Vituo vya Yatima (Orphanages) ni biashara ya utumwa

Hizi dini/Imani zinatuharibia sana utu, unawezaje kumuita binadamu mwenzako kuwa ni tunda/zao la uasherati? Hivi Kuna mtu anaependa azaliwe kwa njia hio? Kote nakubaliana na wewe Ila kwa hii statement, HAPANA aiseeee!

Mbegu au hatua ya kuzaliana huwa hainaga hizo Habari za zinaa au uasherati! MUNGU ndio anayeruhusu Uumbaji utokee. Shukrani
Uko sawa... Hata hadith za mtume Muhammad (saww) zinaafiki hili
 
Hizi dini/Imani zinatuharibia sana utu, unawezaje kumuita binadamu mwenzako kuwa ni tunda/zao la uasherati? Hivi Kuna mtu anaependa azaliwe kwa njia hio? Kote nakubaliana na wewe Ila kwa hii statement, HAPANA aiseeee!

Mbegu au hatua ya kuzaliana huwa hainaga hizo Habari za zinaa au uasherati! MUNGU ndio anayeruhusu Uumbaji utokee. Shukrani
Ndio maana wanaitwa " wa haramu" hao ni wa uasherati na uzinzi na ndio waliojazwa vituo vya "yatima" na "watoto wa mitaani".

Wewe wazazi wako walikuzaa nje ya ndoa? Umelelewa kituo cha "yatima".
 
Majjipolo

Hiyo definition yako ya mtoto "harama" ni fikra zako tu.

"Mtoto wa haramu' ni yule anaepatikana nje ya ndoa. Elewa kuwa hapo ina maanisha baba na mama yake walifanya haramu, uzinzi au uasherati nje ya ndoa halali. Waliofanya haramu ni wazazi sio mtoto aliyepatikana.

Mada ni vituo vya "yatima" sio uharamu na uhalali wa watoto isipokua nimeona nikuweke sawa tu.
Imani yako inakufanya ufikirie kama kuku.smh
 
Ndio maana wanaitwa " wa haramu" hao ni wa uasherati na uzinzi na ndio waliojazwa vituo vya "yatima" na "watoto wa mitaani".

Wewe wazazi wako walikuzaa nje ya ndoa? Umelelewa kituo cha "yatima".
Unavyotamka sasa, utadhani walipenda wazaliwe hivyo! sio kila "Yatima" ni zao la "uasherati" na "uzinzi"! Stop this.
 
Back
Top Bottom