Viungo vya binadamu (idadi kubwa) vyaokotwa Bunju-Machimbo

Viungo vya binadamu (idadi kubwa) vyaokotwa Bunju-Machimbo

tumia akili yako japo midogo, zile ni human remaining body's zilipaswa kutekezwa hospital baada ya wao kumaliza matumizi yao na viungo vile vingine vya madereva wa bodaboda vingine waliokatwa miguu kwa ugonjwa wa kisukari, tunachosubiri kujuwa ni kwa nini yatumike majalala ya kawaida kwa human remaining body's?

Lakini hospital ya muhmbl wamekataa kuhuska na hlo tukio.what is needed n uvumilvu wetu il tuweze kujua which is which. .
 
Nukuu ya mwanafunzi wa IMTU.

"for a while our university administration imekua na matatizo..iliwahi kutokea miaka ya nyuma scenario kama hiyo ambapo mwanafunzi alieonekana na mkono mtaani of which hairuhusiwi hata kutoka na groves inje ya hicho chumba..sasa semester one ilimaliza kutumia hizo dead body on march zikatakiwa zitupwe..kwakua kifaa kilikua kibovu waliomba MuHAS wawasaidie ambapo inasemekana walisema nao kifaa(according to the guy anayehusika) chao kina shida wakaomba hindu mandal wakatakiwa kutoa 7m..ikacheleweshwa kutolewa..

Leo umoja wa vyuo vya madaktari Afrika mashariki ulikuja for inspection kwakua hazikutakiwa kuonekana wakaamua kufanya hivyo of which is illegal..

On friday nilikua mwenyewe ofisini and i heard one of teachers anaongelea kuzitoa hizo dead bodies"

Kama n hvo hii ishu itazmwa Kmya kmya
 
Kwq hyo imethibitika kwamba ni miili ya watu waliopata ajali

Au unajaribu ku assume na waliuwawa je?? Vp kuhusu waliotoweka katika mazingira ya kutatanisha??.Hali inatisha Tanzania cyo inchi ya amani ila tumeklemishwa kwamba ni ya aman.Angalia sasa propaganda zitakazoletwa na vyombo vya usalama kesi itapigwa danadana
Mwishowe utasikia tumeshakamata watu kadhaa wanaohusika na kesi hii muendelezo wako ni filam tosha
Huku wanaoiba kuku wanafuhukumiwa aisee

Jitahidi kuoga kura watanzania wenzang ni haki yako ya msingi
Usiouuzie then mwsho wa cku
Mnalalamika be careful usiwe mbumbumbu miingoni mwa mambumbumbu epuka kuburuzwa ni haki yako kutambua upo kwenye position gani.

Nina imani humu wapo waliopotelewa na ndugu zao hali kadhalika na waliouwawa katika mazingira ya kutatanishwa Tanzanians wake up enough is enough....
 
ImageUploadedByJamiiForums1406016995.111605.jpgImageUploadedByJamiiForums1406017027.321829.jpg
Unaambiwa bora ukutane na Mnyama lakini sio Binadam...


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Big up JF. Nimependa jinsi mjadala huu ulivyoendeshwa. Hiki ni kisima cha elimu. Kwa jinsi mabaki hayo ya miili ya binadamu yanavyoonekana, ni kweli yametoka vyuo vya udaktari. Hii inaonyesha wanataaluma ya udaktari wako makini mno, angalia mazingira yao ya kazi, gharama kubwa wanazotumia kumtengeneza daktari. Tupo katika soko la ushindani, nadhani chuo husika ilichukua hatua hii hatari ili kulinda status yake baada ya kuona mambo mengine yako sawa.
Serikali isaidie vyuo vikuu hasa masomo ya sayansi-tiba ya binadamu ili kupunguza gharama za uendeshaji. Utashi wa kisiasa unahitajika ili tutoe wataalam wenye viwango vinavyokubalika kimataifa. IMTU-Tanzania ni kati ya vyuo vinavyotambuliwa na WHO.
 
Hiyo miili ya kufanyiwa majaribio huwa inapatikana wapi?

Ni wale ambao wanafariki mahospitalini alafu ndugu hawajitokezi, au wale ambao wanafariki kwenye ajari na kuharibika vibaya miili yao hawapewi ndugu. nakubaliana na mtoa mada itakuwa kwa ajili ya mafunzo kwani kuna ukaguzi wa hali ya juu katika mahospitalini unafanyika hivi sasa. naitaka serikari ya CCM iongeza bajeti katika hospitali zake ziweze kuharibu dead bodies. kama walikuwa hawana pesa za kuharibu dead bodies basi walitakiwa wakaifiche baada ya ukaguzi wairudishe. na siyo kama walivyofanya
 
Huwa wanatoa wapi hii miili ya kufanyia practical?


Habari Wakuu.

Kwa habari zilizothibitika ni kwamba masalia ya viungo vya binadamu vilivyotupwa maeneo ya Bunju yametoka Chuo cha Udakatari IMTU kilichopo Mbezi Beach Dar baada ya wanafunzi kumaliza kuyatumia kwa mazoezi ya Practical (Cadaver).

Imekuwaje vikatupwa Bunju?

Kwa kawaida taka hatari kama hizi huwa zina mfumo maalum wa kuteketezwa kwenye tanuru (kuwa incinerated).


Kwa hiyo taka hizi walizipeleka Muhimbili kwa ajili ya kuteketezwa lakini hawakuwa na fedha za kulipia hivyo Muhimbili wakashindwa kuziteketeza kwenye tanuru maalum.

Baada ya hapo ndipo wakaamua kuja kumwaga maeneo ya Bunju.

My Take : Serikali sasa iamke kutoka usingizini sasa na ichukue hatua za haraka ikiwemo kuwachukulia hatua kale wale wote waliohusika na huu uzembe kwani ni hatari kwa mazingira na afya za watu.
 
pasi kujua wapi we mpaka unapakia mafurushi yote hayo na yana damu, laana ya pesa tuliyonayo watanzania.....
Usishangae chikutentema. Hayo ni sehemu tu mazingira ya anayokutana nayo daktari wa binadamu katika masomo yake ya miaka 5+1. Ukifika kazini,bado huwezi kutekeleza kikamilifu yale uliyosoma. Madaktari wakidai mazingira bora ya kazi,inakuwa nongwa, wananchi wanataka kuwapiga mawe. Picha za miili hiyo,tayari watu wanataharuki; ukiingia kwenye chumba chenyewe.....
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli mm pia ni shuhuda na nmeeda kuangalia kwa macho yangu ni jana tu usiku nmetoka zangu mitaa saa 6 kasoro hivi umati wa watu wengi wamemshika dereva aeleze vzu ndipo ktk kujitetea asiuawe kaeleza wampeleke polisi atoe taarifa kamili ila ni kweli nmeona hiyo mizoga ,kama ni kweli wanafunzi wanatumia kama njia ya masomo haiwezekani mizoga zaidi ya 100 wakati maiti moja waweza somea hata miezi mitatu hapo kuna jingine nyuma ya pazia uchunguzi ufanyike tunahitaji majibu,na kwann wakatupe kule usiku?kwanin wasichome kutumia acid?kwann wasipeleke muhimbili pale kuna sehem ya kuchomea?na mbona zingine zilikuwa zinatoka damu?haiwezekani nasema hii nchi hii ya tanzania ina mambo ya ajabu sana mungu turehem tu
 
Kuna chuo cha Tiba kinaitwa IMTUipo tegeta ndio wametupa hizo mabaki ya miili ya binadamu ambayo inatumika ktk mafunzo but sio sahihi.
 
Kuna chuo cha Tiba kinaitwa IMTU kipo tegeta ndio wametupa hayo mabaki ya miili ya binadamu ambayo inatumika ktk mafunzo but sio sahihi.
 
Je hao watu / miili waliwatoa wapi?
Na kama walifukua maiti ni kwanini wasiwarudishe kwenye makaburi yao?
Chuo cha kuweza kufanya kitu kama hicho hakifai;
kama kufungwa na kifungwe ili wakajipange upya.


Taasisi zinazotuhumiwa ni MUHAS, Kairuki na IMTU lakini IMTU ndo inaonkana kuhusika moja kwa moja. Kwa kutumia wanafunzi wa vyuo husika unaweza kujua chuo husika.
 
Jamani hiyo habr nyngne iliyounganishwa mbona,inatuchanganya!?
Amesema gari ilikuwa Toyota hilux pickup
Kwenye picha tunaona Suzuki Carrie.
Sasa tu ipi ni kipi.
@ mashuhuda
 
swali ni kuwa hadi maiti ifikie wao kuitumia kwa kazi hii inatakiwa iwe na sifa gani mf haina mwenyewe au wanachukua maiti zozote tu au wanawaomba wanandugu nifahamisheni.

ikijulikana hosp yoyote imetupa viungo hivyo namna hiyo ichukuliwa hatua za kisheria. kwa wasioelewa hayo mambo yao ya hosp itawasumbua sana. si jambo zuri
 
Back
Top Bottom