Jambo Kubwa
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 225
- 395
๐๐๐๐
Achana nao tuu mkuu sio muhimu sanaAliye elewa waliowahi kuwa madada poa na leo wapo bungeni au walipata kuwa wabunge wetu wa JMT anitajie tafadhali. Sijamuelewa mleta uzi
Kuna manaibu waziri 5 wa kike na sijaona pisi ya maana. vijana mnakula vitu vya ovyo sana
wale nao sijui wametokea wapi? Pisi mbovu sana zile! Ni waziri mmoja tu ndiye alikuwa pisi kali
.....kwa hisani ya Pascal Mayalla๐ฟMa IGP wana vimbwaga!. IGP Pundugu alifukuzwa kazi na Nyerere ile issues ya Mwinyi kujiuzulu.
IGP Mahita aliupata u IGP kwa kumpiga mabomu ya machozi Lyatonga Mrema, wakati huo akiwa RPC wa Moshi. Kumbe mabosi sometimes wanajipooza na wale madada!, Mahita akiwa IGP akajipooza mahali na mdada, katika kujipooza huko, si akumdunga mdada wa viwanja ujauzito!, alipoambiwa akaruka kimanga!, mdada kujifungua, ni akafyatua kitu copyright na Mahita mtu huulizi!, mtu unajiona kabisa umejizaa lakini bado unakataa.
Mahita akagoma!, wakatokea washauri huru wakamshauri bidada akamshitaki mahakamani, unaanzia mustafi wa jamii, jamaa akaitwa akagoma!, kesi ikafunguliwa, akaitwa mahakamani 'bado this time akaitika wito, akatinga mahakamani na akagoma kuwa na mahusiano na dada poa!, DNA ikamaliza kila kitu kwa siri, sasa Mahita anatunza mama na mtoto, na kusema ukweli ukiwaona sasa huyo mdada!, kumbe kuna madada wanakuwa hivyo kutokana na matunzo tuu, akipatikana mtu akawatunza vizuri, huwezi amini zamani walikuwa madada poa!.
Hawa madada wa aina hii waliokuwa madada poa baadae maisha yaka change na kuwa watu wengine, wako wengi hadi Bungeni wapo na tunawajua!.
Viongozi wengine wenye vimbwanga ni mtemi fulani, alikuwa na mchepuko wake mkoa fulani, mchepuko, ukapata mchumba, mtemi hataki mchepuko uolewe, baada ya kufanyiwa send off kwao, mtemi akauita mchepuko uje Dar aufanyie shopping ya harusi!, mchepuko ukatua Dar ukiandamana na matron wake!. Mtemi akaupeleka night club Garden Bistro, akaupiga kinywaji, na kutaka kwenda kuagana kivile kabla hajaolewa!, mchepuko tukagoma, uko na matron!, hivyo mtemi akakasirika sana!, hadi kuwarudisha law gari lake walipofikia, akawagomea.
akawaambia wachukue Bajaj, huku nyuma mtemi na bonge la 4ร4 aifuatilia hiyo bajaj kwa nyuma kwa speed kali, akaipiga pasi ya kisawa sawa!, bajaj kule!, kwa mtindo wa hit and run, akaishia zake home kwake kuingia kulala as if nothing happened!.
Kumbe baada ya hit and run, kuna gari nyuma liliona, likamfuatilia hadi alipoingia, likarudi eneo la yukio na kuambiwa all three, dereva wa baja na abiria wake wawili ni pale pale!. Jamaa alikwenda O'bay police kuripoti na kuwapeleka polisi hadi gari lilipoingia!.
Polisi kukuta ni mtemi wakaogopa kumkamata!, asubuhi mtemi akaenda mwenyewe kituoni akafunguliwa kesi minor traffic offence ya negligence driving causing accident, akapigwa kafaini fulani kadogo na kukalipa hapo hapo!, as if abiria watatu waliokufa kwenye hit and run hiyo, walikuwa ni kuku wanapelekwa machinjioni kwa mlo wa krisimasi na mwaka mpya!.
Kwa hisani ya Pascal Mayalla
Uzuri hata wao wamo humu na wanajua kuunganisha dots. Subiri majibu tuKuna spesho chea mmoja anakaa hapo Biafra ๐๐ Ni maharage ya Mbeya Maji mara moja na kuni mbili
Nikiachwa nitaleta mrejesho
Duh, mbona hafananii?? Huwa namchukulia kama mmoja wa wazee wachache waaminifu waliobaki hai kwenye hii nchi mbovu! Na uzee ule,anaenda kufanya nini kwenye bed??? Au masharti???Anzia kulisoma jina mwisho, kuja mwanzo
Nani huyu?Siwezi kamwe, hata akikutana na mtu anajifanya anakusalimia vizuri, wengi humjua ni Waziri, alivyokuwa benchi na sasa karudi. Anajua watamshobokea tu, mimi hapana enzo1988 hujamjua tu? Anzia kulisoma jina mwisho, kuja mwanzo ๐ ๐ ๐ ๐ ๐
Ukitoa weupe pia alikuwa kisu na bonge la pini.Jiwe nakumbuka alikuwa anatembea na mwanachuo wa chuo cha ualimu pale Mhonda, Turiani Morogoro.
Alikuwa anaitwa Asela
Madizini hiyo! Matajiri wote kuwawinda wanachuo!sehemu moja inaitwa Midizini,
Hii ilikuwa na visu, inawezekana wewe pia ulikuwemo coz kuna vitu unavielezea vya kiundani!Intake ya mwaka 2005-2006 Mhonda TTC wanajua hii story
kuna mkuu mmoja wa mkoa fulani ni pisi kali mama yuleAngalia wabunge na wakuu wa Mikoa.
Ndo hao hao....Bila shaka hata yule aliyetuita kenge nae ni mmojawapo
Sio kila kitu cha kuaminiDuh, mbona hafananii?? Huwa namchukulia kama mmoja wa wazee wachache waaminifu waliobaki hai kwenye hii nchi mbovu! Na uzee ule,anaenda kufanya nini kwenye bed??? Au masharti???
lakini akaja kufa kiulaini, karma haikumuacha salamaBraza Dito yeye alifyatua mtu risasi live barabarani,akaibuka nyumbani kwa Tibaigana Obay kujishitaki,alafu siku ya hukumu akaingilia ule mlango anaingilia hakimu na kesi akabatua.
๐๐๐ Code imezingatiwa haswaaUzuri hata wao wamo humu na wanajua kuunganisha dots. Subiri majibu tu
Mwishowe aliishia wapi ๐Braza Dito yeye alifyatua mtu risasi live barabarani,akaibuka nyumbani kwa Tibaigana Obay kujishitaki,alafu siku ya hukumu akaingilia ule mlango anaingilia hakimu na kesi akabatua.
Sema Lukuvi alikula sana pumpu za pale IFM.Siwezi kamwe, hata akikutana na mtu anajifanya anakusalimia vizuri, wengi humjua ni Waziri, alivyokuwa benchi na sasa karudi. Anajua watamshobokea tu, mimi hapana enzo1988 hujamjua tu? Anzia kulisoma jina mwisho, kuja mwanzo ๐ ๐ ๐ ๐ ๐