Vituo vya Yatima (Orphanages) ni biashara ya utumwa

Pale wazinzi wanapo jitahidi kutetea uzinzi wao na matunda yake.

Jamii Sasa imefanya zinaa kuwa tendo la sifa na haramu kuipaka mafuta.

Jamii ya Sasa inajivunia kudanga na aina nyinginezo za umalaya.

Jamii ya Sasa usingle mama ni sifa, yakiwashinda hayo ndio matokeo yake.

Namuuunga mkono FaizaFoxy kwenye hili.
 
acha watu wapige pesa me mwenyewe nina mpango wa kuomba hela ndefu nje kwa mgongo wa kituo cha yatima watakaobahatika kuhudumiwa watahudumiwa na nitafanya mambo yangu. huo ni mchongo kama michongo mingine
 
Mkuu FaizaFoxy kama usemacho ni kweli basi hawa wahusika watakuwa wanamkosea sana Mwenyezi Mungu kwa sababu wengi huwa tunakwenda kutoa sadaka zetu kwa watoto yatima ili zisaidie ku wafanyia wepesi kwenye maisha yao , sasa kama watu wanafanya huo upuuzi I don't know what to say

Nafikiri meanwhile badala ya kupeleka pesa nitakuwa napeleka mahitaji kama mahitaji mfano chakula, nguo, vifaa vya shule, kuwalipia gharama.za shule , kuwalipia bima etc kama ni kutoa pesa hapo kituoni badala ya kuwapa milioni moja mimi nitanunua mahitaji ya laki tisa na nusu halafu kituoni napeleka elfu hamsini...


Najua kwa wabongo jinsi walivyo sisi tunao toaga misaada kwenye hivyo vituo tunajuaga kuna upigaji wa ganji tu yani kama umetoa laki moja basi kiongozi wa kituo anapigilia elfu thelathini kituoni anatoa elfu sabini kumbe sio hivyo tena?


Kitu pekee ambacho huwa kinanikera kwenye vituo hivyo ni kuwatumia hao watoto kwenye dua na maombi marefu.

Kwa mfano kwenye kituo cha kikristo mtu anaenda kutoa msaada halafu anataka kupiga maombi ya kukesha na watoto.. ( unapata dhambi bure kwa kuwatesa viumbe wa Mwenyezi Mungu )

Kwenye kituo cha kiislamu mtu anaenda anatoa msaada wake halafu anataka kupiga Yasin 45 na hao watoto yatima( badala.ya kuwafanyia wepesi wewe ndo unazidi kuya fanya maisha yao kuwa magumu)

Nani alikwambia uki fanya maombi / dua na yatima ndo Mungu anasikia maombi yako?


Vitabu vinasema wasaidie watoto yatima sio fanya maombi/ dua na yatima.

Je utapenda mtoto wako akeshe kwenye dua/maombi kwa ajili ya mtu mwenye tamaa kama wewe?

Nafikiri ita make sense zaidi ikiwa wewe ndo uende kwenye kituo utoe msaada kisha uwaombee dua au uwafanyie maombi..
 
Wengi wanapeleka mahitqji lakini nayo yanauzwa.

Njia mbadala ni kutafuta yatima wa kweli umlee kwako au tafuta yatima wanaolelewa kwa ndugu zao wa karibu uisupport hiyo family, bila watoto kujuwa.
 
acha watu wapige pesa me mwenyewe nina mpango wa kuomba hela ndefu nje kwa mgongo wa kituo cha yatima watakaobahatika kuhudumiwa watahudumiwa na nitafanya mambo yangu. huo ni mchongo kama michongo mingine
Ndio hiyo biashara ya utumwa kwa kutumia huruma za watu.
 
Tena hivyo vituo, vingine wanauza mpaka "bikra".
 
Acha ujuha wewe, enzi za Giza my foot....acha ujuaji wa kijinga! Huna moral authority ya kuwaita Yatima watoto haramu! Shut up Faiza kama unateseka nenda na wewe kafungue, bytheway miccm si ndio inaendesha baadhi ya vituo?
Hakuna "yatima" kwenye hivyo vituo. Kanisome tena.
 
Nimekujibu pale juu, ukajikausha!
Hakuna yatima kwenye hivyo vituo, wamejazwa watoto wasio na bahati, watoto waliopatikana kwa wazazi wao kufanya haramu.

Wengine humo watoto wa babu zao na kaka zao.
 
Hi mada imenisikitisha sana.
Kwanza hakuna binadamu chini ya jua aliyekamilika.
Yaani Mtakatifu.

Kwa kifupi kutokana na na ubinadamu wetu sisi sote kuna wakati tunakuwa haramu.

Ni kwa njia ya kutubu tu na kupata msamaha toka kwa Mwenyezi Mungu ndio tunarudi kwenye uhalari.

Binadamu kama binadamu huna mamlaka ya kunyoosha kidole kusema yule ni halari na yule ni haramu.

Mungu peke yake ndio anajua nani haramu na nani halari.

Kuhusu huduma ya watoto yatima kwanza jiulize. Wewe kama wewe unatunza mayatima wangapi ?

Kama huna hata yatima mmoja unayemlea jiulize kwanini ?

Kuhusu huduma mbovu za watunza Yatima. Katika maisha yetu hakuna taasisi Takatifu.

Tunasikia kila leo jinsi wakuu wa taasisi wanavyo najisi watu katika taasisi hizo.

Mapadre wanabaka, wachungaji wanapora wake za watu, maaskofu wanarekodi picha chafu,
Maraisi wanauwa halaiki ya watu wasio na hatia.

Ni taasisi gani inayoendeshwa kitakatifu hapa duniani ?

Natoa pongezi nyingi kwa wamiliki wa vituo vya kutunza yatima. Wanachofanya ni ibada tosha.
 
Vituo ambavyo havina yatima na vya kulelea yatima vina uhalali au uharamu?

Wapi kaitwa binadamu haramu? Kama ulivyoadika?

Dukushangsi, ikiwa hata uandika vizuri huelewi utaelewa kusoma?

Rudi juu kanisome upya.
 
Vituo ambavyo havina yatima na vya kulelea yatima vina uhalali au uharamu?

Wapi kaitwa binadamu haramu? Kama ulivyoadika?

Dukushangsi, ikiwa hata uandika vizuri huelewi utaelewa kusoma?

Rudi juu kanisome upya.
1.Wewe unalea vizuri yatima wangapi ?
2.Ndoa halari ni ipi ?
 
Bibi amezungumza jambo la msingi Sana ,jadilini hoja iliyoko ,lugha zake abaki nazo mwenyewe
 
Kwahiyo hapo mkuu jamii imekosa dini.
 
Mtoto akishazaliwa ukimhukumu au kumbagaza unamuonea tu kwani sio matakwa yake.
 
Sasa hapo Utumwa uko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…