Malipo kwamungu
JF-Expert Member
- Mar 12, 2012
- 574
- 86
Polisi mchukulieni hatua mkuu wa chuo husika pamoja wahusika wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili jambo linatisha sana ila kwa upande mwingine inawezekana kabisa kuwa ni mkakati wa makusudi kuelekea kuanza kwa vikao vya Bunge Maalum la Katiba kwa minajili ya kuhamisha mawazo na akili za wananchi walio wengi...
Mmmh then hyo miili wanaitoleaga wap??
Mmmh then hyo miili wanaitoleaga wap??
North korea kuna internet access ww? au ndo ile staili ya kutafutia kiki jf?
Tunashahuku kujua watu hao waliuawa vip? na wap? ili tuache kujifalij kuwa Tz
Ni chi ya aman.
Mkuu vyuo vina zaidi ya miaka 10 ..mfano muhimbili ni kikongwe sana ina maana leo ndio wamebadili utaratibu wa kutupa hizo cadavers!! tuache wafanye uchunguzi tu tutajua...lakini hii sio utu ss ni unyama tuwe na heshima kwa watu waliofariki hta km ni cadavers tuwahifadhi vzr si kutupatupa ovyo..
Imefika wakati sasa tanzania tuwe na benki ya vipimo vya DNA kwa kila mtanzania;
Hii ingekuwa rahisi sana kuwatambua hao waliovaa hizo gloves;
Hata hivyo haya ni zaidi ya mauwaji ya kimbari
Tanzania iwekwe kwenye hali ya hatari mpaka muafaka wa hili upatikane.
Mmmh then hyo miili wanaitoleaga wap??