Frank Wanjiru
Platinum Member
- Apr 12, 2012
- 25,686
- 46,842
Nasubiri vilio kuwa Iran anaonewaIrana wako mbele ya muda jamaa anadhani wa iran hawakuliona hilo
Nasubiri vilio kuwa Iran anaonewaIrana wako mbele ya muda jamaa anadhani wa iran hawakuliona hilo
Nimeshtushwa na hii comment naangalia mara mbili aliye post huyu ni Kosugi au nani?Mkuu last time ulikua mstari wa mbele kupinga kua Israel haijagusa nuclear facilities za Iran leo umepatwa na nn???
U turn???
Hata Nasrallah alijua kwenye undergraound tena very deep hatopatikana mwisho wa siku alitawanywa ubongo na myaudi. Haniyah alijua kwa kukaa Iran tena eneo la IRGC hatopatwa na myahudi lakin saa hizi yupo kuzimu.Israel ilishajaribu kulipua nuke facility za Isfahan katika shambulio la mwisho walilofanya la ndege 100 na wakashindwa.
Wamelipua tu majengo juu ila nuke facility chini zilibaki vile vile.
They can succeed in hiding the lab several metres underground but they can't prevent the entrance/exit from being known to the technologically advanced foes.Do you think there is a single entrance to the site???
Ooh nkajua anaficha kwakumwoogopa israel mana ndo huwa wanabif kumbe anabif na watu wengneUsimfananishe Iran na Israel.
Iran ana maadui wengi sana ambao moja wapo ni wababe wa dunia.
Hivyo kujilinda kwa wingi ni sahihi.
Usimfananishe na Israel ambaye maadui zake wachovu na hawana nguvu yeyote hao waarabu kina Hamas.
Fananisha nuke sites na mtu kukaa juu ya ardhi???Hata Nasrallah alijua kwenye undergraound tena very deep hatopatikana mwisho wa siku alitawanywa ubongo na myaudi. Haniyah alijua kwa kukaa Iran tena eneo la IRGC hatopatwa na myahudi lakin saa hizi yupo kuzimu.
Nishampa maelezo kama una akili ya kuelewa nenda kasome utaelewa.Nimeshtushwa na hii comment naangalia mara mbili aliye post huyu ni Kosugi au nani?
Tunasubiri Israel wajifiche chini ya mahandaki kama shambulizi la promise 1 na 2.Nasubiri vilio kuwa Iran anaonewa
Tulia Israel atakapotoa kipondo nitakukumbusha. Wewe unafikiria mwilini mimi nafikiria rohoni kwa hiyo kuna vitu ninapoandika wewe huwezi elewa kamwe na ukichanganya na akili yako na uwezo wako wa kufikiri wa kikobaaz ndiyo kabisaaa huwezi elewa hata ufanyeje.Fananisha nuke sites na mtu kukaa juu ya ardhi???
Huwenda una wazimu unaugua wewe.
Je shambulio la ndege mia waliposhambulia na Isfahan nuclear site walifanikiwa??
Au naongea na kichaa hapa??
A psychopath on his best😂😂😂😂😂😂 woow woow woow.Tulia Israel atakapotoa kipondo nitakukumbusha. Wewe unafikiria mwilini mimi nafikiria rohoni kwa hiyo kuna vitu ninapoandika wewe huwezi elewa kamwe na ukichanganya na akili yako na uwezo wako wa kufikiri wa kikobaaz ndiyo kabisaaa huwezi elewa hata ufanyeje.
Pole mkuu endelea kula nyama enjoy muda ukifika ndo utaelewaA psychopath on his best😂😂😂😂😂😂 woow woow woow.
Waaah waah waah nilisahau tatizo lako la akili.
Nishakukumbuka kaka wacha mie nyamaze nilikusahau kabisaa dooh!Pole mkuu endelea kula nyama enjoy muda ukifika ndo utaelewa
Hizi taarifa mnatoaga wapi? Mbona watanzania tunajua Mambo mengi kuliko wahusika?😂😂😂mtanzania wa nachingwea,kwimba,bwanga,kinesi na nyang'wale anajua vitu ambavyo wakaazi wa Lebanon, Syria, Israel na saudia hawajui😂😂😂 Ila sasa muulize mtanzania huyu huyu kuhusu maovu ya serikali yake,HAJUI😂😂😂Iran Leo nao wamedukua taarifa za nuclear facilities zote zilizopo Israel wamezipata mpaka chumbani zilipo funguo hivyo hii itakua mwaga mboga tumwage ugali
Waajemi wana akili nzuri sana.Wadau hamjamboni nyote? Vituo vya nyuklia vya Iran vimezikwa nusu maili chini ya ardhi, Miundombinu nyeti zaidi ya nyuklia ya Iran iko chini kabisa ya ardhi na haiwezi kuharibiwa kwa kombora hata moja, mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la uangalizi wa nyuklia Rafael Grossi aliliambia gazeti la Financial Times, huku akionya juu ya hatari ikiwa mazungumzo juu ya mpango wa nyuklia wa nchi hiyo yatashindwa. "Mambo nyeti zaidi ni nusu maili chini ya ardhi - nimekuwa huko mara nyingi," FT alinukuu Grossi akisema. "Ili kufika huko unachukua handaki ya ond chini, chini, chini." Grossi alisema kuvunjika kwa mazungumzo kunaweza kusababisha mzozo. "Jambo la Iran lina uwezekano wa ajabu kuwa janga. Ikiwa kutakuwa na kushindwa katika mazungumzo, hii itamaanisha uwezekano mkubwa wa hatua za kijeshi," alisema. Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Iran’s nuclear facilities are buried half a mile underground, Grossi tells FT
Iran’s most sensitive nuclear infrastructure lies far beneath the surface and cannot be destroyed by a single strike, UN nuclear watchdog chief Rafael Grossi told the Financial Times, as he warned of the risks if negotiations over the country’s nuclear program fail.
“The most sensitive things are half a mile underground — I have been there many times,” FT quoted Grossi as saying. “To get there you take a spiral tunnel down, down, down.”
Grossi said a breakdown in talks would likely lead to conflict. “The Iranian thing has incredible potential to become catastrophic. If there is a failure in negotiation, this will imply most probably military action,” he said::. - Iran International
Iranians are no fools, remembers.The Iranian nuclear sites being a half a mile underground isn't an obstacle because once you strike the entrance/exit means the Iranians will automatically be denied the access to the sites something that will render the project virtually irrelevant.
Uvivu wako wa kutafuta na kuchakata taarifa usilinganishe na wengine we are all Tanzanians lakini amini nakuambia tuko tofauti Sana usije ukafikiri watanzania wote wako sawa unakosea mno hapo hapo Tanzania Kuna most intelligent persons wanafanya kazi na taasis kubwa duniani Kama CIA, Mossad na kampuni kubwa uwezi amini acha dharau fuatilia mambo TU uwe informed.Hizi taarifa mnatoaga wapi? Mbona watanzania tunajua Mambo mengi kuliko wahusika?😂😂😂mtanzania wa nachingwea,kwimba,bwanga,kinesi na nyang'wale anajua vitu ambavyo wakaazi wa Lebanon, Syria, Israel na saudia hawajui😂😂😂 Ila sasa muulize mtanzania huyu huyu kuhusu maovu ya serikali yake,HAJUI😂😂😂
Huyo Iran hata Aweke kilometer moja kwenda chini Bado hanalolote, hana madhara!Wadau hamjamboni nyote? Vituo vya nyuklia vya Iran vimezikwa nusu maili chini ya ardhi, Miundombinu nyeti zaidi ya nyuklia ya Iran iko chini kabisa ya ardhi na haiwezi kuharibiwa kwa kombora hata moja, mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la uangalizi wa nyuklia Rafael Grossi aliliambia gazeti la Financial Times, huku akionya juu ya hatari ikiwa mazungumzo juu ya mpango wa nyuklia wa nchi hiyo yatashindwa. "Mambo nyeti zaidi ni nusu maili chini ya ardhi - nimekuwa huko mara nyingi," FT alinukuu Grossi akisema. "Ili kufika huko unachukua handaki ya ond chini, chini, chini." Grossi alisema kuvunjika kwa mazungumzo kunaweza kusababisha mzozo. "Jambo la Iran lina uwezekano wa ajabu kuwa janga. Ikiwa kutakuwa na kushindwa katika mazungumzo, hii itamaanisha uwezekano mkubwa wa hatua za kijeshi," alisema. Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo: Iran’s nuclear facilities are buried half a mile underground, Grossi tells FT
Iran’s most sensitive nuclear infrastructure lies far beneath the surface and cannot be destroyed by a single strike, UN nuclear watchdog chief Rafael Grossi told the Financial Times, as he warned of the risks if negotiations over the country’s nuclear program fail.
“The most sensitive things are half a mile underground — I have been there many times,” FT quoted Grossi as saying. “To get there you take a spiral tunnel down, down, down.”
Grossi said a breakdown in talks would likely lead to conflict. “The Iranian thing has incredible potential to become catastrophic. If there is a failure in negotiation, this will imply most probably military action,” he said::. - Iran International
Hahaha Israel haijawahi kuishambulia Iran na ndege 100.Israel ilishajaribu kulipua nuke facility za Isfahan katika shambulio la mwisho walilofanya la ndege 100 na wakashindwa.
Wamelipua tu majengo juu ila nuke facility chini zilibaki vile vile.