Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
- Thread starter
- #141
Mimi nltaka niwafate walimu wao bwana wee sisi tunalipa hawa muwafundishe halafu nyie mnazngua mnaleta maswali magumu 🤦🏾♂️Aaah baada ya hapo ndio ilibidi niwe na mawasiliano mujarab na mwalimu wake maana mambo ya "mama wewe hujui" siyataki tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maana wakati nimekazana na ile ya zamani akawa ananitazama tu usoni kama hanisomi hivi, ndio akaona mambo yasiwe mengi akanyanyuka na daftari lake[emoji1787][emoji1787]