Free ideas
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 3,497
- 2,026
kweli wewe hamnazo
Ucjali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli wewe hamnazo
kauli bado iko palepale
pale the clear information nilizonazo ni viungo vya binadamu na wala sio
maiti zaidi ya 100.
tuelewane kwanza, wapo wagonjwa wakisukari wanakatwa miguu hata mikono
na bodaboda wengi pia hukatwa miguu.
hapa tunasubili sasa clear statement ya polisi na wizara ya afya why
this? na ni nani anawajika au kuwajibishwa.
hapakuwepo na kiungo cha albino kweli ?
Hili suala si dogo. Linahusu ubinaadamu wetu. Ile ni miili ya ndugu,jamaa na marafiki zetu.Hata kama ilikuwa ikitumika kisayansi,bado haikupoteza thamani yake kama ni miili ya binaadamu na hivyo heshima,staha na taratibu zilipaswa kufuatwa. Majibu kuhusu wapi imetoka miili ile ya Bunju hapa hayatakuwa na uzito bila ya kwanza kukubali kuwa kulikuwa na makosa juu ya kushughulika na miili ile.
Kwa majibu yoyote, hali ile haivumiliki. Iwe imetokea IMTU au kwingineko, yupo mtu au wapo watu wa kuwajibika. Hata kama ilikuwa ikitumika kisayansi,zipo taratibu za kushughulikia miili ile ikiwa ni pamoja na namna ya kuiteketeza.Mifuko ya rambo si namna ya kuiteketeza hata kama mimi si mwanasayansi. Kuitupa si jambo linalokubalika. Kwanza,kuitupa kiholela vile,kulihatarisha amani.Yangekosa mabomu ya Polisi,muda huu yangezungumzwa mengine.
Nitoe rai kwa wahusika wote wa sakata la jana la miili ya Bunju kujipima na kuwajibika. Tasnia yoyote ina miiko yake. Ya sayansi jana ilikiukwa. Yupo wa kuwajibika. Atambuliwe au ajitambue na kuwajibika haraka iwezekanavyo.
Bwashe!! Umetisha kweli. Umeshafikiria kupiga dili. Wenzako tunashangaa jinsi binadamu wenzetu walivyodhalilishwa baada ya miili yao kutumika kusomeshea madaktari, wewe umeona kuna fursa ya kupata mapene kwa Krismasi? Ufanye biashara ya kuuza viungo vya binadamu wenzako kwa ushirikina? We kweli intarehamwe!!hapakuwepo na kiungo cha albino kweli ?
Kuna watu wanasema hii miili imetoka kadava muhimbili.
Hainiingii akilini. Kwanini wasifanye ivyo miaka yote waje wafanye ivyo now. Na je kadava si huwa wanakausha maiti. Hizi nyingi ni fresh na je kadava wanajifunza pia kuchuna ngozi ya binadamu na kukatakata viungo kama ndio watakuwa wauwaji sio waokoaji basi.
My take kuna haja ya sisi watanzania kuacha kuchukulia vitu easy. Ndio sababu hata perfomance ya serikali ni poor coz they know citizen cannot act upon anything but they will talk and 4get as usual.
This is serious case and bad image ever the world and our kids.
Kuna watu wengine hujitolea miili yao itumike kwa ajili ya sayansi pale watakapokufa, huenda ndio vichwa vyao hivyo.Unasema wahanga wa bodaboda na kisukari hukatwa viungo, Je! hivyo vichwa vilikuwa ni vyawagonjwa gani?
hizo ni cadaver mkuu,tunachuna ngozi,tunakata viungo....in short tunajifunza system zote....it all helps in saving life unapokuwa daktari.unapokuja kwangu unasema tumbo linauma mahala fulani etc mi tayari picha ya cadaver niliyopasua nikiwa chuo inakuja kichwani na inanisaidia kujua hapo unapoumwa kuna nini na kimekaaje na nikusaidiaje
Idadi hiyo imeokotwa ktk mifuko ya viroba......ni hali ya kusikitisha kwa kweli miongoni mwao wapo watoto.
========
mh! huu ni unyama mkubwa!
NIMEISOMA BBC, NIKAWAZA DUNIA INAITAZAMAJE TANZANIA NA AIBU HII KUBWA JAMANI?
SOMA HII:
22 July 2014 Last updated at 12:09 [h=3]Share this page[/h]
[h=1]Tanzania arrests over Dar es Salaam body parts dump[/h]The bags were dumped in a landfill site![]()
Eight people from a Tanzanian medical institute have been arrested after 85 bags containing body parts were found in the port city of Dar es Salaam.
A police officer told the BBC that human limbs, fingers, ribs and skulls were in the bags, discovered in a landfill site in the Bunju suburb.
Some of the bags contained surgical instruments and used disposable gloves.
The BBC's Aboubakar Famau in Dar es Salaam says the find has shocked the usually quiet city.
Dar es Salaam police chief Suleiman Kova said those arrested have links to the city's Institute of Medical and Training University (IMTU).
Residents said they became suspicious after a truck repeatedly dumped black plastic bags weighing approximately 25kg (55lb) each.
------------------------
-------------------------
![]()
![]()
HAWA WANA HAKI KAMA MAREHEMU WENGINE LAKINI KWANINI KUFANYIWA HIVI?]![]()
- The Interahamwe (Kinyarwanda, meaning "those who stand/work/fight/attack together" ) is a Hutu paramilitary organization. The militia enjoyed the backing of the Hutu-led government leading up to, during, and after the Rwandan Genocide.
To be honest!, Now we have a similar situation here in Tanzania where this ill, corrupted, and infidel government trying to scare people to seek true democracy. they have little grip to stay on power before they slip away!
God has judgement with them!
Mkuu sio maiti zile,wala sio viungo halisi vya binadam.Ni teaching aids zinaitwa cadaver!.Yaan unatengenezwa mwil wa mtu kwa plastic ili kufundishia masomo ya udaktar katika vyuo.Hakukuwa na kiungo halis.
Kitendo hicho ni cha kinyama mno. Kokote kule huo mzigo ulikotoka walipashwa aidha wachome moto au wachimbe shimo wafukie sio kutupa namna ile ambapo wananchi tayari tumeona na tunajiuliza kulikoni? Ni heri wangeenda kwa mkiti serikali ya mtaa kuomba kibali cha kutupa taka zisizokuwa za kawaida ktk eneo lake!
Polisi watupe taarifa inayoeleweka.
Kama viungo hivyo vimetoka hospitali kwa nini wameviweka mpaka vikawa vingi kiasi hicho!
Huyo dereva namtafakari simpatii jibu...
Alilewa au hana akili nzuri??
Na hicho chuo kimeshapoteza hadhi kabisaaa
KIFUNGWE TU
Hili tukio limeleta athari kubwa sana kwa jamii... bado magazeti ya udaku yatakavyokuja kuvuruga zaidi
Mungu ibariki Tanzania[/QUOTE
Kifungwe alafu?tunahitaji madaktari.