tumia akili yako japo midogo, zile ni human remaining body's zilipaswa kutekezwa hospital baada ya wao kumaliza matumizi yao na viungo vile vingine vya madereva wa bodaboda vingine waliokatwa miguu kwa ugonjwa wa kisukari, tunachosubiri kujuwa ni kwa nini yatumike majalala ya kawaida kwa human remaining body's?
Nukuu ya mwanafunzi wa IMTU.
"for a while our university administration imekua na matatizo..iliwahi kutokea miaka ya nyuma scenario kama hiyo ambapo mwanafunzi alieonekana na mkono mtaani of which hairuhusiwi hata kutoka na groves inje ya hicho chumba..sasa semester one ilimaliza kutumia hizo dead body on march zikatakiwa zitupwe..kwakua kifaa kilikua kibovu waliomba MuHAS wawasaidie ambapo inasemekana walisema nao kifaa(according to the guy anayehusika) chao kina shida wakaomba hindu mandal wakatakiwa kutoa 7m..ikacheleweshwa kutolewa..
Leo umoja wa vyuo vya madaktari Afrika mashariki ulikuja for inspection kwakua hazikutakiwa kuonekana wakaamua kufanya hivyo of which is illegal..
On friday nilikua mwenyewe ofisini and i heard one of teachers anaongelea kuzitoa hizo dead bodies"
inatisha sana na huyo dereva wa bodaboda alibeba pasi kujua ni nn?
Hiyo miili ya kufanyiwa majaribio huwa inapatikana wapi?
Habari Wakuu.
Kwa habari zilizothibitika ni kwamba masalia ya viungo vya binadamu vilivyotupwa maeneo ya Bunju yametoka Chuo cha Udakatari IMTU kilichopo Mbezi Beach Dar baada ya wanafunzi kumaliza kuyatumia kwa mazoezi ya Practical (Cadaver).
Imekuwaje vikatupwa Bunju?
Kwa kawaida taka hatari kama hizi huwa zina mfumo maalum wa kuteketezwa kwenye tanuru (kuwa incinerated).
Kwa hiyo taka hizi walizipeleka Muhimbili kwa ajili ya kuteketezwa lakini hawakuwa na fedha za kulipia hivyo Muhimbili wakashindwa kuziteketeza kwenye tanuru maalum.
Baada ya hapo ndipo wakaamua kuja kumwaga maeneo ya Bunju.
My Take : Serikali sasa iamke kutoka usingizini sasa na ichukue hatua za haraka ikiwemo kuwachukulia hatua kale wale wote waliohusika na huu uzembe kwani ni hatari kwa mazingira na afya za watu.
Usishangae chikutentema. Hayo ni sehemu tu mazingira ya anayokutana nayo daktari wa binadamu katika masomo yake ya miaka 5+1. Ukifika kazini,bado huwezi kutekeleza kikamilifu yale uliyosoma. Madaktari wakidai mazingira bora ya kazi,inakuwa nongwa, wananchi wanataka kuwapiga mawe. Picha za miili hiyo,tayari watu wanataharuki; ukiingia kwenye chumba chenyewe.....pasi kujua wapi we mpaka unapakia mafurushi yote hayo na yana damu, laana ya pesa tuliyonayo watanzania.....
Huwa wanatoa wapi hii miili ya kufanyia practical?
Taasisi zinazotuhumiwa ni MUHAS, Kairuki na IMTU lakini IMTU ndo inaonkana kuhusika moja kwa moja. Kwa kutumia wanafunzi wa vyuo husika unaweza kujua chuo husika.
muda mrefu ni muda upiNinavyosikia wanachukua ile miili ya marehemu waliokosa ndugu kwa muda mrefu