Aaaah wapi....
Try again, hizo kamba nimekata.
Ni kweli vyuo vya tiba ya binaadam huwa vinanunua maiti (kwa utaratibu maalum lakini) kutoka either manispaa, au other where, ni utaratibu wa kawaida kabisa katika field hiyo. let me mention just that one for today.
Miili hiyo hununuliwa kwa ajili ya mafunzo ya vitendo kwa wanafunzi.
Lakini kunakuwa na udhibiti mkubwa Sana kwenye issue hii, hili la utupwaji holela haliwezekani kamwe, na baadaye litzusha ubishani mkubwa sana katika medical field, na tuone. Hapa ni suala la uhai wa watu, isije mamlaka yoyote ikathubutu kutengeneza fununu, kuzipa nguvu na hatimaye wazipe fununu hizo umbo la ukweli, ili kuzubaisha watu.
Mimi ubongo Wang umegoma kabisa kukubaliana name hizo story za kupunguza mass hysteria (panic).[/QUOTE
as a medical student nmeziona hzo picha na sina doubt kwamba ni cadaver tatzo hapo ni njia iliyotumika kuzidispose