Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Kufuatia kuondoka kwa Xavi pale Barcelona ambapo anaelekea Uarabuni kuchuma hela ya mafuta, Dunia ya Soka imepoteza mmoja kati ya viungo bora zaidi kuwahi kutokea katika soka.
Ifutayo ni list yangu ya Viungo bora zaidi kuwahi kuwashuhudia katika soka.
1.Xavi Hernandez
2.Zinedine Zidane
3.Andrea Pirlo
4.Paul Scholes
5.Deco De Souza.
Kwa upande wako, ni viungo gani uliwakubali zaidi?
Utanuna Sana Mwaka Ila Hao Kwangu Ndiyo Viungo Bora Zaidi Kuwahi Kutokea Si Tu Afrika Ya Mashariki Bali Afrika Na Dunia Kwa Ujumla.
- Khamis Tobias Gaga " Gagarino " ( RIP )..........Simba Sports Club
- Method Mogella " Fundi " ( RIP )..........Simba Sports Club
- Hussein Marsha " Injinia ".............Simba Sports Club
- Seleman Matola " Mzambia " / " Veron "............Simba Sports Club
- Patrick Tabu Mutesa Mafisango " Petit "..............Simba Sports Club