Vituo vya nyuklia vya Iran vimezikwa nusu maili chini ya ardhi, haiwezi kuharibiwa na kombora hata moja

Israel ilishajaribu kulipua nuke facility za Isfahan katika shambulio la mwisho walilofanya la ndege 100 na wakashindwa.
Wamelipua tu majengo juu ila nuke facility chini zilibaki vile vile.
Hata Nasrallah alijua kwenye undergraound tena very deep hatopatikana mwisho wa siku alitawanywa ubongo na myaudi. Haniyah alijua kwa kukaa Iran tena eneo la IRGC hatopatwa na myahudi lakin saa hizi yupo kuzimu.
 
Do you think there is a single entrance to the site???
They can succeed in hiding the lab several metres underground but they can't prevent the entrance/exit from being known to the technologically advanced foes.
 
Usimfananishe Iran na Israel.
Iran ana maadui wengi sana ambao moja wapo ni wababe wa dunia.
Hivyo kujilinda kwa wingi ni sahihi.
Usimfananishe na Israel ambaye maadui zake wachovu na hawana nguvu yeyote hao waarabu kina Hamas.
Ooh nkajua anaficha kwakumwoogopa israel mana ndo huwa wanabif kumbe anabif na watu wengne
 
Hata Nasrallah alijua kwenye undergraound tena very deep hatopatikana mwisho wa siku alitawanywa ubongo na myaudi. Haniyah alijua kwa kukaa Iran tena eneo la IRGC hatopatwa na myahudi lakin saa hizi yupo kuzimu.
Fananisha nuke sites na mtu kukaa juu ya ardhi???
Huwenda una wazimu unaugua wewe.
Je shambulio la ndege mia waliposhambulia na Isfahan nuclear site walifanikiwa??
Au naongea na kichaa hapa??
 
Fananisha nuke sites na mtu kukaa juu ya ardhi???
Huwenda una wazimu unaugua wewe.
Je shambulio la ndege mia waliposhambulia na Isfahan nuclear site walifanikiwa??
Au naongea na kichaa hapa??
Tulia Israel atakapotoa kipondo nitakukumbusha. Wewe unafikiria mwilini mimi nafikiria rohoni kwa hiyo kuna vitu ninapoandika wewe huwezi elewa kamwe na ukichanganya na akili yako na uwezo wako wa kufikiri wa kikobaaz ndiyo kabisaaa huwezi elewa hata ufanyeje.
 
Iran Leo nao wamedukua taarifa za nuclear facilities zote zilizopo Israel wamezipata mpaka chumbani zilipo funguo hivyo hii itakua mwaga mboga tumwage ugali
 
A psychopath on his best😂😂😂😂😂😂 woow woow woow.
Waaah waah waah nilisahau tatizo lako la akili.
 
A psychopath on his best😂😂😂😂😂😂 woow woow woow.
Waaah waah waah nilisahau tatizo lako la akili.
Pole mkuu endelea kula nyama enjoy muda ukifika ndo utaelewa
 
Iran Leo nao wamedukua taarifa za nuclear facilities zote zilizopo Israel wamezipata mpaka chumbani zilipo funguo hivyo hii itakua mwaga mboga tumwage ugali
Hizi taarifa mnatoaga wapi? Mbona watanzania tunajua Mambo mengi kuliko wahusika?😂😂😂mtanzania wa nachingwea,kwimba,bwanga,kinesi na nyang'wale anajua vitu ambavyo wakaazi wa Lebanon, Syria, Israel na saudia hawajui😂😂😂 Ila sasa muulize mtanzania huyu huyu kuhusu maovu ya serikali yake,HAJUI😂😂😂
 
Waajemi wana akili nzuri sana.
 
The Iranian nuclear sites being a half a mile underground isn't an obstacle because once you strike the entrance/exit means the Iranians will automatically be denied the access to the sites something that will render the project virtually irrelevant.
Iranians are no fools, remembers.
 
Uvivu wako wa kutafuta na kuchakata taarifa usilinganishe na wengine we are all Tanzanians lakini amini nakuambia tuko tofauti Sana usije ukafikiri watanzania wote wako sawa unakosea mno hapo hapo Tanzania Kuna most intelligent persons wanafanya kazi na taasis kubwa duniani Kama CIA, Mossad na kampuni kubwa uwezi amini acha dharau fuatilia mambo TU uwe informed.
Huiwezi fuatilia kitu ambacho huna interest ya kujua deeply (tgov) may be some information is just enough.

***************************************
❗️Iran obtains massive trove of sensitive Israeli documents

Iran’s intelligence agencies have acquired a large cache of highly sensitive and strategic documents from the Israeli regime, including thousands of files pertaining to its nuclear infrastructure and plans.

According to sources cited by the Islamic Republic of Iran Broadcasting (IRIB), the breach marks one of the most significant setbacks for Israel.

The sources explained that while the operation to secure the documents was carried out some time ago, the extensive volume of material and the need to ensure its secure transfer into Iran required a period of complete secrecy.

They added that the sheer quantity of documents, along with accompanying photos and videos, has required a considerable amount of time to review and analyze.

(Press TV), from Telegram
 
Huyo Iran hata Aweke kilometer moja kwenda chini Bado hanalolote, hana madhara!
Israel ni nomaaa!
 
Israel ilishajaribu kulipua nuke facility za Isfahan katika shambulio la mwisho walilofanya la ndege 100 na wakashindwa.
Wamelipua tu majengo juu ila nuke facility chini zilibaki vile vile.
Hahaha Israel haijawahi kuishambulia Iran na ndege 100.

Sikujua kama shisha ina levya.
Shambulio la mwisho ilikuwa ndege tatu moja ilishambulia na mbili zilikuwa escot kuilinda hiyo moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…