Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 4,274
- 9,326
Israel ilishajaribu kulipua nuke facility za Isfahan katika shambulio la mwisho walilofanya la ndege 100 na wakashindwa.Ngoja vita vianze ndio tutajua ukweli, hizi story za kwenye al kasus na kashata tumesha zizoea humu.
Do you think there is a single entrance to the site???The Iranian nuclear sites being a half a mile underground isn't an obstacle because once you strike the entrance/exit means the Iranians will automatically be denied the access to the sites something that will render the project virtually irrelevant.
Sawa EKSIPATI.The Iranian nuclear sites being a half a mile underground isn't an obstacle because once you strike the entrance/exit means the Iranians will automatically be denied the access to the sites something that will render the project virtually irrelevant.
Hauhitaj ku nuke hivyo vituo, USA walifanya kwa namna nyingine kabisa na kuharibuIsrael ilishajaribu kulipua nuke facility za Isfahan katika shambulio la mwisho walilofanya la ndege 100 na wakashindwa.
Wamelipua tu majengo juu ila nuke facility chini zilibaki vile vile.
Mkuu last time ulikua mstari wa mbele kupinga kua Israel haijagusa nuclear facilities za Iran leo umepatwa na nn???Israel ilishajaribu kulipua nuke facility za Isfahan katika shambulio la mwisho walilofanya la ndege 100 na wakashindwa.
Wamelipua tu majengo juu ila nuke facility chini zilibaki vile vile.
Lini na wapi?Hauhitaj ku nuke hivyo vituo, USA walifanya kwa namna nyingine kabisa na kuharibu
Mkuu umeelewa maelezo yangu!?Mkuu last time ulikua mstari wa mbele kupinga kua Israel haijagusa nuclear facilities za Iran leo umepatwa na nn???
U turn???
Usimfananishe Iran na Israel.Kwanin wanaficha hvyo na wanasema ni wababe kwani na israel nae kafcha mail ngap chin ya ardi? ili tujue kunguru mwoga ninan
Operation olympic games 2007-2008 . Joint opps between israel and US, walichofanya wao ni ku insert computer virus ku attack vinu vya nuclearLini na wapi?
Lete ushahidi.
Ni sahihi ila je Kila wakati cyber attack itafanikiwa??Operation olympic games 2007-2008 . Joint opps between israel and US, walichofanya wao ni ku insert computer virus ku attack vinu vya nuclear
Ni popular operashion kwa wale wanaopenda masuala ya ulinzi na usalama. mpaka kuna movie ambayo ime iga lile tukio
inaweza au isiweze kufanikiwa mara kwa mara (itategemea wahusika wamejipangaje) , Wahusika wana mbinu nyingi , cyberattack ina namna nyingi ya kufanyika. We dont know kitu gani wanafanya kwa sasa, we dont know kitu gani au mbinu gani itatumika nextNi sahihi ila je Kila wakati cyber attack itafanikiwa??
Jibu hapana.
Unawajua israelWadau hamjamboni nyote? Vituo vya nyuklia vya Iran vimezikwa nusu maili chini ya ardhi, Miundombinu nyeti zaidi ya nyuklia ya Iran iko chini kabisa ya ardhi na haiwezi kuharibiwa kwa kombora hata moja, mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la uangalizi wa nyuklia Rafael Grossi aliliambia gazeti la Financial Times, huku akionya juu ya hatari ikiwa mazungumzo juu ya mpango wa nyuklia wa nchi hiyo yatashindwa. "Mambo nyeti zaidi ni nusu maili chini ya ardhi - nimekuwa huko mara nyingi," FT alinukuu Grossi akisema. "Ili kufika huko unachukua handaki ya ond chini, chini, chini." Grossi alisema kuvunjika kwa mazungumzo kunaweza kusababisha mzozo. "Jambo la Iran lina uwezekano wa ajabu kuwa janga. Ikiwa kutakuwa na kushindwa katika mazungumzo, hii itamaanisha uwezekano mkubwa wa hatua za kijeshi," alisema. Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Iran’s nuclear facilities are buried half a mile underground, Grossi tells FT
Iran’s most sensitive nuclear infrastructure lies far beneath the surface and cannot be destroyed by a single strike, UN nuclear watchdog chief Rafael Grossi told the Financial Times, as he warned of the risks if negotiations over the country’s nuclear program fail.
“The most sensitive things are half a mile underground — I have been there many times,” FT quoted Grossi as saying. “To get there you take a spiral tunnel down, down, down.”
Grossi said a breakdown in talks would likely lead to conflict. “The Iranian thing has incredible potential to become catastrophic. If there is a failure in negotiation, this will imply most probably military action,” he said::. - Iran International