Huwa hio miili ikishatumiwa kwa ajil ya kusomea inatakiw ichomwe, sasa imtu hawana sehemu ya kuchomea huwa wanachomea Muhimbili but nasikia walishndwa kulipia garama za uchomaji sasa chuon kukawa na ukaguzi wa gafla ndio wakapata kiwewe hadi wameenda kutupa uko.
Nukuu ya mwanafunzi wa IMTU.
"for a while our university administration imekua na matatizo..iliwahi kutokea miaka ya nyuma scenario kama hiyo ambapo mwanafunzi alieonekana na mkono mtaani of which hairuhusiwi hata kutoka na groves inje ya hicho chumba..sasa semester one ilimaliza kutumia hizo dead body on march zikatakiwa zitupwe..kwakua kifaa kilikua kibovu waliomba MuHAS wawasaidie ambapo inasemekana walisema nao kifaa(according to the guy anayehusika) chao kina shida wakaomba hindu mandal wakatakiwa kutoa 7m..ikacheleweshwa kutolewa..
Leo umoja wa vyuo vya madaktari Afrika mashariki ulikuja for inspection kwakua hazikutakiwa kuonekana wakaamua kufanya hivyo of which is illegal..
On friday nilikua mwenyewe ofisini and i heard one of teachers anaongelea kuzitoa hizo dead bodies"