Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
- Thread starter
- #21
Mpeleke tuitionMwanangu kawa wa kwanza kati ya watoto 92. Hii shule ni ya kata. Mwaka jana ilitoa four na zero tu.
Nataka mwanangu aje avunje rekodi, atoe gundu kwenye hii shule, hainaga one,two au three, wao ni four na zero tu.
Ukipata four ya 26 wewe ndio genius.
Mnunulie vitabu
Jaribu kumsapoti