kwahiyo akili zako zinakutuma humu member wote wa jf wapo Tanzania?
mimi niko Pyongyang, North korea, only jf ndio chombo changu cha kupata habari za nyumbani.
unajua mleta mada kaileta issue hii kimzamzaa wkt kama ni kweli ni kitu si cha masihara.atupe habari kamili au yeye naye kaambiwa
jamani mm ninazo picha hapa nimetumiwa plz nipo nakisimu Ku upload ni shida kidogo mwenye namba ya anistue nimtumie namba yangu ni 0717 228064
ili aziupload hapa jamvini zinatisha nakusikitisha nimeshindwa kuamini kama bongo tumefikia unyama huu
soma hii thread kama huelewi basi angalia picha zilizokua attached... ukishindwa hilo kakojoe ulalewhat is real going on?
Badili namna ya kuuliza swali lako, kwani huwa wanapotelea ITV?
Wanaenda kusikojulikana ndo maana wanatafutwa....
Wakati tukiendelea kujadili juu ya kukamatwa kwa viungo vya raia huko bunju.Hebu tujadili hiki.
Karibu kila siku Ukiangalia ITV saa12 jioni kuna watu huwa wanatangazwa wamepotea na sijui kama wanapatikana.
Hivi wale wanaopotea wanaenda wapi?