Vituko vya Wakubwa Tz. Kuna Wabunge pia waliwahi kuwa Madada Poa

Vituko vya Wakubwa Tz. Kuna Wabunge pia waliwahi kuwa Madada Poa

Kuna mchafu kama mzee vikulu, yule baba hanaga mshipa wa aibu. Na huwa akichukua yeyote wa mbele yake. Anapenda jioni kuwa Super market kubwa kubwa, humo atagawa B-card zake kwa hivi vitoto vinavyojiuza kwenye sehemu zenye mikusanyiko, huwa hachagui habagui. Mpaka watu husema

Isome kuanzia mwisho
Aksante, km ni huyu ni Gridi kitambo tu ana anakula vitoto zaidi ya watu wazima
 
Kuna mchafu kama mzee vikulu, yule baba hanaga mshipa wa aibu. Na huwa akichukua yeyote wa mbele yake. Anapenda jioni kuwa Super market kubwa kubwa, humo atagawa B-card zake kwa hivi vitoto vinavyojiuza kwenye sehemu zenye mikusanyiko, huwa hachagui habagui. Mpaka watu husema yuko kwenye gridi ya Taifa.
Aisee....
 
Cha kushangaza watu wanamtaja Jiwe ila sioni mtu akimtaja mtangulizi wake.
Yule ni hatari pale tanga kuna sehemu inaitwa donge karibu na kwa mzee majuto maeneo ya besha mzee wa msoga kajitoa photo copy kabisa yule ni hatari walinzi walikuwa wanamdaka getini akitaka kwenda viwanja.
 
Baada ya shoga yake kumtumbua hata asikiki siku hizi
Yule jajatumbuliwa aliomba aende kule ili akaweke mambo sawa maana jimbo la tanga mjini gumu kabla chadema hawajatangaza kususia uchaguzi sema atarudi baraza lijalo kipindi kama hichi mawaziri wengi hawakipendi maana watu wanajipenyeza majimboni kwao halafu wao inabidi wawepo kwenye bajeti.
 
mbona kawaida tu, mtu anakupa utamuz utaachaje kumpa nafasi wakati una madaraka?
Kuna bwana ruge kama kuna tuzo basi ni ya kwake alionja kila kilichopita mikononi mwake.
 
Mpaka muda huu sijaona mada ya yule alyeimba "wanawake na maendeleo tusonge mbeleee" na msoga boy!
Unaambiwa hadi leo ukimgusa hiyo mama kama Una cheo cha kisiasa kama ubunge nk, jiandae kuupoteza!
Kuna jamaa alijitia kiherehere anataka kuoa siku ya harusi alikutana na kitu kizito mzee likwalile akaja kuokoa jahazi.
 
Kule mjengoni Dodoma ndio Kuna balaa,wale mnaowaita waheshimiwa ukikaa nao hizo story zao...dah! Utashika kichwa...wanasifiana tu kula "donati" za bongo movie na wanachuo..
Kuna dada mmoja alikuwa anakaa dodoma kwa waheshimiwa kipindi cha jiwe kaka yake alikuwa mkurugenzi mambo aliyokuwa anayaelezea ilikuwa balaa jinsi wabunge wanawake wanavyo wapa uroda vijana wa udom.
 
Ma IGP wana vimbwaga!. IGP Pundugu alifukuzwa kazi na Nyerere ile issues ya Mwinyi kujiuzulu.

IGP Mahita aliupata u IGP kwa kumpiga mabomu ya machozi Lyatonga Mrema, wakati huo akiwa RPC wa Moshi. Kumbe mabosi sometimes wanajipooza na wale madada!, Mahita akiwa IGP akajipooza mahali na mdada, katika kujipooza huko, si akumdunga mdada wa viwanja ujauzito!, alipoambiwa akaruka kimanga!, mdada kujifungua, ni akafyatua kitu copyright na Mahita mtu huulizi!, mtu unajiona kabisa umejizaa lakini bado unakataa.

Mahita akagoma!, wakatokea washauri huru wakamshauri bidada akamshitaki mahakamani, unaanzia mustafi wa jamii, jamaa akaitwa akagoma!, kesi ikafunguliwa, akaitwa mahakamani 'bado this time akaitika wito, akatinga mahakamani na akagoma kuwa na mahusiano na dada poa!, DNA ikamaliza kila kitu kwa siri, sasa Mahita anatunza mama na mtoto, na kusema ukweli ukiwaona sasa huyo mdada!, kumbe kuna madada wanakuwa hivyo kutokana na matunzo tuu, akipatikana mtu akawatunza vizuri, huwezi amini zamani walikuwa madada poa!.

Hawa madada wa aina hii waliokuwa madada poa baadae maisha yaka change na kuwa watu wengine, wako wengi hadi Bungeni wapo na tunawajua!.

Viongozi wengine wenye vimbwanga ni mtemi fulani, alikuwa na mchepuko wake mkoa fulani, mchepuko, ukapata mchumba, mtemi hataki mchepuko uolewe, baada ya kufanyiwa send off kwao, mtemi akauita mchepuko uje Dar aufanyie shopping ya harusi!, mchepuko ukatua Dar ukiandamana na matron wake!. Mtemi akaupeleka night club Garden Bistro, akaupiga kinywaji, na kutaka kwenda kuagana kivile kabla hajaolewa!, mchepuko tukagoma, uko na matron!, hivyo mtemi akakasirika sana!, hadi kuwarudisha law gari lake walipofikia, akawagomea.

akawaambia wachukue Bajaj, huku nyuma mtemi na bonge la 4×4 aifuatilia hiyo bajaj kwa nyuma kwa speed kali, akaipiga pasi ya kisawa sawa!, bajaj kule!, kwa mtindo wa hit and run, akaishia zake home kwake kuingia kulala as if nothing happened!.

Kumbe baada ya hit and run, kuna gari nyuma liliona, likamfuatilia hadi alipoingia, likarudi eneo la yukio na kuambiwa all three, dereva wa baja na abiria wake wawili ni pale pale!. Jamaa alikwenda O'bay police kuripoti na kuwapeleka polisi hadi gari lilipoingia!.

Polisi kukuta ni mtemi wakaogopa kumkamata!, asubuhi mtemi akaenda mwenyewe kituoni akafunguliwa kesi minor traffic offence ya negligence driving causing accident, akapigwa kafaini fulani kadogo na kukalipa hapo hapo!, as if abiria watatu waliokufa kwenye hit and run hiyo, walikuwa ni kuku wanapelekwa machinjioni kwa mlo wa krisimasi na mwaka mpya!.


Kwa hisani ya Pascal Mayalla
Hiyo story ya mwisho ya mtemi inaumiza kiaina. Watu wanajivunia vyeo na Mali.
Je mtemi bado mzima?
 
Jamaa muongo muongo huyu.
Igp si alimlala beki 3 wake na si Malaya.
Chenge hakugonga yeye bali mke wake alikua anawafatilia wezi wa bwana yake.
Ila mwisho wa siku yeye ndio akainunua case.
Ooohooo! Umetoa password 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom