Vitumbua vya nyama ya kusaga

Vitumbua vya nyama ya kusaga

asante mamii

auntie akija nitampikia last time alikuja nikampikia samaki hakutaka kuondoka na mama yake

Haahahaha sawa bi shosti angu mara hii ataleta na mabegi lol

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mi kwakweli huwa natamani nije nukae nawewe mwezi tu nijifunze hizo mambo
make najua kupiga ugali tu tena wa kisukuma
thanks farkhina

Ah mie pia najifunza jamati am not a chef kwa kweli....ila sinaga uchoyo abadan nnachojua na share na wenzangu apa lol

Sasa shosti nami unifunze huo ugari wa kisukuma ndo mnapikaje?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Asante sana , kwan lazima samli? Nikitumia mafuta ya alizeti?

Upendavyo my dear its ok kutumia mafuta ya alizeti au vegetable oil mie tu nimependa kutumia samli

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
asante sana kwa recipe nzuri na nyepesi sana kuifwata.....

Na kuandaa ni mara 1 dakika 45 tu vitumbua tayar tena kama pan yako haigandishi ndio kabisaa

Heee nlipika saa 1 na nusu mana huku upishi huku mtoto analia kazi kweli kweli..

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Na kuandaa ni mara 1 dakika 45 tu vitumbua tayar tena kama pan yako haigandishi ndio kabisaa

Heee nlipika saa 1 na nusu mana huku upishi huku mtoto analia kazi kweli kweli..

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

na huo ndio utu uzima mwaya majukumu huyakimbii............
nitajaribu af utapata fback
 
Sante dia
Aisee inatamanisha sana...vipi hakuna cha unga wa ngano??
 
na huo ndio utu uzima mwaya majukumu huyakimbii............
nitajaribu af utapata fback

Shukraan mpenzi ok hamna tabu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hahahahahaha
Mimi teena...nirahisi na hakuna mambo meeengi
Shukran sasa mama..salimie mwanao

Salam zimefika hamna tatizo

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Ah mie pia najifunza jamati am not a chef kwa kweli....ila sinaga uchoyo abadan nnachojua na share na wenzangu apa lol

Sasa shosti nami unifunze huo ugari wa kisukuma ndo mnapikaje?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Huu ugali wa kisukuma ni ule mgumu ile mbaya
yani ukila mchana hadi usiku unakuwa umeshiba....
 
farkhina asante sana nitajaribu lkn mwenzio nakata tamaaa kwani chuma changu nlinunua kariakoo basi kinagandisha hicho balaa au pengine sijui namna ya kupika vitumbua huenda kuna pahala nakosea. Ila asante kwa mapishi mapya sasa hiyo samli kopo lake likoje manake kweli ziko za aina nyingi hebu niwekee picha ya kopo lake ili nikinunua nisikosee
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom