Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
- Thread starter
-
- #141
Mimi nltaka niwafate walimu wao bwana wee sisi tunalipa hawa muwafundishe halafu nyie mnazngua mnaleta maswali magumu 🤦🏾♂️Aaah baada ya hapo ndio ilibidi niwe na mawasiliano mujarab na mwalimu wake maana mambo ya "mama wewe hujui" siyataki tena[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maana wakati nimekazana na ile ya zamani akawa ananitazama tu usoni kama hanisomi hivi, ndio akaona mambo yasiwe mengi akanyanyuka na daftari lake[emoji1787][emoji1787]
😂😂🤦🏾♂️🙌Like your mom.
Mzazi ni mwalimu namba moja wa mtoto baba bulubendi jamani.Mimi nltaka niwafate walimu wao bwana wee sisi tunalipa hawa muwafundishe halafu nyie mnazngua mnaleta maswali magumu [emoji2365]
Mzazi ni mwalimu namba moja wa mtoto baba bulubendi jamani.
Vyote[emoji1787]Ila sisi si tuwafundishe informal education?
Mpaka hayo ya darasani?!
Kama na wewe umeandika utumbo huu,ni dhahiri akili yako ni sawa na ya walevi kumi wakikaa pamoja.Watoto ndo wanarudi likizo
Swalehe hapa karudi kawa wa 34 namwuliza imekuwaje umeporomoka toka namba moja ananambia
Baba kwani elfu moja na elfu kumi ipi kubwa nkamjibu elfu kumi
Akanambia Basi sawa mzee , Mimi ndo namba kubwa hapo kuliko wote [emoji16] na kuliko pacha wake Micaela (yeye kawa wa tano )nmeshindwa kumjibu chochote maana Kuna homework alileta akakosa zote nlifanya nae kwenda shuleni wakamwambia wewe na baba yako wote wajinga [emoji26][emoji23]
Nmewaacha na ugomvi hapa yeye na dada ake waamue nani ana namba kubwa [emoji2365]
Wewe umekutana na kituko gani ?
Nae atasomea neuro?Genius
Anajua flow ya damu kwenye moyo wa binadamu I simply taught him akaelewa
Ana utani tu na masihara
Hahaha 😂Kama na wewe umeandika utumbo huu,ni dhahiri akili yako ni sawa na ya walevi kumi wakikaa pamoja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Atasoma anachokipenda mkuuNae atasomea neuro?
mimi binafsi sikubaliani na kumuahidi mtoto zawadi ndio afaulu, kufaulu kwa mtoto kunapaswa kuwa ni wajibu wake, ila akishafaulu unaweza kumpa zawadi.Yes,wanunulie but kwa hayo makubaliano kuwa ni Mkopo,unawadanganya wakifail Dec kufikia malengo unabeba Bicycles zako,nakuhakikishia hapatakalika,maana watakuwa wameshaonja na uzuri wa kuride bicycles.
Huu uzi ulikuja kama joke lakini nikiuangalia kwa jocho la tatu hii sio joke. Ni uhalisia.
Kijana wangu, nimemtupa lockup baada ya kufanya vibaya. Ki ukweli kafail haswa. Na ni std 7 graduate to be. Sasa nikamweka lockup kwa siku nzima ya j'mosi iliyopita. Lengo lilikuwa ni kumchimba bit.
Sasa akitoka tuition haendi popote ni kujisomea tu.
mimi binafsi sikubaliani na kumuahidi mtoto zawadi ndio afaulu, kufaulu kwa mtoto kunapaswa kuwa ni wajibu wake, ila akishafaulu unaweza kumpa zawadi.
siku kusipokua na zawadi/ahadi itakuwaje?
ziko njia nyingi za kumpush mtoto zaidi ya hiyo ya ahadi, hata kazini napewa malengo baada ya KUYAFIKIA ndo napewa zawadi, hata mtoto unaweza kumpa malengo na kutumia njia nyinginezo kumpush, baada ya kuyafikia malengo ndio unampa zawadi, na sio ahadi ili ayafikie malengo.But pia hii inaweza kuwa kama motisha ya kumpush afanye vizuri zaidi.Kumbuka kuna watoto wengine ni average,wanahitaji kuwa pushed ili wafanye vizuri,so ahadi ya zawadi itamfaa zaidi mtoto huyu.Ni kama tu wewe kazini unavyopewa malengo na ukiyafikia unapata bonus,why huwa unapewa malengo na mwajiri wako?