiani Morogoro.
Alikuwa anaitwa Asela, demu jeupeee kipindi jiwe ni waziri wa ujenzi.
Alikuwa anakuja kila Jumamosi kukutana na demu wake sehemu moja inaitwa Midizini, enzi anavaa kofia ya Pama.

Intake ya mwaka 2005-2006 Mhonda TTC wanajua hii story.
Yule demu alikuwa haguswi na mkufunzi yeyote.
Ila jiwe na wanawake weupe🙌🙌🙌🙌
Jiwe alifanya Asela aachane na mwanaume wake wa chuo aitwaye Elitwaza Twalibu kisa pesa za jiwe.
Hauna picha ya Asela hapo?
 
Kuna mchafu kama mzee vikulu, yule baba hanaga mshipa wa aibu. Na huwa akichukua yeyote wa mbele yake. Anapenda jioni kuwa Super market kubwa kubwa, humo atagawa B-card zake kwa hivi vitoto vinavyojiuza kwenye sehemu zenye mikusanyiko, huwa hachagui habagui. Mpaka watu husema yuko kwenye gridi ya Taifa.
Hii code ya vikulu imekuwa ngumu kuitanzua
 
Ma IGP wana vimbwaga!. IGP Pundugu alifukuzwa kazi na Nyerere ile issues ya Mwinyi kujiuzulu.

IGP Mahita aliupata u IGP kwa kumpiga mabomu ya machozi Lyatonga Mrema, wakati huo akiwa RPC wa Moshi. Kumbe mabosi sometimes wanajipooza na wale madada!, Mahita akiwa IGP akajipooza mahali na mdada, katika kujipooza huko, si akumdunga mdada wa viwanja ujauzito!, alipoambiwa akaruka kimanga!, mdada kujifungua, ni akafyatua kitu copyright na Mahita mtu huulizi!, mtu unajiona kabisa umejizaa lakini bado unakataa.

Mahita akagoma!, wakatokea washauri huru wakamshauri bidada akamshitaki mahakamani, unaanzia mustafi wa jamii, jamaa akaitwa akagoma!, kesi ikafunguliwa, akaitwa mahakamani 'bado this time akaitika wito, akatinga mahakamani na akagoma kuwa na mahusiano na dada poa!, DNA ikamaliza kila kitu kwa siri, sasa Mahita anatunza mama na mtoto, na kusema ukweli ukiwaona sasa huyo mdada!, kumbe kuna madada wanakuwa hivyo kutokana na matunzo tuu, akipatikana mtu akawatunza vizuri, huwezi amini zamani walikuwa madada poa!.

Hawa madada wa aina hii waliokuwa madada poa baadae maisha yaka change na kuwa watu wengine, wako wengi hadi Bungeni wapo na tunawajua!.

Viongozi wengine wenye vimbwanga ni mtemi fulani, alikuwa na mchepuko wake mkoa fulani, mchepuko, ukapata mchumba, mtemi hataki mchepuko uolewe, baada ya kufanyiwa send off kwao, mtemi akauita mchepuko uje Dar aufanyie shopping ya harusi!, mchepuko ukatua Dar ukiandamana na matron wake!. Mtemi akaupeleka night club Garden Bistro, akaupiga kinywaji, na kutaka kwenda kuagana kivile kabla hajaolewa!, mchepuko tukagoma, uko na matron!, hivyo mtemi akakasirika sana!, hadi kuwarudisha law gari lake walipofikia, akawagomea.

akawaambia wachukue Bajaj, huku nyuma mtemi na bonge la 4×4 aifuatilia hiyo bajaj kwa nyuma kwa speed kali, akaipiga pasi ya kisawa sawa!, bajaj kule!, kwa mtindo wa hit and run, akaishia zake home kwake kuingia kulala as if nothing happened!.

Kumbe baada ya hit and run, kuna gari nyuma liliona, likamfuatilia hadi alipoingia, likarudi eneo la yukio na kuambiwa all three, dereva wa baja na abiria wake wawili ni pale pale!. Jamaa alikwenda O'bay police kuripoti na kuwapeleka polisi hadi gari lilipoingia!.

Polisi kukuta ni mtemi wakaogopa kumkamata!, asubuhi mtemi akaenda mwenyewe kituoni akafunguliwa kesi minor traffic offence ya negligence driving causing accident, akapigwa kafaini fulani kadogo na kukalipa hapo hapo!, as if abiria watatu waliokufa kwenye hit and run hiyo, walikuwa ni kuku wanapelekwa machinjioni kwa mlo wa krisimasi na mwaka mpya!.

Kwa hisani ya Pascal Mayalla
Mkuu, kwa hiyo huyo mtemi bado yupo?
 
Back
Top Bottom