Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee!! Nimepigwa surprize leo.Sisi tunakula cartoons tu hapa.
Tutaanza kuulizana matokeo na rank za darasani tukifika P5.
Namkubali sana huyu mrembo wangu.
Mpunguzie ratiba ya runingaAisee!! Nimepigwa surprize leo.
P2. Toka awe Prep1 anakuwaga #1&2 kwa kila mtihani wanaofanya..
I wasn't concerned na kuwa wa kwanza au pili, nilichokuwa najali ni anajua kila concept ya anachofundishwa..
Daaah! Leo anakuja hapa amekuwa wa 9..
Aisee nimejikuta sijali tena kama anajua concept au nini, why awe wa 9? Anajitetea but i have A plus all subjects-- Najikuta simuelewi!
Sema dogo carroons zimemuelemea..
NimechekaMbaya zaidi mtoto anakujia na homework ya kifaransa akiamini baba anajua zaidi.. huwa najipokelesha simu natoka nikiongea narudi usiku wa manane na kuondoka mapema kabla hajaamka!…
Yaani nimecheka kwa sauti kubwa,tangu siku imeanza sijacheka hivi,duuuuMwalimu aliomba Elf 45 mwezi uliopita kwaajili ya Uniform ya mtoto (Huyo aliosimama chini).View attachment 1809651
Haki ya mungu hatoiona pepo ya mungu.
Mungu ni mkuuuMwenyezi Mungu atawaajalia pia. Hata sisi wengine tulivumilia sana haikuwa rahisi kupata Watoto[emoji120][emoji120]
Watoto ndo wanarudi likizo
Swalehe hapa karudi kawa wa 34 namwuliza imekuwaje umeporomoka toka namba moja ananambia
Baba kwani elfu moja na elfu kumi ipi kubwa nkamjibu elfu kumi
Akanambia Basi sawa mzee , Mimi ndo namba kubwa hapo kuliko wote 😁 na kuliko pacha wake Micaela (yeye kawa wa tano )nmeshindwa kumjibu chochote maana Kuna homework alileta akakosa zote nlifanya nae kwenda shuleni wakamwambia wewe na baba yako wote wajinga 😥😂
Nmewaacha na ugomvi hapa yeye na dada ake waamue nani ana namba kubwa 🤦🏾♂️
Wewe umekutana na kituko gani ?