Ni maiti mbili tu zilizokuwa na vichwa, nyingine zote hazina vichwa. Kwa mujibu wa askari polisi walizochukua kuzipeleka muhimbili usiku wa leo, maiti zote zikiwemo zile zilizokuwa zinavuja damu hazitoi harufu. Nyingi zilikuwa zimekaushwa na zimekatwatwa vipande vipande. Kwa wale tunaofikiri zimetoka vyuo vya kufundisha madaktari, wana JF madaktari watueleze kama kweli miili ya kujifunzia hukatwakatwa vipande?
Hao wataalam wanaosema hivyo ni wataalam wa nini labda? Cz haingii akilini hata kidogo kutupa maiti namna hiyo,bora hata wangezizika pamoja.
Labda maktari waje watuambie kuwa wakimaliza mafunzo yao kwa vitendo ndio wanatupa maiti majalalani kweli? kwanza kiafya ni hatari kwani magonjwa ya milipuko yanaweza zuka.
Ni maiti mbili tu zilizokuwa na vichwa, nyingine zote hazina vichwa. Kwa mujibu wa askari polisi walizochukua kuzipeleka muhimbili usiku wa leo, maiti zote zikiwemo zile zilizokuwa zinavuja damu hazitoi harufu. Nyingi zilikuwa zimekaushwa na zimekatwatwa vipande vipande. Kwa wale tunaofikiri zimetoka vyuo vya kufundisha madaktari, wana JF madaktari watueleze kama kweli miili ya kujifunzia hukatwakatwa vipande?
Kinachoendelea ni nini wadau?
i think ni hivi vyuo vya wahindi wasiothamini chochote zaidi ya pesa tu... kila medical facility inayodeal na products za viumbe hai hassa binadamu inalazimika kuwa na system ya kuondoa hizo taka kwa kufukia viwango vilivyowekwa, where ni tanuri, kuhifadhi, kusafirisha na hata kufukia chini.... chuo au hospitali haitakiwi kupractice kama hivyo vitu havijafanyika
corruption imezaa dharau kwa kila required condition kwa tanzania
kova hawezi kusema chochote labda ashabikie tuDah ngoja tusubiri kova atatueleza nn kuhusu hili...
If your not right...go left,,
na kweli, miafrika ni sooTunadhani tu, ngoja tusikie uchunguzi utasemaje, isije ikawa mambo ya kishirikina ya kula nyama za watu!
Miafrika Ndivyo Tulivyo - Nyani Ngabu
Mie nimepiga picha mwenyewe nashindwa kuziuppload
Idadi hiyo imeokotwa ktk mifuko ya viroba......ni hali ya kusikitisha kwa kweli miongoni mwao wapo watoto.
========
UPDATE 1:
Kwa mujibu wa Radio One:
Jeshi la Polisi wilaya ya Kinondoni limesema kuwa limekamata viungo mbalimbali vya binadamu vilivyohifadhiwa ktk mifuko ya plastiki ktk machimbo ya kokoto ya Bunju nje kidogo ya jiji la Dsm