Vituko vya watoto na ripoti za matokeo

Huyu wakwangu juzi aliniomba buku ya kitabu cha matokeo mwl wao aliwaagiza, nikampa. leo naulizia matokeo yako wapi anasema ile hela kapoteza baada ya kumbana sana anasema alinunua big boom za hela yote.
 
Mwanangu kawa wa kwanza kati ya watoto 92. Hii shule ni ya kata. Mwaka jana ilitoa four na zero tu.
Nataka mwanangu aje avunje rekodi, atoe gundu kwenye hii shule, hainaga one,two au three, wao ni four na zero tu.
Ukipata four ya 26 wewe ndio genius.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…