- Thread starter
- #21
asante mamii
auntie akija nitampikia last time alikuja nikampikia samaki hakutaka kuondoka na mama yake
Haahahaha sawa bi shosti angu mara hii ataleta na mabegi lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asante mamii
auntie akija nitampikia last time alikuja nikampikia samaki hakutaka kuondoka na mama yake
Mi kwakweli huwa natamani nije nukae nawewe mwezi tu nijifunze hizo mambo
make najua kupiga ugali tu tena wa kisukuma
thanks farkhina
Asante sana , kwan lazima samli? Nikitumia mafuta ya alizeti?
asante sana kwa recipe nzuri na nyepesi sana kuifwata.....
Na kuandaa ni mara 1 dakika 45 tu vitumbua tayar tena kama pan yako haigandishi ndio kabisaa
Heee nlipika saa 1 na nusu mana huku upishi huku mtoto analia kazi kweli kweli..
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Asante ntajaribu weekend hii...
Kila la kheir
Sent from my iPhone using JamiiForums mobile...
na huo ndio utu uzima mwaya majukumu huyakimbii............
nitajaribu af utapata fback
Shukraan mpenzi ok hamna tabu
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
next recipe plzz mention me manake nitaiona na kuisoma.
Sante dia
Aisee inatamanisha sana...vipi hakuna cha unga wa ngano??
Hamna bhana huachi vituko wewe hahahhahahaha unakumbuka nliwahi kuweka vya kuku...
Pitia apa na wengine mkipenda en shaAllah
https://www.jamiiforums.com/jf-chef/562939-vitumbua-vya-kuku.html
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Hahahahahaha
Mimi teena...nirahisi na hakuna mambo meeengi
Shukran sasa mama..salimie mwanao
Haahahaha sawa bi shosti angu mara hii ataleta na mabegi lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
mkwe vitumbua vitam sana,mi huwa nikila mpaka nasinzia,na viwe na chai maziwaBAK MziziMkavu Nyani Ngabu SHERRIF ARPAIO Jerrymsigwa utafiti Bantu lady Heaven on Earth King'asti kiwatengu Kibo10 amu Chocs Ennie Swts Mrs Kharusy Angel Nylon masai dada Kim nana Evelyn Salt Ablessed gorgeousmimi Viol ndetichia KakaJambazi mshana jr na wengine mje jikoni lol
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Ah mie pia najifunza jamati am not a chef kwa kweli....ila sinaga uchoyo abadan nnachojua na share na wenzangu apa lol
Sasa shosti nami unifunze huo ugari wa kisukuma ndo mnapikaje?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
mamiiii umekaona pale kwenye pic wasap?