Viungo vya binadamu (idadi kubwa) vyaokotwa Bunju-Machimbo

 
FikraPevu, naomba ueleze ulitaka kumaanisha nini hapo.
 
unaijuwa North Korea wewe?

North Korea kitu gani, hata kama wana policy ya kubana habari the fact kwamba u can access JF inamaanisha unaweza ku-access sources nyingine pia.
 
Hv habar hii inahuska na ile ya kukamatwa kwa gar lenye miil ya watu kutoka maeneo ya inter chick??
 
zimetoka imtu hizi wanafunzi walikuwa wanajifunzia.wanafunzi wa udaktari
 
Anyways ni upepo tu utapita.

Hizo ni cadavers, waliofanya ujinga ni uongozi wa IMTU kushindwa ku incenerate na kupelekea ujinga kama huo kufanyika. Ni lazima watu kadhaa waachishwe kazi IMTU.

Kwa wale mnaoropoka kua sijui med school wanakuweje na watu wengi hivyo au sijui med school hawachuni na kukatakata watu, tafadhali ficheni ujinga wenu kwa mambo msiyoyajua. Practical ya anatomy inafikia mda mnanyambua mpaka mishipa ya damu sembuse kukata viungo. Na wanafunzi huwa wanachezea miili kuliko hata ya ngombe buchani, hio yote ni kumwondolea daktari woga na kinyaa cha binadaamu.

Msiwe vocal kuamsha mass hysteria bila sababu za maana. Cha kujadiliwa juu hapo ni utupaji holela wa cadavers basi! Hilo ndio kosa, lakini kuhusu hio miili "kuchezewa" hilo halina tija. Ilikua kwa ajili ya kuelelimisha hao wanaokuja kuwapa tiba.

Na mnaoona ni mingi embu fwatilieni kwanza ni maiti ngap hutekelezwa hopsitali yeyote ya serikali kwa mwezi.
 
hii ni shidaa inawezekana ni uchafu wahospitali au vyuo vya udaktarii

Uko sahihi ila swali linakuja kwanini hawakutumia moto kuteketeza kuliko kutupa?Haya ni matokeo ya utamaduni wa kutokufuata utaratibu.Kama mtambo wa hospitali haufanyi kazi kwanini wasingetumia magogo wakateketeza kama wahindu wanavyoteketeza miili???
 
swala la viungo hivyo kua ni cadaver kuna ukweli mkubwa hapo na sio jambo geni ila uzembe ni katka disposal ya hivyo viungo baada ya kujisomea.je hakuna sheria inayohusiana na mambo kama hayo ili kuweza kuwabana wahusika.WAWAJIBISHWEE
 
Mods kwa heshima naomba uzi ubaki jukwaa hili siasa!

Wadau wote wa mitandaoni, tukianza na hili la jamiiforums!

Miili ya binadamu kuokotwa ama kutupwa katika namna ilivyoonekana jana si uungwana na si utu kwa mantiki ya ubinadamu wetu!

Kitendo kama kile ni cha kuogopesha na kutisha sana. Huend suala lile limetazamwa ktk jicho la ki cadava lkn hakuna mwenye uhakika na hili, bado ni rumours, hapa panahitajika study ya maana kuweka hili sawa.

Kuna jamaa, marafiki zetu ambao wanapotea ktk mazingira tatanishi sana, hadi kuhusishwa na imani za kishirikina lakini ukweli ni kuwa suala km hili la jana linaibua maswali mengine sana katika mwenendo mzima wa ulinzi wa wananchi!

Ni hv majuzi tu baadhi ya wabunge waliongelea suala la ulinzi binafsi kutokana na mwenendo wa mambo ndani ya taifa letu. Sasa je km wakubwa kwa maana ya wabunge wetu wanalalamikia kuhusu usalama vp sisi watu tusio na status ya maana ndani ya jamii hii.

Kwa uzi huu naombeni tuungane sote kama wana mitandao ya kijamii kuitaka serikali itutoe wasiwasi juu ya hili la ki cadava huko bunju!

Tuwekeni itikadi pembeni katika hili!

Naomba kuwasilisha!
 

We Daktari mbona huna maadili!
 
Wakati tukiendelea kujadili juu ya kukamatwa kwa viungo vya raia huko bunju.Hebu tujadili hiki.

Karibu kila siku Ukiangalia ITV saa12 jioni kuna watu huwa wanatangazwa wamepotea na sijui kama wanapatikana.

Hivi wale wanaopotea wanaenda wapi?



Ww unawaza km mimi
Maana huwa hakuna feedback
 
swala la magonjwa kulipuka ni ngumuu hao cadavers wako sterilized.inshu kuna ukosefu wa heshima kwa mwili wa binadamu.sio ubinadamu huoo maana katika codes za medical students na udaktari kuna kipengele cha kuheshimu mwili wa binadamu.wawajibishwe
 
kuna post nilisoma juzi kati humu kuwa mashine ya kuchoma moto mabaki ya binadam muhimbili haifanyi kazi,yawezekana yametoka huko, Mtazamo wangu

Imagine ht mashine imeharibika
Madaktari wakiongea wanaonekana si lolote
 
Huyo dereva namtafakari simpatii jibu...
Alilewa au hana akili nzuri??
Na hicho chuo kimeshapoteza hadhi kabisaaa
KIFUNGWE TU
Hili tukio limeleta athari kubwa sana kwa jamii... bado magazeti ya udaku yatakavyokuja kuvuruga zaidi

Mungu ibariki Tanzania
 
Hivi bado tuna discuss the same issue in the same manner since jana jioni.. thought ilikuwa cadervers naona wengne wanasema mengine..ina maana hamna hata mwanafunzi wa IMTU humu au daktari anaejua maana wao ndo wahusika sasa na hospitali yao watoe tu jibu yaishe?? and for real what where they expecting? kwamba WANANCHI wanaokurupukaga wangeyakuta n where is the driver?? ina maana kakaa kimya mda wote huo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…