Naanza kukuona una ugonjwa wa akili.Hahaha Israel haijawahi kuishambulia Iran na ndege 100.
Sikujua kama shisha ina levya.
Shambulio la mwisho ilikuwa ndege tatu moja ilishambulia na mbili zilikuwa escot kuilinda hiyo moja.
Embu soma habari kutoka Times of Israel ikisema kuwa more than 100 war planes were used.Hahaha Israel haijawahi kuishambulia Iran na ndege 100.
Sikujua kama shisha ina levya.
Shambulio la mwisho ilikuwa ndege tatu moja ilishambulia na mbili zilikuwa escot kuilinda hiyo moja.
Tumia kiswahili,nikuelewe. Ushasema hatuko sawa Kuna wenye AKILI akina nyie mnaondika Kwa kukariri na kudanganywa na chama afu kundi lingine ni sie tusio na akili ya kuandika Kwa mihemko wala urujuani kitiliUvivu wako wa kutafuta na kuchakata taarifa usilinganishe na wengine we are all Tanzanians lakini amini nakuambia tuko tofauti Sana usije ukafikiri watanzania wote wako sawa unakosea mno hapo hapo Tanzania Kuna most intelligent persons wanafanya kazi na taasis kubwa duniani Kama CIA, Mossad na kampuni kubwa uwezi amini acha dharau fuatilia mambo TU uwe informed.
Huiwezi fuatilia kitu ambacho huna interest ya kujua deeply (tgov) may be some information is just enough.
***************************************
❗️Iran obtains massive trove of sensitive Israeli documents
Iran’s intelligence agencies have acquired a large cache of highly sensitive and strategic documents from the Israeli regime, including thousands of files pertaining to its nuclear infrastructure and plans.
According to sources cited by the Islamic Republic of Iran Broadcasting (IRIB), the breach marks one of the most significant setbacks for Israel.
The sources explained that while the operation to secure the documents was carried out some time ago, the extensive volume of material and the need to ensure its secure transfer into Iran required a period of complete secrecy.
They added that the sheer quantity of documents, along with accompanying photos and videos, has required a considerable amount of time to review and analyze.
(Press TV), from Telegram
Umetuma debe la unga Gaza au unapiga porojo JF?Irana wako mbele ya muda jamaa anadhani wa iran hawakuliona hilo
Duuh mjomba nenda taratibu utafika TU unapokwenda omba elimu na ufahamu Kwa mola wako.Tumia kiswahili,nikuelewe. Ushasema hatuko sawa Kuna wenye AKILI akina nyie mnaondika Kwa kukariri na kudanganywa na chama afu kundi lingine ni sie tusio na akili ya kuandika Kwa mihemko wala urujuani kitili
Kama nilivyoahidi nakukumbusha Israel anatoa kisago kwa wairani wako uliokuwa unawatetea hapo. Na kwa taarifa yako siku zaja Russia naye atapewa kipondo na Israel najua kwa kwa sasa hutaelewa kamwe ila itakapotokeaa utakumbuka maneno yangu. Pole sana mkuuTulia Israel atakapotoa kipondo nitakukumbusha. Wewe unafikiria mwilini mimi nafikiria rohoni kwa hiyo kuna vitu ninapoandika wewe huwezi elewa kamwe na ukichanganya na akili yako na uwezo wako wa kufikiri wa kikobaaz ndiyo kabisaaa huwezi elewa hata ufanyeje.